Njoo na data mm nakuletea HIIHawajawazidi wa huko Uarabuni, na sehemu ya mwambao wa Pwani.
Islamic kulana kinyeo ni sunnah, hata wanawake kuliwa kiboga ni ruksa ktk maandiko ya korani tukufu.
😂😂😂😂😂😂
Uko sahihi kabisaa, nakubalii.Just penguinistic parotism at work...
Nadhani JF waajiri Quality Assuarnce Officer.
Mijadala haiwezi kusonga mbele ikiwa uzi unaanzishwa kwa kutumia misamiati butu kama vile "USHOGA NI HAKI" intending to say "ULAWITI NI HAKI" hata kabla ya kujadili na kuhitimisha maswali ya msingi kuhusu madai kwamba UTOMBAJI NI HAKI
Kwa maoni yangu, Mkakati ambao ni intellectual balanced ni kuuliza na kujibu swali:
"Kwa nini utombaji iwe haki lakini ulawiti isiwe hali?
Kama huweI kujibu swali hili hebu tufikirie kubadili upepo kwa kujadili mahesabu na masayansi kama haya....
View attachment 3378110
Kwasababu "utombaji" might lead to procreation which is the natural order of thingsKwa nini utombaji iwe haki lakini ulawiti isiwe hali?
Sasa huko Uarabuni ni robo 3 ya raia wote, haina haja ya utafiti.Njoo na data mm nakuletea HII
Hapana, hiyo takwimu haiko sahihi.
Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni (kama za Gallup na Pew Research Center), idadi ya watu wanaojitambua kama washoga nchini Marekani ni takriban kati ya 4% hadi 7% ya idadi ya watu wazima.
Kwa hesabu:
- Marekani ina watu wapatao milioni 330.
- 4% hadi 7% ya hii ni takriban milioni 13 hadi 23.
Unaongelea mashoga wanaojificha kwenye migongo ya wake na familia?Kwani wee ulizungumzia nn? Si uliuliza km yapo hayo majukumu, nimekujibu, bado unakataa, na kusema eti ooh ni kiasi kidogo, kwan wee unataka kiasi gani ili iwe sawa?
Sio mashoga lakini kwa asilimia Fulani yanawakumba yale yanayowatokea mashoga kutokana na mazingira hayohawa wote wasio oa au kuwa na watoto ni mashoga? Nasubiri jibu hapa.
Kinacho nichekesha, ni kuwa huwezi kupambana wala kuzuia ushoga/mashoga kwa njia hiiNachotaka kusema ni hivi: Kama jamii ya Kiafrika, tunapaswa kuwa macho na kujitayarisha kwa mabadiliko makubwa ya kijamii yanayokuja kwa kasi—mabadiliko ambayo tayari yamebadili misingi ya jamii za Magharibi, na sasa yanaelekezwa kwetu kupitia mlango wa "misaada ya maendeleo", "uhuru wa mtu binafsi", na "ushoga kama haki za binadamu".
Niliwahi kupitia takwimu za Marekani. Barack Obama alipoingia madarakani mwaka 2008, moja ya ajenda zake kuu ilikuwa ni kuhalalisha ndoa za jinsia moja. Wakati huo, 70% ya Wamarekani walipinga wazo hilo. Lakini kufikia 2014—miaka 6 tu baadaye—mtazamo huo ulikuwa umebadilika kabisa. Asilimia 70% sasa waliunga mkono ndoa hizo. Nini kilitokea?
Majibu ni social engineering. Fedha zilimwagwa kupitia NGOs, mashirika ya kimataifa, na miongozo ya elimu; vyombo vya habari vikabadilika na kuanza kuwasilisha masuala ya LGBTQ kama jambo la kawaida, la kisasa, na la kuigwa. Filamu, muziki, mitandao ya kijamii — vyote vilitumika kubadilisha fikra. Leo hii, kizazi kizima kimetekwa. Kuna watoto wa kike wanaojiita wanaume, na watoto wa kiume wanaojiita wanawake. Ukisema ukweli huu hadharani, unaweza kupoteza kazi, heshima, au hata uhuru wako.
Sasa tukiangalia Afrika, tunaona ishara hizo hizo zimeanza kuonekana:
- Mashirika ya kimataifa yanalenga elimu ya msingi na sekondari: Kuna warsha na programu zinazolenga "elimu jumuishi ya kijinsia" ambazo kwa nje zinaonekana kama elimu ya afya ya uzazi, lakini ndani zinaeneza dhana za utambulisho wa kijinsia (gender identity) na ujinsia mbadala. Watoto wanafundishwa kuwa "unaweza kuwa chochote unachojisikia leo", bila kuzingatia hali ya kimaumbile au tamaduni zetu.
