Mashine 6 za kuzalisha umeme Kituo cha Ubungo 1 zapata hitilafu, Naibu Waziri atoa maelekezo kwa TANESCO

Hivi January yale marekebisho aliyosema anafanya ni yapi?

Iweje tupoteze mashine 10+ kituo 1?

Contingency ni ipi?

Je ikitokea tunapigwa kama Ukraine tutaweza washa umeme kweli?
Kipara alitupanga tu ili dada yake aweze kuuza magenerator,kipara ni aina ya viongozi wanaokandamiza raia kwa kuwatumia kama mitaji kwenye biashara zake na familia yake
 
Utakuta huyo Waziri Hana hata taaluma ya uhandisi
 
Kwa wale tuliopitia shule ya engineering mnaonaje kuhusu failure ya mashine 6? Kwa kipindi kimoja ?
 
Ukiona nchi bado inahangaika na zimwi la umeme/nishati kwa miaka zaidi ya 60 basi ujue nchi hiyo hata kiuchumi haiko imara. Mengine yanabaki ni unafiki wa data za wanaojiita wasomi wa uchumi ila uhalisia ni hsli mbaya.
Naunga mkono hoja [emoji419]
 
Toka atoke Kalemani hapo wapo kwenye matengenezo tu.

Si wauze chuma chakavu wanunue nyingine kama zimegoma mazima!
 
Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.
View attachment 2766279
Naibu Waziri anazungumza
Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine zipo tatu na kila moja inaweza kuzalisha Megawati 43, kati ya hizo moja haifanyi kazi na ipo kwenye matengenezo.
View attachment 2766280
Kituo cha Ubungo 1 kuna mashine 12, zinazofanya kazi ni 6 ambazi kila mashine inazalisha Megawats 42 hadi 43, nyingine zipo kwenye matengenezo, hivyo nimewalekeza TANESCO kuhakikisha wanakuwa na mpango wa marekebisho ya muda mfupi, wa kati na mrefu.

Matengenezo ya muda mfupi yafanyike kwa wakati ili huduma ya umeme iweze kupatikana kwa wakati, hivyohivyo kwa mipango ya marekebisho ya muda wa kati na mrefu.

Kitendo cha kuwa na mashine moja nje ya huduma ni kupoteza umeme mwingi.
View attachment 2766281
Leo pia kwa bahati mbaya Kituo cha Ubungo 1 kimezimika umeme kuanzia usiku hadi muda huu (mchana wa Septemba 29, 2023), mitambo sita ambayo inatakiwa kuzalisha umeme nayo haizalishi.

Wataalam wapo ‘site’ wanahakikisha umeme unarejea, nimewaambia TANESCO kuwa ndani ya saa mbili kituo kiwe kimerejea kufanya kazi na ikishindikana watafute mbadala ya kuhakikisha ndani ya saa sita zijazo uzalishaji wa umeme uwe umerejea kama kawaida ili upatikanaji umeme uimarike.
Mkitaka suluhisho laharaka kutokana na ukatikaji wa ghafla wa umeme mamlaka iliyopo madarakani mtengueni waziri JaYuMa, katibu mkuu wake, mkurugenzi wa TANESCO, Injia mkuu na fundi mkuu kisha wafunguliani mashtaka pevu ya uhujumu uchumi mtayaona majoka yenye mabaka yanajitokeza hadharani hapo ndipo mtagundua tatizo lililopo ni la kutengeza sio sababu zinazotolewa za uchakavu wa mitambo, ongezeko la matumizi na ukame wa mvua kwamba hizo sio chanzo halisi isipokuwa kilichotumika ni 'rationalization' ya uharifu baada ya kuona wakubwa wanajinufaisha kupitia vyanzo vingine.

Afuatwe huko huko alikopelekwa ajibu uharifu alioufanya wakati akiwa kwenye ofisi za umma
 
Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.
View attachment 2766279
Naibu Waziri anazungumza
Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine zipo tatu na kila moja inaweza kuzalisha Megawati 43, kati ya hizo moja haifanyi kazi na ipo kwenye matengenezo.
View attachment 2766280
Kituo cha Ubungo 1 kuna mashine 12, zinazofanya kazi ni 6 ambazi kila mashine inazalisha Megawats 42 hadi 43, nyingine zipo kwenye matengenezo, hivyo nimewalekeza TANESCO kuhakikisha wanakuwa na mpango wa marekebisho ya muda mfupi, wa kati na mrefu.

Matengenezo ya muda mfupi yafanyike kwa wakati ili huduma ya umeme iweze kupatikana kwa wakati, hivyohivyo kwa mipango ya marekebisho ya muda wa kati na mrefu.

Kitendo cha kuwa na mashine moja nje ya huduma ni kupoteza umeme mwingi.
View attachment 2766281
Leo pia kwa bahati mbaya Kituo cha Ubungo 1 kimezimika umeme kuanzia usiku hadi muda huu (mchana wa Septemba 29, 2023), mitambo sita ambayo inatakiwa kuzalisha umeme nayo haizalishi.

Wataalam wapo ‘site’ wanahakikisha umeme unarejea, nimewaambia TANESCO kuwa ndani ya saa mbili kituo kiwe kimerejea kufanya kazi na ikishindikana watafute mbadala ya kuhakikisha ndani ya saa sita zijazo uzalishaji wa umeme uwe umerejea kama kawaida ili upatikanaji umeme uimarike.

Kwa hiyo haya maelekezo ndo yalikuwa yanakosekana kurekebisha shida ya umeme? Kweli mnatuona manyani tu.
 
Mnataka kutuambia kwamba Tanesco hawawezi kufanya kazi mpaka wafuatwe na viongozi wa kisiasa , mbona mikataba mnapoingia hamuwashirikishi. Iwe ya kuuzwa au kukodisha mitambo
 
Utakuta huyo Waziri Hana hata taaluma ya uhandisi
Yaani...huyo naibu waziri avyoonekana mrembo mrembo, maskini sijui kama ataweza kweli vurugu mechi za sekta ya umeme Tz?? Ngoja tuendelee kula mtori na pengine nyama tutazikuta chini......
 
SI NDIVYO ILIVYO HATA KWA CT SCAN NA MRI ZA MUHIMBILI NA HOSPITALI ZINGINE ZA SERIKALI ZINAHARIBIKAGA TU.
 
Acha tuendelee kunyooshwa sababu kuna nyumbuh ukiziambia achana na mavitu za bure kama tishet, kofia na kanga zinakuangalia hazielewi, alafu nyumbu hizo hizo stima ikikatika ndo zinaongoza kulalamikia sirikali jamani wa tz😭 ningekuwa na uwezo wa kumwambia Mungu ningemshauri atuuwe wote kianze kizazi kingine kipya kitakachojielewa.
 
Hujuma wazi kabisa,
Tamko la tec linaanza kutekelezwa kivitendo
Mama kuwa makini sana, watakuhujumu sana hao
 
Back
Top Bottom