Mashoga Wanadai Haki, Lakini Je, Tunaelewa Tunachoshinikizwa Kukubali?

Mashoga Wanadai Haki, Lakini Je, Tunaelewa Tunachoshinikizwa Kukubali?

Status
Not open for further replies.
KUJADILI USHOGA KWA NAMNA YOYOTE NI USHOGA PIA. NIMEFUNGA KIKAO.
Mentality kama hii imeharibu maisha ya watu wengi kwenye mazingira mengine; watoto wanalawitiwa na wajomba zao, mabinti wa kike wanazaa na kaka zao majumbani na hatuongei...... Kufagilia vumbi chini ya kapeti si kusafisha sebule
 
Wangapi? Unaongelea minority ya sampuli nzima
Tunaweza kubishana hapa mpaka Asubuhi lakini uhalisia wa mambo ni kwamba wanaoishi maisha haya nayozungumzia ni wengi kuliko hao unaowazungumzia wewe
Kwani wee ulizungumzia nn? Si uliuliza km yapo hayo majukumu, nimekujibu, bado unakataa, na kusema eti ooh ni kiasi kidogo, kwan wee unataka kiasi gani ili iwe sawa?

Nweii nikuulize, hawa wote wasio oa au kuwa na watoto ni mashoga? Nasubiri jibu hapa.
 
Wangapi? Unaongelea minority ya sampuli nzima
Tunaweza kubishana hapa mpaka Asubuhi lakini uhalisia wa mambo ni kwamba wanaoishi maisha haya nayozungumzia ni wengi kuliko hao unaowazungumzia wewe
Kwani wewe una idadi ngapi ya mashoga?
Halafu mada yako imelenga nini hasa naona umeandika vitu vingi sana hadi imeleta mkanganyiko wa kile ulichokusudia,
Unaweza kueleza kwa ufupi ulitaka kusemaje?
 
Kwani wewe una idadi ngapi ya mashoga?
Halafu mada yako imelenga nini hasa naona umeandika vitu vingi sana hadi imeleta mkanganyiko wa kile ulichokusudia,
Unaweza kueleza kwa ufupi ulitaka kusemaje?
Wee muache, mbona ataeleza leo, niko nae sambambaaa.
Yaan atasema yote, hadi aliyo yasahau.
😂😂😂😂
 
Mashoga mengi ni makafiri makristo yanafokoana Sana uko ulaya

Nitakuja na Makala inayoendelea huko uarabuni, subscribe for more
Atakupinga. Huyo ni mpumbavu wa kiwango Cha UZEZETA. Anahusishaje tabia za mtu binafsi na ukristo alafu anaita wakristo makafiri.
Maandiko yanapinga hivyo vitendo kwenye biblia yeye anakuja na Upumbavu kichwani mwake na kuropoka.
 
Mentality kama hii imeharibu maisha ya watu wengi kwenye mazingira mengine; watoto wanalawitiwa na wajomba zao, mabinti wa kike wanazaa na kaka zao majumbani na hatuongei...... Kufagilia vumbi chini ya kapeti si kusafisha sebule
Huitaji kuongea saaana bali kutenda kama hivi...
 

Attachments

  • VID-20250612-WA0001.mp4
    16 MB
Wee muache, mbona ataeleza leo, niko nae sambambaaa.
Yaan atasema yote, hadi aliyo yasahau.
😂😂😂😂
Nahisi anasheherekea na sisi mwezi wetu wa Pride ila anazunguka zunguka, aseme ukweli tu
 
Kwani wewe una idadi ngapi ya mashoga?
Halafu mada yako imelenga nini hasa naona umeandika vitu vingi sana hadi imeleta mkanganyiko wa kile ulichokusudia,
Unaweza kueleza kwa ufupi ulitaka kusemaje?

Nachotaka kusema ni hivi: Kama jamii ya Kiafrika, tunapaswa kuwa macho na kujitayarisha kwa mabadiliko makubwa ya kijamii yanayokuja kwa kasi—mabadiliko ambayo tayari yamebadili misingi ya jamii za Magharibi, na sasa yanaelekezwa kwetu kupitia mlango wa "misaada ya maendeleo", "uhuru wa mtu binafsi", na "ushoga kama haki za binadamu".

