Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mkuu kwa sisi wa mikoani inakuwaje? Kwa mfano mimi niko mkoa wa Mara wilaya ya Rorya ila nataka ya mafuta.
 
Habari wadau,
Nahitaji kufahamu sehemu naweza kununua incubator kwa ajili ya shughuli zangu za ujasiriamali inayoweza kuchukua mayai 200 au zaidi.

Kwa mwenye kufahamu na bei pia itasaidia. Nipo dar

Natanguliza shukrani!
 
Kabaunyeri za umeme zinauzwa pale shekilango kwenye jengo la Millennium Business park kuna wachina wengi pale wanauza alafu pia kuna mdau kule jukwa la matangazo amauza pia
 
Last edited by a moderator:
Piga simu namba 0784413039,tupo Dar es salam,na tuna mawakala mikoani,tunaunda egg incubator za aina zote.

Pia waweza kutufuatilia face book na kuona picha mbalimbali za incubator zetu.

Fungua page hii........MWAKALINGA GENERAL ENTERPRISES.....,Au tafuta google itakuleta ktk page yetu.

Tunaunda pia inverters,power backup za kutumia ktk incubator au matumizi mbalimbali nyumbani umeme ukikatika.

Tahadhari,jiridhishe kwanza kwakuona incubator yenye sifa zote muhimu,kama inayoweza kudhibiti unyevu,joto,nk.vinginevyo utanunua incubator ikutie hasara.
Fanya window shoping kwanza ktk maduka ya nakumati pugu road karibu na kamata,mlimani city,milenium shekilango,imberuzi vingunguti,na ndipo uje kwetu MGE.
 
Je wewe ni mfugani na unahitaji Incubator kwa gharama nafuu. Natengeneza Incubator zenye ufanisi wa 89% ya ukubwa wowote utakao hitaji,kwa sasa nipo Mbeya ila ninakuja popote utakaponiita nije kukufanyia kazi.

Tuwasiliane kwa no. 0754078015.
 
Mdau ametoa maelezo mazuri sana,nimeyapenda,kwani mimi ndiye muundaji maarufu wa incubator za aina mbalimbali hapa tz toka mwakalinga general enterprises.
 
INCUBATOR SALES!Fully Automatic
Egg capacity: 48 chicken eggs(free 132 quail egg tray)

Easy to clean, simple to use with instructions included. LED display temperature /humidity /hatching days /egg turning time.

Free 10 Nipple Drinkers

Am Based In Nairobi. Text/Whatapps (+254700320880) I will call back.
Free Delivery to Arusha. Other Towns Delivery by Bus or EMS.
Price Tsh. 400,000/= (Negotiable)

 

Mkuu,
Nimefuatilia kuhusu incubators hapa uk, hasa hizi kubwa zinatoka China, hivi nina planing ninunue huko China, kwani hapa uk kwa mfano incubator 1050 eggs ni pounds 2000 na kitu. Lakini kwa China haitafika pounds 500 mpaka zanzibar au dar es salaam.

Before nyumbani kwetu tulitumia incubator, miaka ya 1980 tayari tunayo tulifaidika sana, nazaliwa naikuta, mpaka leo hii mzee wangu anafuga kuku. Incubator za manual naona ni rahisi ku fix. Sijui za automatic. Tupe more information
 
Kwa wafugaji hasa wa majumbani, ninatengeneza mashine za kutotoleshea vifaranga kwa gharama nafuu.

Mashine zangu ni semi auto. Na zinatengenezwa kwa kutumia vifaa vinavyopatikana kirahisi na nafuu sana. Efficiency ya mashinr izi ni 80% kama mayai yote yapo fertilized.

Maintainance ya mashine hii ni bure kwa miezi sita. Karibuni nipo dar es salaam

0755815174
 
Mkuu ni bei gani, capacity, na power consumption ipo vipi? Na sio vibaya kama na picha utaweka.., karne hii hakuna excuse ya kuweka vitu nusu nusu, vitendea kazi vyote vipo, na dunia imeshakuwa kama kijiji unaweza pata order toka hata Timbuktu
 
Bei inategemea na unataka ya mayai mangapi. pia picha zipo nyingi humu nimeweka tafuta uzi umeandikwa incubator kwa wakazi wa dar utaona, sasa hiv nashindwa weka can pc na niko safarini
 
Brand new incubator zenye uwezo kubeba mayai 1056 na za mayai 2112 zinauzwa,bei ni kama ifuatavyo kwa mayai 1056 ni Tshs 2'600'000/= na za mayai 2112 ni Tshs 4'700'000/= bei inapungua,na unapewa Warranty ya mwaka mmoja na pia unapatiwa spare parts bure!incubator zote ni full automatic, zinapatikana kwenye duka letu Tabata Barakuda,kwa mwenye kuhitaji awasiliane na namba zifuatazo: 0713670026
 
Kampuni yetu ya backyard (T) ltd ni kampuni iliyodhamiria kusaidia wakulima wadogo wadogo kwa kuwa tengenezea mashine za kutotoleshea vifaranga zinazotumia technologia ya kisasa na ya gharama nafuu sana.

Lengo la project hii ni kuinua uzalishaji wa majumbani kwa mazao ya mifugo hasa kuku wa kienyeji.

Mashine zetu zinatumia nishati nafuu sana na ufanisi wake ni zaidi ya asilimia 80. Tunapatikana dar es salaam.
Tuwasiliane kupitia 0755815174
 
Je munauza incubator,mnatengeneza,au mnafunfisha kutengeneza incubator? Kama mnauza mnauza bei gani bei ya chini?
 
Je munauza incubator,mnatengeneza,au mnafunfisha kutengeneza incubator? Kama mnauza mnauza bei gani bei ya chini?

Tunauza, tuna design natunaunda incubators kwa mujibu wa matakwa ya mteja.. Gharama ni kwanzia laki na nusu kutegemea na aina ya materials ma muundo mteja anaohitaji.

Incubators zetu zinatumia umeme mdogo mno takribani watt 30 na kuendelea kutokana na ukubwa na design mteja anayohitaji.
 
Kampuni yetu ya backyard (T) ltd ni kampuni iliyodhamiria kusaidia wakulima wadogo wadogo kwa kuwa tengenezea mashine za kutotoleshea vifaranga zinazotumia technologia ya kisasa na ya gharama nafuu sana.

Lengo la project hii ni kuinua uzalishaji wa majumbani kwa mazao ya mifugo hasa kuku wa kienyeji.
Mashine zetu zinatumia nishati nafuu sana na ufanisi wake ni zaidi ya asilimia 80. Tunapatikana dar es salaam.
Tuwasiliane kupitia 0755815174
 
Pia tunatoa consultation na tips za namna ya kuzitumia. Warrant ya biadhaa zetu ni ya miaka 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…