Duuuuuh KUM_MBATO na KUKATA ROMBO hahahahahaDeogratius Kisandu ambaye kwasasa anatambulika Kama DON NALIMISON kisheria haya ndio yalikuwa mashitaka yaliyopelea kufungwa japo alishinda kesi.
View attachment 1500346View attachment 1500347
una maanisha nini mpenzi Amu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ila sisi wanawake tunahuruma sana mwamba nae anao wa kut....mpaka analalamika ni haki yake kikatiba.
Kwa kweli wanawake tunasehemu ya peke yetu peponi.
Nahuyu nae alikuwa mwalimu? 🤣🤣🤣 km nikweli alikuwa mwl. ...basi takukuru watapata taabu saana kuwasaidia hwa walimu.
Wakati umefika Sasa JF moderators kuangalia na kudelete members vichaa Kama hawa.huyu Mtu ni kichaa atakuja tu leta jingine na kuchangia threads zake ni kumwongezea matatizo usahairi wangu apigwe permanent ban hapa JF
Yes, Mwal wa Mathematics
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kumbe Ruboroga ndio alikufunga, sina shaka na huyo Hakimu ulilipia upuuzi wako. Anyway sio ishu kufanya matatizo yako ya kipuuzi kuwa public.
Ningekuwa hakimu ungenyea debe miaka mingi sana na viboko juu, labda ingekusaidia kupunguza utahira.
Uko sahihi sana, tunaweza kumsaidia, kumbeza hakumfanyi awe mtu bora.Huyu mwamba anatutegemea sisi ndo kama familia yake, siku tu ametoka jela kitu cha kwanza amefanya nafikiri ni ku-register na ku-log in JF.
Anahitaji msaada wetu huyu na anapata faraja kupitia sisi, tumpokee tu na kumchukulia ili tumfariji asije kujidhuru.
Tafadhali kwa tunaombeza na kumdhihaki kwa kejeli!
nadhani alihtajika kupelekwa hospitali kwanza hayuko sawa mtu wa namna hiyo na hizi page za upuuzi facebook ziko nyingi sanaacha zako Dina ni huyu tu halafu wakili wake wa utetezi angemwambia hakimu kuwa mteja wake ana tatizo la akili
point kubwa sana hiyoUko sahihi sana, tunaweza kumsaidia, kumbeza hakumfanyi awe mtu bora.
umeniacha hoi..kiukweli hayuko sawaDon Nalimison naomba nikusaidie tatizo ulilonalo,nikukutanishe na specialist wa magonjwa ya akili
California love
kivipi mama?Hayo majina huwa yana shida
Kwani unafikiri anajijua kuwa ana tatizo hilo? Unafikiri ni rahisi sana yeye akubali na kukutafuta ili apate tiba?Don Nalimison naomba nikusaidie tatizo ulilonalo,nikukutanishe na specialist wa magonjwa ya akili
California love