Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

Nilinunua China,
Sababu inahesabu na kudisplay siku za incubation mayai yangu yalipofika siku ya 18 nilipata vifaranga hadi jana siku ya 24 nimepata vifaranga. Mayai mengine nilikuta mabovu tokea siku ya 12.

Mimi kuna mtu alikuwa kule nikamtumia hela akanunua akaipakia kwenye ndege akaja nayo.

Ya mayai 580,880,1000,2000,3000 bora uweke baharini itafika after 50 days hivi.
 
Nakumatt wanayo wanauza 500,000
Kuagiza ngoja nitakuambia. Ila ukiipakia kwenye ndege jipange kulipia dollar 1/kg.
Ina kilo 10 hivyo dollar 100 na Ushuru 35,000/
Mimi yangu nilipita nayo kama mzigo wangu hivyo sikulipia nauli. Au iwekwe kwenye container unaipata baada ya siku 60
 
Msaada wa anuani ya compuni uipoinunua and njia bora ya kufanya malipo
 
MGE TUNAKULETEA UBUNIFU MPYA WA BIDHAA ZETU ZIFUATAZO AMBAZO ZITAKUWA SOKONI HIVI KARIBUNI NA WATEJA WETU WANARUHUSIWA KUAGIZA KUANZIA SASA:

1.FULL AUTOMATIC EGG INCUBATOR(MASHINE ZA KUTOTOLESHEA MAYAI ZINAZOTUMIA UMEME AMBAZO ZINATUMIA STANDBY INVERTER).
UKIKATIKA UMEME INVERTER INAJIWASHA YENYEWE NA KUFANYA MASHINE YAKO YA KUTOTOLESHEA MAYAI IENDELEE KUPATA UMEME.
2.FULL AUTOMATIC INVERTER CHARGER(INVETER INAYOWEZA KUCHAJI BATTERY.

3.HOME ENERGY SERVER(KIFAA KINACHOKUPUNGUZIA MATUMIZI MAKUBWA YA UMEME MAJUMBANI).

4.MIRRACLE BATTERY CHARGER(CHAJA YA KUCHAJIA BATTERY ZA INVERTER AU ZA MAGARI UNAYOWEZA KUIUNGANISHA KTK INVERTER IKAWA INACHAJI BATTERY KAMA ALTERNATOR YA GARI.UKIWA NA HII HAUHITAJI SOLAR KUCHAJI BATTERY.

MGE TUNAKUSHAURI UZINUNUE BIDHAA ZETU KWANI HUTAJUTIA.

WASILIANA NASI:
DAR ES SALAAM;0784413039;

mwakalingaeli@gmail.com

Masasi branch:0787150720.
 
so twawezaje nasi kuipata?????????????????????

Kuipata unaweza ipata ila kwa sasa sina mtu kule ila september atakuwepo China anaweza itafuta.
Mkuu andybird,incubator ya mayai 3000,inaweza kuwa ni bei gani?

Bei sijui hadi yeye akienda ataulizia bei yake ila haifiki 2mil bei ya kununua kabla ya shipping hadi sehemu ya container, freight charges na kodi bandari ya Tanzania
 
mge inakukaribisha kujipatia mashine ya kutotoleshea mayai ya kuku;full automatic incubator.
 
Mge Mko Wapi, Mashine Zenu Zinauwezo Kutotolesha Kwa Mara Moja Mayai Mangapi, Zinauzwa Sh. Ngapi Na Je Kuna Garantee Ya Muda Gani? Na Vipi Usafiri!
 
Incubator hii aina ya JANOIL8-48
Ni full automatic inajiendesha na kugeuza mayai yenyewe.

Ina digital display ya Temperature, humidity na inaonesha ni siku ya ngapi umeweka mayai.

Ni 160Watts, hivyo inatumia umeme mdogo sana, Ina alarm pale humidity au temperature inapopungua.

