Mashine 6 za kuzalisha umeme Kituo cha Ubungo 1 zapata hitilafu, Naibu Waziri atoa maelekezo kwa TANESCO

Mashine 6 za kuzalisha umeme Kituo cha Ubungo 1 zapata hitilafu, Naibu Waziri atoa maelekezo kwa TANESCO

Tanesco tafuteni mabaharia waliofanya kazi na hizo engine za wartsira kwenye mameli makubwa wawe watanzania au wageni muwalipa mpunga wa kutosha muone kama kuna siku mtakuwa na vimeo vya kibwege.

Ngoja nitafute kama hata mna mtalaam pale wa hizo engine mnamlipa kuanzia $5000 - $10000 kwa mwezi, kama hakuna basi mnajidanganya tu kuendesha hiyo mitambo na kulipa mafundi hizo salary zetu za kibongo 1m mpaka laki saba.
 
Yah ! Mabaharia kwenye mitambo huwa wako njema sana ,nahisi nikutokana na mazingira yao ya kazi ndio yanashape character zao za uwajibikaji , maana baharini mitambo lazima ifanye kazi .Afe ng'ombe afe mmasai la sivyo ni dhahama .
 
Ujue pale wanatumia engine za Wartsila Vatsa ambazo zipo sana kwenye marine hasa mameli makubwa, kwa hiyo engineers wengi waliofanya nazo kazi kwenye mameli makubwa wako competent sana.

Nina uhakika ukienda pale kufanya analysis utagundua shida ni poor workmanship na lack of knowledge ya watu kwenye floor na mpaka wale big bananaz pale, kingine utakuta ni poor procurement na muda mwingi wananunua fake spare parts kutoka china na sio original parts kutoka kwa OEM ambaye ni wartsila finland.

Competent wa hizo engines na systems zake ambao ni Indians na Filipinoz cheap labor unaweza kuwapata kwa $3000 ukawapa accomodation na ukawaweka mwaka mzima hapa na likizo ya 28days fly in fly out.
 
Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko.
View attachment 2766279
Naibu Waziri anazungumza
Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine zipo tatu na kila moja inaweza kuzalisha Megawati 43, kati ya hizo moja haifanyi kazi na ipo kwenye matengenezo.
View attachment 2766280
Kituo cha Ubungo 1 kuna mashine 12, zinazofanya kazi ni 6 ambazi kila mashine inazalisha Megawats 42 hadi 43, nyingine zipo kwenye matengenezo, hivyo nimewalekeza TANESCO kuhakikisha wanakuwa na mpango wa marekebisho ya muda mfupi, wa kati na mrefu.

Matengenezo ya muda mfupi yafanyike kwa wakati ili huduma ya umeme iweze kupatikana kwa wakati, hivyohivyo kwa mipango ya marekebisho ya muda wa kati na mrefu.

Kitendo cha kuwa na mashine moja nje ya huduma ni kupoteza umeme mwingi.
View attachment 2766281
Leo pia kwa bahati mbaya Kituo cha Ubungo 1 kimezimika umeme kuanzia usiku hadi muda huu (mchana wa Septemba 29, 2023), mitambo sita ambayo inatakiwa kuzalisha umeme nayo haizalishi.

Wataalam wapo ‘site’ wanahakikisha umeme unarejea, nimewaambia TANESCO kuwa ndani ya saa mbili kituo kiwe kimerejea kufanya kazi na ikishindikana watafute mbadala ya kuhakikisha ndani ya saa sita zijazo uzalishaji wa umeme uwe umerejea kama kawaida ili upatikanaji umeme uimarike.
Sasa updates za hiyo mitambo angeweza kuzipata akiwa popote kwa email, WhatsApp nk,hii kwenda site kutoa matamko ya kisiasa, hakutatui chochote, Mambo ya kisayansi na kiuhandisi hayatstuliwi na kuuza sura kwa huyu naibu waziri,
Kama angekuwa ametuma jopo LA wahandisi kutoka mashirika makubwa kama ABB, Schneider, nk kuweza kutoa msaada,ingekuwa na maaana, sasa anawasha v8 anaenda kutembelea mitambo, asiyojua hata inavyofsnya kazi, naibu waziri wa nishati, unakuta elimu yake sayansi jamii,hata akiambiwa huu mtambo haufanyi kazi kwa vile, Bunsen burner yake imekufa, au rotating rectifier inverter imekufa, ataishia kutingisha kichwa tu, so pathetic
 
CCM ni kenge kabisa, wakitaka eneo LA soko,wampe muwekezaji, au, wakitaka kupiga pesa, wanatia soko moto! Harafu wanatuambia ni ajari, kumbe hapo unatengenezwa mradi, pesa Itoke hazina,nusu ijenge soko, nusu inaenda CCM,
Kuhusu mgao wa umeme, I smell fishy, hapa mi CCM kutoka na na wizi uliopo seeikalini, kila jitu linaiba, pesa haitojshi, sasa kilichopo, tengeneza matumizi makubwa ya, mafuta,ili Kodi yako iongezeke, hebu fikiria kwa kila wilaya kuna minara ya, simu 200+, kila, mnara unatumia jenereta, ukikata umeme kwa, sasa tano, tu kwa mikoa minne, diesel kibao inatumika, na CCM wanaingiza pesa,
 
Sasa updates za hiyo mitambo angeweza kuzipata akiwa popote kwa email, WhatsApp nk,hii kwenda site kutoa matamko ya kisiasa, hakutatui chochote, Mambo ya kisayansi na kiuhandisi hayatstuliwi na kuuza sura kwa huyu naibu waziri,
Kama angekuwa ametuma jopo LA wahandisi kutoka mashirika makubwa kama ABB, Schneider, nk kuweza kutoa msaada,ingekuwa na maaana, sasa anawasha v8 anaenda kutembelea mitambo, asiyojua hata inavyofsnya kazi, naibu waziri wa nishati, unakuta elimu yake sayansi jamii,hata akiambiwa huu mtambo haufanyi kazi kwa vile, Bunsen burner yake imekufa, au rotating rectifier inverter imekufa, ataishia kutingisha kichwa tu, so pathetic
[/QUOTE
Huwa nalalamika Sana juu ya vetting zinazofanywa na Nina uhakika kabisa kama nchi ina data za watu walipo profession in specified field Sema matumbo yanawasumbua...utampa MTU vipi Uwaziri au Naibu ilihali hajui hata chembe anachoenda simamia hata bolt fake haijui...tutapata shida Sana mkuu.
 
Huwa nawaza tu,

Serikali hii mitambo kuanzia pale Ubungo 100MW hizo hydro nk, itangaze tender ya operation & maintenance kwa kampuni binafsi za wageni na mkataba uwe 5yrs na kipengele cha kuuvunja incase contractor anaunderperfom.
Contractor anapewa masharti ya kuprovide 100MW kwenye grid na asishuke say 90% supply kwa miezi mitatu mfululizo.

Hizo hydro plants zinakuwa the same pia.

Serikali pia itangaze tender kwa makampuni binafsi kuja kuuza umeme kwa kuyauzia gas na umeme uuzwe kwenye grid kwa bei shindani.

Hiyo TANESCO inavunjiliwa mbali.
 
Back
Top Bottom