secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Hv huyu ndio ameimba wimbo wa... I am a soldier
Mtemi Kisandu kapotea siku nyingi. Kumbe alikuwa lupango. Kwa tunaomfahamu, tatizo lake linaeleweka. Kumfunga jela Mtemi ni kumtesa tu. Huyu anastahili kupewa matibabu ili afya yake kiakili iimarikeHizi meza za mabaa, means wakati unapiga picha ulikuwa bar, au grocery
Nimekumbuka machizi wasomi wanavyotembea na makabrasha yao popote pale
acha zako Dina ni huyu tu halafu wakili wake wa utetezi angemwambia hakimu kuwa mteja wake ana tatizo la akili
Sheria inazuia kufunga jela watu waliofyatuka akili.KWA MWENDOO HUU NAONA UNAITAFUTA JELA TENAA USHATOKA ACHANA NAYO HAYO AKUNA UONEVU KWENYE HILO UMEKULA ULICHOVUNA
Sheria inazuia kufunga jela watu waliofyatuka akili.
Kweli kabisa mkuu.Huyu mwamba anatutegemea sisi ndo kama familia yake, siku tu ametoka jela kitu cha kwanza amefanya nafikiri ni ku-register na ku-log in JF.
Anahitaji msaada wetu huyu na anapata faraja kupitia sisi, tumpokee tu na kumchukulia ili tumfariji asije kujidhuru.
Tafadhali kwa tunaombeza na kumdhihaki kwa kejeli!
Nashangaa. Huyu kwa utovu wa maadili wa namna hii ni miaka 8 au 10.
Kwa sababu amekua akifanya kosa hilo hilo mara kwa mara. Sio bahati mbaya.