FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,112
- 2,822
Aisee huyu mwamba inabd afanyiwe tathmini kwenye afya yake ya akili.Kuna kitu hapa.
Umeandika kwa uchungu sana.Huyu mwamba anatutegemea sisi ndo kama familia yake, siku tu ametoka jela kitu cha kwanza amefanya nafikiri ni ku-register na ku-log in JF.
Anahitaji msaada wetu huyu na anapata faraja kupitia sisi, tumpokee tu na kumchukulia ili tumfariji asije kujidhuru.
Tafadhali kwa tunaombeza na kumdhihaki kwa kejeli!
Hahah Shida za kidizaini gani mkuu?Hayo majina huwa yana shida
Huyu hapaswi kufungwa,anapaswa kuwa mirembe anatibiwa.Mbona walikufunga miaka michache sana why?
Alafu jamaa atakuwa hapati ngono toshelevu pia.Nashangaa. Huyu kwa utovu wa maadili wa namna hii ni miaka 8 au 10.
Kwa sababu amekua akifanya kosa hilo hilo mara kwa mara. Sio bahati mbaya.
Mawakili wenyewe wa serikali,walitaka asichomoke hapo.Ila huyu ni insane kabisa.acha zako Dina ni huyu tu halafu wakili wake wa utetezi angemwambia hakimu kuwa mteja wake ana tatizo la akili
Hivi kweli hii akili ikufundishie mwanao si ni hatariHivi kazi yako ya ualimu ,ushafukuzwa ?
Hivi kazi yako ya ualimu ,ushafukuzwa ?
Deogratius Kisandu ambaye kwasasa anatambulika Kama DON NALIMISON kisheria haya ndio yalikuwa mashitaka yaliyopelea kufungwa japo alishinda kesi.
View attachment 1500346View attachment 1500347
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ila sisi wanawake tunahuruma sana mwamba nae anao wa kut....mpaka analalamika ni haki yake kikatiba.
Kwa kweli wanawake tunasehemu ya peke yetu peponi.