ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #101
Hazibandi naona hujipendi wewe, sello itakuhusu siku si nyingi.
Hazibandi naona hujipendi wewe, sello itakuhusu siku si nyingi.
mambo wife? nimeuliza tu. lakini wakinipeleka selo utaniletea mtori nitakate sawaee?
Huyu ni handsome
Ntakuletea mpaka uji wa ulezi usijali, huyu amekuzidi hata wewe kwauhandisamu.
Ntakuletea mpaka uji wa ulezi usijali, huyu amekuzidi hata wewe kwauhandisamu.
Wee mdada umepotea sana, karibu tena.
unachotakiwa kufanya ni kuomba kwa marafiki zako/zenu ili wawapigie muweze kushinda,
kama utafanya hivyo umejiondoa mwenyewe kwenye shindano hili
halafu wewe una kesi ya kujibu The Hague umefichwa wapi na nani amekuficha hivyo Lily FlowerMie sijasema chochote ladyfurahia.
Binamu kumbe nawe umoo....chukua kura yangu!Haya haya ngoja nifanye hivyo aise Paloma, snowhite, HorsePower, SnowBall The Finest, AshaDii, gfsonwin, Preta, Blaki Womani, kiwatengu, Jiwe Linaloishi, sosoliso, Filipo, marejesho, Mamndenyi, Dena Amsi, EMT, BAK, amu, Chocs, kipipi, Ngalikihinja, Ruttashobolwa, Rutashubanyuma, Madame B, Zion Daughter, Heaven on earth, Blaine, Elli, Mwita Maranya, Bujibuji mwaJ, Teamo, naomba kura zenu
Hahahahaha..usijali my wii mimi na wewe teenasina my wii ni mashindano walipendekeza wenyewe niandae
hivyo hapa kuna kazi wewe ngoja waje utaona watakaponipalamia
si utanisaidia kujinasua bestito my wii?