Mashitaka yaliyosababisha Don Nalimison kufungwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza ni haya

Mashitaka yaliyosababisha Don Nalimison kufungwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza ni haya

Huyu mwamba anatutegemea sisi ndo kama familia yake, siku tu ametoka jela kitu cha kwanza amefanya nafikiri ni ku-register na ku-log in JF.

Anahitaji msaada wetu huyu na anapata faraja kupitia sisi, tumpokee tu na kumchukulia ili tumfariji asije kujidhuru.

Tafadhali kwa tunaombeza na kumdhihaki kwa kejeli!
Ni kweli kabisa.
 
mdogo wangu hebu tulia kiakili. Naona kama umeyumba kidogo, settle bwana. Ikiwezekana, achana na kuibua mijadala, changia tu, then re-settle your psychology. It pains, mijadala yako naiona kama vile unahitaji counselling, serious, yawezekana ukapuuza, you need psycho therapy
@Don Nalimison make sure unasoma huu mchango then uchukue hatua, simple
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ila sisi wanawake tunahuruma sana mwamba nae anao wa kut....mpaka analalamika ni haki yake kikatiba.
Kwa kweli wanawake tunasehemu ya peke yetu peponi.
Hata sisi wanaume tuna huruma sana hujaona kichaa anapata mimba
 
Kiukweli yanayofanyika hapa sio vizuri .huyu ni ndugu yetu kama walivyo wengine
Mnasema anahitaji counseling inamaana hakuna hata mtaalam wa counseling amfanyie hiyo jamaa awe sawa kama mnavyodai? Ama ndo mnaona raha kuona mwenzenu akiteketea zaidi ya mwanzo?

Tubadilike
 
Kwani wagonjwa wa akili hawana haki ya kuwa missed?
Kuna kichaa aliitwa Selina alifariki nikiwa mdogo ila tulimmiss kwa vituko vyake.
Kwahio kumbe shida yako ni kumkejeli ,dhihaka,ili tu ufurahi siku yako iende vizuri?
Takataka kabisa
 
Yaani ulikosa akili kabisa, haya madudu niyakuandika FB? Hujielewi we ulipaswa ukae jera hadi akili ikukae sawa

Na sio facebook tu hata humu aliandika kuhusiana na hio haki yake ya unyumba🤣🤣

Mtemi Kisandu Mwenyekiti Mkuu wa chama cha ACA
 
Back
Top Bottom