Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Mie sijasema chochote ladyfurahia.
nautafuta huo ukurasa wa pili siuoni!
Tobaaaaaaa! Nilikuwa wapi mie wakati mambo haya yanatokea? ladyfurahia unanitafuta ugomvi rafiki. Tangu lini mume wangu handsome wa ukweli Mwita Maranya akawa na mvuto wa sura mbaya? Naomba umtoe maana umemuweka kimakosa badala yake weka sura ya Bujibuji yule mume mlevi wa Mamndenyi
Hivi hili shindano haliishi tukamjua mshindi au ndo mpaka kura zihesabiwe
cc ladyfurahia na Passion Lady
Hivi hili shindano haliishi tukamjua mshindi au ndo mpaka kura zihesabiwe
cc ladyfurahia na Passion Lady
zoezi litachukuwa muda wanachanganya na walizoweka kwenye hotpot
Blaki Womani habari za kwako aisezoezi litachukuwa muda wanachanganya na walizoweka kwenye hotpot
Bro nipo nimejaa tele
mahangaiko hapa na pale
nimekumiss pia
Mimi nipo babaangu ila mihangaiko na shughuli la kila siku ndo zinanifanya kupotea jamvini.
View attachment 114535
Mimi nisipowekwa kwa wenye sura mbaya nazira kabisa kuingia humu CC. Mmezoea upendeleo sana! Nasema niatandamana nchi nzima. :target::target:
Dah! Afadhali rafiki maana tungegombana bure.ameshafutwa muulize jaji Passion Lady atakwambia
Mimi nipo babaangu ila mihangaiko na shughuli la kila siku ndo zinanifanya kupotea jamvini.
View attachment 114535