- Mikataba ya misaada yenye masharti ya ajenda za kijinsia: Baadhi ya nchi za Afrika zimeshawahi kulazimishwa kuingiza sheria au sera za kupokea na kuwalinda mashoga ili zipate misaada ya kimataifa. Mfano ni nchi kama Malawi, Uganda, na Ghana ambazo zimewahi kukumbana na mashinikizo ya kimataifa kuhusu sheria zao za ushoga.
- Media na burudani kutoka Magharibi zinaathiri vijana wetu moja kwa moja: Vipindi vya Netflix, YouTube, TikTok, na hata baadhi ya katuni zinazoangaliwa na watoto wadogo zinaanza kuingiza ujumbe wa LGBTQ kwa ujanja. Mfano: baadhi ya vipindi vya watoto vimeonyesha ndoa za mashoga au tabia za kubadilika kijinsia kama jambo la kawaida na la kufurahisha.
- Mabadiliko ya lugha na sheria za ukimya: Katika baadhi ya majiji makubwa Afrika, tayari kuna matukio ambapo mtu akisema hadharani kwamba haungi mkono ajenda ya LGBTQ, anashambuliwa kama “mchochezi” au “anayehamasisha chuki.” Hii ni njia ya kunyamazisha hoja mbadala kwa kutumia hofu badala ya mjadala wa wazi.
Kwa kifupi, ninaonya jamii yetu kuhusu hatari ya kupokea kila kitu kutoka nje bila kujiuliza madhara yake ya muda mrefu. Tunageuza matatizo ya kisaikolojia kuwa jambo la kujivunia, huku tukitengeneza matatizo mapya ya kijamii kwa vizazi vijavyo.
Tukishindwa kusimama sasa, baada ya miaka 10 tutakuwa na kizazi kinachoamini kuwa kuwa mwanaume au mwanamke ni hisia tu, si hali ya maumbile. Na kama hatutakuwa na nafasi ya kusema ukweli leo, kesho tutakuwa wageni katika tamaduni tulizorithi kutoka kwa mababu zetu.
Moja ya vitu vilivyomrudisha Trump madarakani ni push back dhidi ya LGBTQ na ajenda zake; madhara yameanza kuonekana baada ya zaidi ya miaka 15 ya propaganda nzitoKwa wenzetu suala hili sioni wakilijadili kama hoja za nchini kwao! Naona wazazi wanavyopambana watoto wao wasiwe mashoga/wasagaji nk! Huko Africa
Ndo ulivofundishwa kanisani? Hapa bongo waarabu wapo wengi tu tunawaona, je ushawahi ona mwarabu shoga?Sasa huko Uarabuni ni robo 3 ya raia wote, haina haja ya utafiti.
Nina muda wa kufanya vyote, kama umesucribe utaona nazungumzia mada mbalimbali zihusuzo jamiiSi ujikite na mambo mengine?
This is very counterproductive, hatuwezi kulitatua tatizo kwa njia hiiHuitaji kuongea saaana bali kutenda kama hivi...
Hivi kuoa au kuolewa, au kuwa na mtoto ni lazima au hiyari? Unasema hali hiyo mentally sio kawaida kwa kipi? Au wee ndo fikra zako zinasema hivyo? Na unataka ionekane hivyo kwa umma nzima? .Sio mashoga lakini kwa asilimia Fulani yanawakumba yale yanayowatokea mashoga kutokana na mazingira hayo
Mwanaume au mwanamke afike 50 years hana watoto basi ujue mentally hiyo sio Hali ya kawaida; siongei kwa mabaya ila kwa uhalisia
Kumbe wee ni hamnazo, em nitolee pumba zako hapa.Ndo ulivofundishwa kanisani? Hapa bongo waarabu wapo wengi tu tunawaona, je ushawahi ona mwarabu shoga?
Halaf leta data sio maneno matupu, mwarabu muda wote yupo vitani huo muda wa kupakuliwa unautoa wapi?
