Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Aisee! Mbona unachekesha watu Sana wewe! Ila ni kweli! Alikuwa muongo Sana!Ile ilikuwa ni sanaa Mzee na wewe uliamini kuna gawio.
Kumbuka CAG alisema mashirika mengi yalikuwa yanapata hasara mfano TTCL na ATCL ambayo nayo yslikuwa mstari wa mbele kutoa gawio.
Sasa hilo gawio lilikuwa linatoka kwenye faida ipi kama sio usanii wa kufuraisha watu!!
Yule jamaa ilibidi kaburi lake lifukuliwe atandikwe viboko kwa kutudanganya.
Alituokota sana.
Kwa sasa ukiona gawio ujue ni ukweli ila kipindi kile yalikuwa maigizo.Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
Weweeee ttcl ndiye mama anayemiliki mkongo wa mawasiliano wa taifa na kuiuzia mitandao yote nchini na nchi za jirani kivipi apitwe na vodacom?TTCL na vodacom vinatofauti sana kwenye swala la biashara. Kwanza angalia kwenye biashara imecover eneo kubwa kiasi gan (idadi ya wateja walionao) alaf utambue mapato na matumizi yao