Niliwahi kupitia takwimu za Marekani. Barack Obama alipoingia madarakani mwaka 2008, moja ya ajenda zake kuu ilikuwa ni kuhalalisha ndoa za jinsia moja. Wakati huo, 70% ya Wamarekani walipinga wazo hilo. Lakini kufikia 2014—miaka 6 tu baadaye—mtazamo huo ulikuwa umebadilika kabisa. Asilimia 70% sasa waliunga mkono ndoa hizo. Nini kilitokea?

Majibu ni social engineering. Fedha zilimwagwa kupitia NGOs, mashirika ya kimataifa, na miongozo ya elimu; vyombo vya habari vikabadilika na kuanza kuwasilisha masuala ya LGBTQ kama jambo la kawaida, la kisasa, na la kuigwa. Filamu, muziki, mitandao ya kijamii — vyote vilitumika kubadilisha fikra. Leo hii, kizazi kizima kimetekwa. Kuna watoto wa kike wanaojiita wanaume, na watoto wa kiume wanaojiita wanawake. Ukisema ukweli huu hadharani, unaweza kupoteza kazi, heshima, au hata uhuru wako.

Sasa tukiangalia Afrika, tunaona ishara hizo hizo zimeanza kuonekana:

  1. Mashirika ya kimataifa yanalenga elimu ya msingi na sekondari: Kuna warsha na programu zinazolenga "elimu jumuishi ya kijinsia" ambazo kwa nje zinaonekana kama elimu ya afya ya uzazi, lakini ndani zinaeneza dhana za utambulisho wa kijinsia (gender identity) na ujinsia mbadala. Watoto wanafundishwa kuwa "unaweza kuwa chochote unachojisikia leo", bila kuzingatia hali ya kimaumbile au tamaduni zetu.
  2. Mikataba ya misaada yenye masharti ya ajenda za kijinsia: Baadhi ya nchi za Afrika zimeshawahi kulazimishwa kuingiza sheria au sera za kupokea na kuwalinda mashoga ili zipate misaada ya kimataifa. Mfano ni nchi kama Malawi, Uganda, na Ghana ambazo zimewahi kukumbana na mashinikizo ya kimataifa kuhusu sheria zao za ushoga.
  3. Media na burudani kutoka Magharibi zinaathiri vijana wetu moja kwa moja: Vipindi vya Netflix, YouTube, TikTok, na hata baadhi ya katuni zinazoangaliwa na watoto wadogo zinaanza kuingiza ujumbe wa LGBTQ kwa ujanja. Mfano: baadhi ya vipindi vya watoto vimeonyesha ndoa za mashoga au tabia za kubadilika kijinsia kama jambo la kawaida na la kufurahisha.
  4. Mabadiliko ya lugha na sheria za ukimya: Katika baadhi ya majiji makubwa Afrika, tayari kuna matukio ambapo mtu akisema hadharani kwamba haungi mkono ajenda ya LGBTQ, anashambuliwa kama “mchochezi” au “anayehamasisha chuki.” Hii ni njia ya kunyamazisha hoja mbadala kwa kutumia hofu badala ya mjadala wa wazi.

Kwa kifupi, ninaonya jamii yetu kuhusu hatari ya kupokea kila kitu kutoka nje bila kujiuliza madhara yake ya muda mrefu. Tunageuza matatizo ya kisaikolojia kuwa jambo la kujivunia, huku tukitengeneza matatizo mapya ya kijamii kwa vizazi vijavyo.

Tukishindwa kusimama sasa, baada ya miaka 10 tutakuwa na kizazi kinachoamini kuwa kuwa mwanaume au mwanamke ni hisia tu, si hali ya maumbile. Na kama hatutakuwa na nafasi ya kusema ukweli leo, kesho tutakuwa wageni katika tamaduni tulizorithi kutoka kwa mababu zetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom