Mashitaka yaliyosababisha Don Nalimison kufungwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza ni haya

Mashitaka yaliyosababisha Don Nalimison kufungwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza ni haya

Deo akili zako na marehemu Mtikila hazitofautiani.😅
 
Kilicho kuponza ni huu mmea pendwa kuutumia ukiwa chooni huku hujala chakula cha kutosha,[emoji35]ulitakiwa ukatwe pumbu hizo
tapatalk_1587239583541.jpeg
 
Kuna kimoja kati ya vitu viwili hivi unavyo wewe na wenye akili kama yako.

Eidha una ugonjwa wa afya ya akili,ama akili yako ni ndogo sana.

Mtu mwenye akili timamu,lazima atakuwa na uwezo wa kupima maneno ya mtu mzima kama yeye,na maneno ya mtu mgonjwa.Aliyeandika hayo maneno,alistahili kupelekwa hospitali na siyo gerezani.Na hata sasa yungali ana tatizo.Kuendelea kutumia nguvu,vitisho,na jazba dhidi ya mtu mgonjwa,ni kudhihirisha kimoja wapo kati ya viwili hapo juu
Kumbe Ruboroga ndio alikufunga, sina shaka na huyo Hakimu ulilipia upuuzi wako. Anyway sio ishu kufanya matatizo yako ya kipuuzi kuwa public.

Ningekuwa hakimu ungenyea debe miaka mingi sana na viboko juu, labda ingekusaidia kupunguza utahira.
 
Jf watu humu wanafki, mwamba alipopotea mlikuwa mnasema mmemiss hadi kumtungia uzi amerudi mnamponda

Ova
Kwani wagonjwa wa akili hawana haki ya kuwa missed?
Kuna kichaa aliitwa Selina alifariki nikiwa mdogo ila tulimmiss kwa vituko vyake.
 
Hauko sawa Don
Mkuu mambo mengine yanahuzunisha sana. Huyu jmaa kusema kweli ana nati fulani zimelegea. Kwa wale wanafuatia posti zake hapa tangu siku za nyuma wanajua. Nashindwa kuelewa inakuwaje mtu aliye kwenye state of mind ya aina hii anafungwa. Nadhani waliomfunga ni wendawazima kuliko hata yeye. Mtu kama huyu ni kumuelewa na kumsaidia badala ya kumfunga. Mbona awamu nyingine walikuwepo watu wa aiana hii tena wengi kabisa wanapita mitaani wakiongea matusi na kutukana viongozi wa ngazi za juu lakini serikali ilikuwa haiwachukulii hatua kwani jamii nzima iliwajua? Ukiona uongozi unaanza ku-deal mpaka na watu wenye matatizo ya akili ujue ina watu wa ajabu sana!
 
Kuna kimoja kati ya vitu viwili hivi unavyo wewe na wenye akili kama yako.

Eidha una ugonjwa wa afya ya akili,ama akili yako ni ndogo sana.

Mtu mwenye akili timamu,lazima atakuwa na uwezo wa kupima maneno ya mtu mzima kama yeye,na maneno ya mtu mgonjwa.Aliyeandika hayo maneno,alistahili kupelekwa hospitali na siyo gerezani.Na hata sasa yungali ana tatizo.Kuendelea kutumia nguvu,vitisho,na jazba dhidi ya mtu mgonjwa,ni kudhihirisha kimoja wapo kati ya viwili hapo juu
Mkuu asante mno mno. Hii ni aibu na ni uonevu uliopitiliza. Kweli mtu anayeonekana kabisa ana matatizo ya akili serikali inamchukulia serious? Huyo hakimu aliyemfunga naye anaweza kuwa na matatizo ya akili ndiyo maana anashindwa kutumia busara. Huyu mtu ni wa kuonewa huruma na kusaidia na siyo kufungwa!
 
Hiyo mineno hata kimyakimya kuitamka unapata ukakasi, ila deo kayaandika na kuyapost fb, akafungwa na baada ya kutoka anaanika kilichomfunga kana kwamba ni ushujaa.

Deo relax sasa, ukitoka jela huwezi kuwa sawa vupuuu, mbaya zaidi ni kama unatokea familia isiyo jali, utajihisi bado upo jela. Look around, no more nyapara, no more bwana mkubwa, its us, mabloo na wapwa, so, relax plz.

Fanya mambo yako uisake shilingi.
Peace.
 
Mkuu mambo mengine yanahuzunisha sana. Huyu jmaa kusema kweli ana nati fulani zimelegea. Kwa wale wanafuatia posti zake hapa tangu siku za nyuma wanajua. Nashindwa kuelewa inakuwaje mtu aliye kwenye state of mind ya aina hii anafungwa. Nadhani waliomfunga ni wendawazima kuliko hata yeye. Mtu kama huyu ni kumuelewa na kumsaidia badala ya kumfunga. Mbona awamu nyingine walikuwepo watu wa aiana hii tena wengi kabisa wanapita mitaani wakiongea matusi na kutukana viongozi wa ngazi za juu lakini serikali ilikuwa haiwachukulii hatua kwani jamii nzima iliwajua? Ukiona uongozi unaanza ku-deal mpaka na watu wenye matatizo ya akili ujue ina watu wa ajabu sana!
Nakumbuka zile nyuzi zake miaka Ile...hahahha...hii dunia Ina Mambo Sana...
 
Daah, mimi sijui hata niseme nini, hivi we jamaa unakichaaa au ni nini???!!!!
 
Hivi makamanda wa cdm hawakumchangia kulipa faini au kumuwekea Advocate.

Maana hawa ndo watu wanaopendwa na makamanda.
 
Kabisa. Huyu mwamba alitakiwa asaidiwe nati zikazwe ila kumpeleka jela ni kumuonea tu
Akili za huyu mwamba ni kama za nabii tito,kama wana wadudu kichwani,eti kuttlember ni haki yangu 😃😃😃
 
Tuliza tu boli Kaka mkubwa.......Yamepita tazama mbele Jenga maisha yako
 
mkuu badilika, tofauti na hapo hautadumu uraiani.
 
Back
Top Bottom