Mashoga Wanadai Haki, Lakini Je, Tunaelewa Tunachoshinikizwa Kukubali?

Mashoga Wanadai Haki, Lakini Je, Tunaelewa Tunachoshinikizwa Kukubali?

Status
Not open for further replies.
Kwa.mujibu wa sheria ya maadili asilia uasherati kati ya watu wazima wawili ni halali kwa sababu ya kustawisha tunu hii pia.
Yaweza ikawa hivyo ingawa naona kama vile jamii bado Iko biologically programed kuwa disgusted na chochote kinachohusiana na haja kubwa, tunaweza kusema it's natural law lakini even our biology is programed to reject it
Afu mbna unajichanganya, hapa tunazungumzia ushoga/mashoga ktk muenendo mzima wa majukumu yao ndani ya taasisi, ikiwa kuna majukumu yako hadi walio nje yanawagusa na yanawakumba, kuna haja gani ya kupiga kelele?
Majukumu Gani unayoongelea?
 
MAKAFIRI MAKRISTO YA ULAYA NI MAKATILI ACHA SHOBO NAYO MM SINA DINI NASIMAMIA UKWELI, JAPO MAKOBAZ HAYANA AKILI LKN NYINYI NDO WALETA SHIDA ZOTE HAPA DUNIANI KWA RACE NYINGNE

1. Uingereza (Britain)
- Ukoloni duniani kote (Afrika, Asia, Amerika).
- Makadirio: Mamilioni 10-20 (ukijumuisha vita, ukandamizaji, njaa, magonjwa).

2. Ujerumani
- Vita vya Dunia, Holocaust, na ukoloni.
- Makadirio: Vita vya Dunia milioni 15-20, Holocaust watu 6 milioni waliuawa.

3. Ufaransa
- Ukoloni Afrika na Asia.
- Makadirio: Milioni 5-10 kutokana na vita za ukoloni na mateso.

4. Japan
- Uvamizi wa Asia Mashariki (China, Korea).
- Makadirio: Milioni 5-10, ikijumuisha mauaji ya kimbari kama Nanjing.

5. Urusi/Soviet Union
- Vita vya dunia, uvamizi wa Afghanistan, vita vya wenyewe kwa wenyewe.
- Makadirio: Milioni 20-30 waliuawa.

6. Marekani
- Vita vya Vietnam, Iraq, Afghanistan, na uvamizi mwingine.
- Makadirio: Maelfu hadi mamilioni (watu wa raia na wanajeshi).

7. Ubelgiji
- Ukoloni wa Kongo.
- Makadirio: Milioni 10-15 waliuawa au kuumia vibaya.

8. Uholanzi
- Ukoloni wa Indonesia, Afrika.
- Makadirio: Maelfu hadi mamilioni kwa miongo kadhaa.

9. Italia
- Uvamizi wa Afrika (Ethiopia, Libya).
- Makadirio: Maelfu hadi mamilioni, hasa kutokana na vita na mateso.

10. Portugal
- Ukoloni wa Afrika na Asia.
- Makadirio: Maelfu hadi mamilioni kutokana na vita, mateso, na ukandamizaji.

Nashauri uache kufikiri ndani ya kasha la ukafiri. Mashoga wa Zanzibar sio Wakristo. Jielekeze kwenye hoja bila kushanbulia dini. Katika sehemu zote duniani kuna Wakristo wacha Mungu kuliko unavyofikiri
 
Umeandika vyema sana ndugu.
Ila naona tayari tuko nyuma ya muda,nasema hivi kwa sababu mamlaka za serikali zilithibitisha kumshikilia Boniface Mwangi,baadaye kuna picha mjengeo ukimuonesha mwangi akilalamika kufanyiwa vitendo hivyo na waliokuwa wakimshikilia.
Sasa kwa hili hao Wamagharibi wamehusikaje?

Tukemee haya mambo kwa vitendo,serikali useme waziwazi kuwa vitendo hivi na vinavyo fanana na hivi haviruhusiwi,ili tusijekua tunapinga vitu ambavyo mamlaka zimevibariki kimyakimya.

Ulawiti wa aina hiyo, na ule uliofanyika Uganda wakati wa vita ya Idd Amin, hadi kuhamisha ukimwi na kuuleta mkoani Kagera, ni suala tofauti.

Hiyo ni mbinu ya kivita. Kikosi cha walawiti wanakuwa na mwanamke wa kuwapiga punyeto wanaume ili mboo isimame vizuri kisha ulawiti wa wanaume wenzao unafuata.

Ulawiti huu ni mbinu mojawapo ya INTERROGATIONAL TORTURE. Tena wakati mwingine Baba analawitiwa mbele ya mke na watoto wake mpaka asema taarifa zinazotafutwa.