Tatzo hampendi ukweli mkuambia mnakimbilia kusema ooh miji ya Pwani ndo inaongoza kwa ushoga, halaf data hamna Zaid ya hisia tu
Makafiri mnaongoza kwenye Kila baya hapa duniani
1. Ushoga
2. Mauaji
3. Unafiki
4. Ukatili
5. Ulevi
6. Ushirikina na uchawi
7. Zinaa
Mipaka ya uelewa huo inaisha pale maamuzi ya watu binafsi kwa wingi wao yanapoanza kuathiri jamii nzima vibaya (haya ninayoongelea kwa wingi zaidi kwa vizazi vijavyo)Hata Chizi Huwa Hajui Kuwa Yeye ni chizi Jitahidi Kuwaelewa Watu Kwa Jinsi Walivyo
Kwasababu "utombaji" might lead to procreation which is the natural order of things
Kuzibua mitaro ni unnatural
MAKAFIRI MAKRISTO YA ULAYA NI MAKATILI ACHA SHOBO NAYO MM SINA DINI NASIMAMIA UKWELI, JAPO MAKOBAZ HAYANA AKILI LKN NYINYI NDO WALETA SHIDA ZOTE HAPA DUNIANI KWA RACE NYINGNEKumbe wee ni hamnazo, em nitolee pumba zako hapa.
Kuwa na watoto si “lazima” kama sheria ya kijeshi, lakini ni mchakato wa kiasili (biological imperative) na msingi wa uhai wa jamii yoyote, kwa hivyo kuacha jambo hili si tu suala la “uhuru binafsi,” bali linaathiri vizazi, ustawi wa jamii, na hatima ya ustaarabu mzima.Hivi kuoa au kuolewa, au kuwa na mtoto ni lazima au hiyari? Unasema hali hiyo mentally sio kawaida kwa kipi? Au wee ndo fikra zako zinasema hivyo? Na unataka ionekane hivyo kwa umma nzima? .
Siyo lazima kupanda miti, lakini tusipopanda, misitu itakufa. Sasa tafakari hiyo ikiletwa kwa jamii ya binadamu—nani atabeba jina lako, urithi wako, tamaduni zako?
Umeandika vyema sana ndugu.“Mashoga Wanasema Wanataka Haki Zao, Lakini Kabla Hatujaanza Kujadili Hizo Haki, Tuwajadili Wao Kama Jumuiya”
Nianze kwa kusema jambo moja, kwa sauti ya juu na kwa tahadhari ya tahadhari: Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Waafrika, Watanzania, watu wa tabaka la wanaojiona bado tuna maadili, tumejilaza kivulini tukipunga upepo wa mila na desturi, tukisubiri tukio kubwa—bila kujua kuwa hilo tukio halisubiri, linakaribia, linavunja milango, na tayari lipo chumbani.
Nasema haya nikitazama mjadala unaotikisa nchi za Magharibi—mjini New York, Berlin, Amsterdam na kwingineko. Mijadala ya "haki" za mashoga. Mijadala ya "identity." Mijadala ya uhuru wa kuishi "kama ulivyojizoea kuamini unavyoishi."
Ni mijadala mikubwa. Ya kisomi. Ya kifalsafa. Ya kimataifa.
Lakini kama ilivyo kawaida ya kila kitu kutoka Ulaya: kinaanza kama mjadala, kinaishia kama amri. Kinaanza kama pendekezo, kinaishia kama sera ya kimataifa. Kinaanza kama "tuwaelewe," kinaishia kama "ukikosoa, ni uhalifu wa chuki."
Na kwa sababu sisi tumejiaminisha kuwa maendeleo ni kule kusema "ndiyo" kwa kila kitu kutoka nje, tunaishia kuwa waumini wa kila itikadi inayowakataa hata waliotunga.
Tanzania haijawahi kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu mashoga. Ukisema neno hilo tu, vichwa vigeuka. Biblia itafunguliwa. Imam atasimama. Watoto watazibwa masikio. Lakini sasa, polepole, mambo yanabadilika. Utandawazi—ambao hatujauelewa—umetufikia kwa kasi ya moto wa petroli kwenye dari ya nyasi.
Leo hii kijana wa Kitanzania anatumia Instagram, Twitter, Netflix. Anapokea memes, anashabikia maudhui, anapewa ushawishi wa kisiasa, wa kijinsia, wa kijamii—ambao msingi wake ni huu: kila identity ni sawa. Hakuna la kujadili. Ukijadili, unanyanyapaa.
Sasa nauliza: hivi kweli?
Tunataka kutunga sheria tukitazama machozi ya West Hollywood badala ya kuangalia afya ya kijamii ya Kigoma?
Tunataka kuhalalisha mfumo wa maisha ambao tafiti za kisayansi zimeshaonesha wazi kuwa umejaa matatizo ya kiakili—na kuyaita "uhuru"?
Je, tuko tayari kutumbukiza watoto wetu kwenye shimo la majaribio ya kimtazamo ambayo huko yalipotungwa yameshindikana, lakini sisi tunayaabudu kwa sababu yametoka kwa "waliotutangulia"?
Twende kwa hoja.