Nimeitumia kuatamishia mara mbili toka ikiwa mpya na imefanya vizuri sana. Inafaa sana kwa kuanzia ufugaji kuku na pia kwa mwenye kuku inasaidia kupunguza uharibifu wa mayai na kuwapunguzia kuku kazi ya kuatamia na kulea vifaranga hivyo kuongeza kundi la kuku haraka.
Bei yake ni Tzs 450,000

Kama unahitaji tumia 0754422095
 

Attachments

  • Photo0439.jpg
    Photo0439.jpg
    129.2 KB · Views: 454
Incubator hii aina ya
JANOIL8-48
Ni full automatic inajiendesha na kugeuza mayai yenyewe.
Ina digital display ya Temperature,humidity na inaonesha ni siku ya
ngapi umeweka mayai
Ni 160Watts,hivyo inatumia umeme mdogo sana
Ina alarm pale humidity au temperature inapopungua.
Nimeitumia kuatamishia mara mbili toka ikiwa mpya na imefanya vizuri
sana.
Inafaa sana kwa kuanzia ufugaji kuku na pia kwa mwenye kuku inasaidia
kupunguza uharibifu wa mayai na kuwapunguzia kuku kazi ya kuatamia na
kulea vifaranga hivyo kuongeza kundi la kuku haraka.
Bei yake ni Tzs 450,000
Kama unahitaji tumia 0754422095

Picha:
 

Attachments

  • Photo0440.jpg
    Photo0440.jpg
    119.2 KB · Views: 298
  • Photo0447_001.jpg
    Photo0447_001.jpg
    50.9 KB · Views: 284
Je wewe ni mfugaji wa kuku wa kienyeji au wa kisasa na unataka kuongeza kipato kwa kutotolesha vifaranga wengi zaidi?

Usikate tamaa;mge ni kampuni itakayokusaidia kupata mashine yoyote unayotaka.

Mge tunaunda mashine mbalimbali z kutotoleshea mayai ya kuku;bata;kanga nk.

Mge tunaunda mashine za umeme au za mafuta ya taa kulingana na mahitaji ya mteja.

Njoo ujipatie mashine imara na za kudumu miaka mingi.

Mashine zetu ni imara;hazisumbui kuzitumia.

Usihangaike kutafuta mashine za kutoka nje ya nchi ambazo zaweza kukusumbua zikipata matatizo hasa juu ya kupata spea;kwani utalazimika kuagiza nje ya nchi.
Mashine zetu tunaziunda kwa spea zinazopatikana hapa hapa tanzania.

Pia tunaunda inverter za aina mbalimbali za kuendesha friji nk.

Wasiliana nasi leo:

Dar es salaam:0784413039.

Masasi mtwara:0787150720

mikoani tunatuma;na hata nje ya nchi tunatuma.

Karibuni sana

eliasante mwakalinga.
 
Habarini wadau,


Katika njia zangu za kutafuta pesa nikakutana na kampuni moja ya kichina inayotegeneza na kuuza incubator na vifaa vyoote vya ufugaji ikiwa pamoja na machine za kutengeneza chakula cha kuku, trays nk kwa bei nafuu sana na zenye viwango vya kimataifa.

Namna ya kununua.

utafungua file la pdf kwenye attachment utachagua incubator uitakayo na kusoma kwa makini sifa za hiyo incubator uliyoipenda. (ili ikija haina sifa ulizochagua uikatae na hata hatua za kisheria zikichukuliwa ukamshinde)

mzigo uko china cha kufanya wewe ni kuwasiliana na mimi na kuweka order bila kutoa hata mia nitakuambia mda maalum ni lini upate machine yako na bei yake. (ukilizika na bei ndo uweke order)

Utajaza fomu maalumu ya kisheria ya kufanya malipo mara tu mzigo wako utakapouona na kuutest huku ukifuatisha fomu ya kisheria uliyojaza kama machine ina sifa ulizozichagua na siviginevyo

Namna ya mzigo kufika.


ukitaka mzigo wako uje kwa njia ya maji utachukua siku 30 hadi 40, na bei yake ni nafuu.
ukitaka mzigo wako uje kwa ndege (via courier companies like DHL, FEDEX, UPS nk) utaupata ndani ya siku saba za kazi ila bei yake iko juu kidogo, (pia ukumbuke mzigo unaweza ukaingia mapema ila clearance custom ikachelewesha utokaji wake)

Note. Unaweza ukaniambia aina yeyote ya incubator unayohitaji kwa kunitajia sifa maana hizo kwenye attachment ni baadhi tu.


ukitaja zingatia:

Capacity, Power, Kg, Size, Life Time, Condition, Color, Material, Heating Methods nk.

tukutane pm

Kikubwa ni uaminifu.
 

Attachments

  • Maberere Incubator.pdf
    Maberere Incubator.pdf
    545.6 KB · Views: 158
  • hhh.png
    hhh.png
    155.4 KB · Views: 213
  • egg controller.png
    egg controller.png
    30.3 KB · Views: 169
  • ccc.png
    ccc.png
    144.1 KB · Views: 197
  • tray.png
    tray.png
    61.8 KB · Views: 172
Back
Top Bottom