INAUZWA Mashine za kisasa za juisi ya miwa zishakuja; wahi zipo chache

Kwa watt 750 haili umeme mwingi kivile,ukichukulia hii haiwaki saa nzima kwa mfuatano,
ina maana akija mteja ndo inawashwa mteja anapata juice fresh papo kwa papo
Juice inakua ya moto sasa
 
Ukipata sehemu yenye umeme mbona fresh tu unafanya biashara,tatizo mikoani maeneo mengi hayana umeme labda ndio inaweza ikawa changamoto mkuu
Mikoani wanatafuna miwa wenyewe hawana haja ya machine.
 
Karibuni machine mzigo upo mpyaa
 
Naskia zinasababisha kansa, hasa kwakuwa hayo mabati yanakuwa na madini ya zinclusixituoslty?
Na pili, hizo juisi barafu zake zinatengenezwa na maji ya bomba huko ferry , zina typhod, ni kweli?

kama si kweli, haya
 
Karibuni sana,machine zipo bado
 
Machine ni mpya
1 year warranty
0673206639
Tupo kkoo
 
Machine ni mpya
1 year warranty
0673206639
Tupo kkoo
 
Machine ni mpya
1 year warranty
0673206639
Tupo kkoo
 
Machine ni mpya
1 year warranty
0673206639
Tupo kkoo
Mashine zilizopo ni za aina ile ile na specifications zile zile za awali? Na bei haijabadilika bado ni 1.1m?

Na je uwa mnauza na zile mashine ndogo kwa ajili ya matumizi madogo madogo ya nyumbani ili mtu akiwa nayo ajitengenezee juisi hiyo nyumbani kwake?
 
Machine kama za awali,hakuna ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…