Utafiti wa hivi karibuni kutoka Magharibi umeonesha kuwa wanaume mashoga wana viwango vya juu vya matatizo ya akili kuliko makundi mengine yote ya kijamii. Orodha ni ndefu:
- Wasiwasi
- Unyogovu
- Bipolar
- PTSD
- Schizophrenia
- OCD
- ADHD
- Magonjwa ya kula
- Personality disorders
Kila daktari wa akili anajua, kila mwanasaikolojia anathibitisha, lakini jamii imefungwa mdomo na neno moja lenye kutisha kuliko risasi: "unyanyapaa."
Wakisema, "tujadili haya matatizo kwanza," wanaitwa wabaguzi.
Wakisema, "pengine mfumo huu si imara," wanaitwa maadui wa haki.
Wakisema, "tuwaangalie watoto wetu kabla ya kuiga haya," wanaitwa watu wa kale.
Lakini mimi nasema:
Kabla hujaangalia kuwa mtu anahitaji haki, jiulize: mtu huyu anaishi vipi? Ana mizizi gani? Ana afya gani ya akili, ya kiroho, ya kihisia?
Hali ni mbaya zaidi kuliko tunavyoambiwa. Mashoga wengi kwenye nchi zilizoendelea, walio na uhuru wa kila aina, bado wanasema "tunateseka."
Wananyong'onyea. Wamelemewa.
Wapo kwenye kile walichokiita wenyewe “Depression Olympics.”
Je, kama huo ndio uhuru tunaoambiwa tukubali, unatumika vipi kama tiba ya maisha?
Kuna tatizo la msingi:
Watu wa kawaida, wanaume wa kawaida, wanalazimika kupitia mfumo wa maisha unaowalazimisha kukua:
- Kupenda
- Kuoa
- Kulea
- Kujenga familia
- Kubeba majukumu
Ni mfumo mgumu, si wa kisasa, si wa kupendeza, lakini una mwelekeo. Mtu analelewa kwenye wajibu.
Kwa mashoga wengi, mfumo huu haupo.
Wanaishi kwenye "uhuru kamili."
Hakuna mtu anayewalazimisha kuwa wa familia, kuwa wa kujenga, kuwa wa kuwekeza katika uhusiano wa maana.
Matokeo yake:
- "Hookup culture" (Umalaya for the sake of Umalaya na sio kwasababu ya shida ya pesa)
- Mapenzi ya saa moja (kulala na watu hata majina hawajui maana kesho atakuwepo mwingine)
- Mihadarati kama daraja la kujuana (Pombe, Bangi na madawa Makali kama cocaine)
- Na hatimaye: Upweke wa kifalsafa—kuwepo bila maana.
Nimesoma ushuhuda wa mtu mmoja—shoga, msomi, mwenye akili. Akasema:
Hili si fundisho la dini. Ni fundisho la maisha:
Haki haiji bila wajibu. Na uhuru usio na mizizi ni kifo cha polepole.
Lakini hatari kubwa zaidi ni hii:
Tunavyoendelea kuondoa “unyanyapaa,” tunasahau kuwa tunafundisha kizazi kipya kuwa maisha haya, mfumo huu, hali hizi—ni sawa, ni sahihi, ni huru.
Na watoto wetu, wakiwa sekondari, wakiwa chuoni, watafundishwa kuwa "identity is everything."
Wataambiwa kuwa hakuna njia sahihi ya maisha.
Watadhani kuwa upweke wa ughaibuni ni utajiri wa kimtazamo.
Watakuwa katika dunia ambayo kila mtu ana bendera, lakini hakuna anayejua anaelekea wapi.
Hitimisho la Mwandishi:
Ninaposema haya, sitafuti kupendwa. Sitafuti "kukubalika."
Ninaandika kwa hofu ya kizazi kijacho.
Kwa sababu uhuru huu wa Kimagharibi ukimwagika huku kwetu, hautatua kama mvua ya neema—utatua kama mafuriko ya taharuki.
Na tusipokuwa waangalifu, tutafundisha watoto kuwa maisha ya huzuni, kujitenga, upweke, na ukosefu wa wajibu ni jambo la kawaida.
Tutawapa uhuru wa kuchagua mashimo ya kiakili, huku tukiwaita “free thinkers.”
Kwa hiyo kabla hatujaanza kusherehekea "ushoga ni haki," tuulize:
Je, tunazungumza juu ya haki au tunazungumza juu ya hali ya kuhurumiwa?
Je, tunataka kuwalinda mashoga au tunataka kuiga mfumo ambao unawatesa zaidi?
Je, tunapigania kukubalika kwa watu, au tunahalalisha maumivu yao kuwa dira ya watoto wetu?
Nimeandika. Tafakari.