Mashirika ya misaada 18 yaiangukia Israel. Waiambia basi inatosha. Wenyewe wamekataa kusimamisha vita

Mashirika ya misaada 18 yaiangukia Israel. Waiambia basi inatosha. Wenyewe wamekataa kusimamisha vita

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Jumla ya mashirika ya misaada 18 yakiwemo ya UN leo yametoa tamko la pamoja kuibembeleza Israel isimamishe vita kutokana na kihoro cha maangamizi walichokiona.

Mashirika hayo yameweka pembeni kila aina ya hisia na imani walizonazo na kubakiwa na ubinadamu tu na kuona inatosha adhabu iliyokwishakutolewa kwa raia na wengine wasiohusika.

Katika taarifa yake Umoja wa mataifa umesema umepoteza jumla ya wafanyakazi 78 tangu vita vya Gaza vianze idadi ambayo ni kubwa kuliko zote kwenye mzozo wawote uliowahi kutokea duniani na wao kuhusika kusaidia.
Wakati huo huo kwa mara nyengine jeshi hilo limesema limeuzingira mji wa Gaza na kwamba wakati wowote wataingiza askari wa miguu kupambana na Hamas ili kuwamaliza pamoja na kuokoa mateka.

Wale wote waliobaki eneo hilo la kaskazini ya Gaza wanaokadiriwa nusu milioni pamoja na kuishiwa na mahitaji muhimu wameamua kutokuondoka kufuata njia ya Salah Din waliyoelekezwa kuitumia.

Wamesema hawawezi kufanya hivyo kwanza kwa kutoakuamini ahadi za Israel baada ya wenzao wengi kuuliwa wakiwa wanatekeleza amri hiyo.Sababu nyengine ni kuwa njia hiyo imebomolewa na haiwezekani tena kupitika
 
walitakiwa waanze kuiomba hamas isitishe mashambulizi, unaiambia israel isitishe wakati hamas bado inaendelea kurusha makombora hata ningekuwa mimi nisingekuelewa. israel wakisitisha hamas bado wanarusha makombora kwenye nyumba za raia wa israel, utasitishaje sasa? hicho ndio kinawapa israel sababu ya kuendelea kupiga.
 
Wangekuwa wameona Hamas wakirusha makombora na kuuwa watu wangewaambia .Lakini wanayoyaona na kuwauwa pamoja na wao ni ya Israel.Ndio wakawaambia inatosha basi !.
 
Ujinga wa hayo Mashirika waliowapa kazi hapo Gaza miongoni mwao ni hao hao Hamas na hao wanaowaita wafanyakazi wao walikuwepo kwenye maeneo ya kurusha makombora na kama wasingekuwa ni Hamas basi wangetoa taarifa hata za siri.

Wanajua kila kona ya gaza na wanajua mahandaki yote.. yalipo and Jiulize why hawawasemeshi Hamas wala kuwaomba Hamas wawafikie Mateka na kuwahudumia walete japo hope.

Kiufupi ni Mapumbavu yamejazwa akili za Kigaidi na dunia ya sasa hakuna wa Kumdanganya... Wapigwe tu japo Israel anapita kipindi kigumu ila Mungu wao atawasaidia na kushinda vita na amani itapatikana na wabaya wote watajulikana. Ben Shapiro huko USA anawacharaza haswa kwa kuwaumbua..

Wakakae na Aljazeera kuendeleza uongo wao
 
ni imani muliongewa na wenzenu waumini wa jinsia moja mumebarikiwa na m.barikiwa na wewe upate mume sisi waislamu tutapingana nayo mutuite vile mnataka

Mkuu uko sawa kweli?zingatia uandishi mzuri.
 
Ujinga wa hayo Mashirika waliowapa kazi hapo Gaza miongoni mwao ni hao hao Hamas na hao wanaowaita wafanyakazi wao walikuwepo kwenye maeneo ya kurusha makombora na kama wasingekuwa ni Hamas basi wangetoa taarifa hata za siri.

Wanajua kila kona ya gaza na wanajua mahandaki yote.. yalipo and Jiulize why hawawasemeshi Hamas wala kuwaomba Hamas wawafikie Mateka na kuwahudumia walete japo hope.

Kiufupi ni Mapumbavu yamejazwa akili za Kigaidi na dunia ya sasa hakuna wa Kumdanganya... Wapigwe tu japo Israel anapita kipindi kigumu ila Mungu wao atawasaidia na kushinda vita na amani itapatikana na wabaya wote watajulikana. Ben Shapiro huko USA anawacharaza haswa kwa kuwaumbua..

Wakakae na Aljazeera kuendeleza uongo wao
Israel ana silaha za nyuklia, kwa nini asipige moja hapo Gaza akawaua wapalestina wote waliopo hapo waichukue ardhi yao wanayoitaka,kuliko kusumbuka na mahandaki ya hamas kila siku
 
Israel ana silaha za nyuklia, kwa nini asipige moja hapo Gaza akawaua wapalestina wote waliopo hapo waichukue ardhi yao wanayoitaka,kuliko kusumbuka na mahandaki ya hamas kila siku
huo utakuwa ukatili mkubwa sana ambao hautakiwi hata kuuuwaza.
 
ok wapo kweli ila huwezi kuwasikia waislamu wanabariki pole sana muwe na baraka katika ndoa zenu za jinsia moja
Cheki hadi watoto wanafirana hadharani. Ya wameridhia kabisa. Watoto. Nioneshe watoto wakristo wanafirana hivi hadharani mbele ya umma. Nioneshe. Aibu na kinyaa na usikute wakudanya hivyo wanabweka Allah akbar Allah akbar. Shame be Upon you watoto wanafirana hadharani na wameridhia tu?

View: https://youtube.com/shorts/DW-3Yl63MuA?si=0aZmRPuzwSRUwGDw
 
Back
Top Bottom