Suala ni kwa nini mbinu za kivita zitumike sasa hivi nchini Tanzania wakati hakuna vita.

Hii ni sababu mojawapo ya watu wenye akili zao kuhitimisha kwamba kwa sasa Tanzania hakuna mkuu wa nchi mwenye vigezo vya kuitwa STATESMAN.

Watu wanasema kuwa Nchi iko kwenye auto-pilot state.

Lakini Huo ni mjadala tofauti.
 
Nashauri uache kufikiri ndani ya kasha la ukafiri. Mashoga wa Zanzibar sio Wakristo. Jielekeze kwenye hoja bila kushanbulia dini. Kuna Wakristo wacha Mungu kuliko unavyofikiri
Kwanza mashoga Tanzania ni mchanganyiko Kuna kobaz na makafiri

Pili, mm naongelea makafiri makristo ya ulaya na marekani hakuna sehemu nimetaja Tanzania au Africa

Tatu, hao mashoga Sio Zanzibar, dar es salaam, Tanga unauhakika Gani ni kobaz ukizingatia hiyo ni miji mikubwa na ya utalii wanaingia watu wengi kutoka sehem mbalmbal kutoka Tz yote.

Nne, jifunze kujibu kilichoandikwa Sio kukurupuka na dini zenu za wazungu na waarabu
 
Kwanza mashoga Tanzania ni mchanganyiko Kuna kobaz na makafiri

Pili, mm naongelea makafiri makristo ya ulaya na marekani hakuna sehemu nimetaja Tanzania au Africa

Tatu, hao mashoga Sio Zanzibar, dar es salaam, Tanga unauhakika Gani ni kobaz ukizingatia hiyo ni miji mikubwa na ya utalii wanaingia watu wengi kutoka sehem mbalmbal kutoka Tz yote.

Nne, jifunze kujibu kilichoandikwa Sio kukurupuka na dini zenu za wazungu na waarabu
Niliwahi andika humu Uzi juu ya tamaduni ya Ulawiti wa watoto Afghanistan ambao mpaka Viongozi wanahusika, Uzi ukafutwa
 
Kuwa na watoto si “lazima” kama sheria ya kijeshi, lakini ni mchakato wa kiasili (biological imperative) na msingi wa uhai wa jamii yoyote, kwa hivyo kuacha jambo hili si tu suala la “uhuru binafsi,” bali linaathiri vizazi, ustawi wa jamii, na hatima ya ustaarabu mzima.

Tukiangalia kwa mtazamo wa anthropology:

  • Kwa zaidi ya miaka 200,000 tangu kuibuka kwa Homo sapiens, karibu kila jamii ya binadamu imejengwa juu ya msingi wa familia: watu kuunganishwa, kuzaa, na kulea watoto.
  • Utafiti wa jamii za asili (kama Wahadza wa Tanzania au Wabororo wa Amazon) unaonyesha kuwa hata katika mazingira ya uhuru wa kijinsia, lengo la mwisho huwa ni uendelevu wa ukoo—kupitia watoto.
  • Anthropologist Margaret Mead na Claude Lévi-Strauss walionyesha kwamba ndoa na uzazi si tu kwa ajili ya mtu binafsi, bali ni mfumo wa kijamii unaojenga mitandao ya kuaminiana, urithi wa mali, na utulivu wa kijamii.

Kwa upande wa biology:

  • Seli za uzazi—yaani mbegu za kiume (sperm) na mayai ya kike (ova)—zimeundwa kwa ajili ya kitu kimoja: kuanzisha maisha mapya. Hii ni kazi ya asili, si chaguo la kiakili.
  • Homoni kama oxytocin na prolactin zinazotolewa wakati wa kuzaa na kunyonyesha zinajenga uhusiano wa kihisia baina ya wazazi na watoto. Hii ni evolution ikituonyesha kuwa kulea watoto si tu jukumu, bali ni sehemu ya utambulisho wa kibinadamu.
  • Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa watu wasio na watoto wana uwezekano mkubwa wa kupata matatizo ya kiakili na upweke wanapozeeka — kwa sababu maisha ya binadamu yameumbwa kuwa ya kijamii na kizazi baada ya kizazi.

Kuhusu hoja ya pili: "Unataka ionekane hivyo kwa umma mzima?"

Sijaribu kugeuza maoni binafsi kuwa sheria ya umma, bali kuonyesha kuwa kutoa sifa kwa maisha yasiyoendeleza jamii ni kuharibu msingi wa jamii hiyo kimya kimya. Tukiweka kwenye kipimo cha muktadha:

  • Hatusemi kila mtu aolewe kwa lazima, lakini tukikumbatia dhana kuwa kuoa au kuzaa si muhimu kabisa, tutafika hatua ambayo kizazi kijacho kitakosekana.
  • Baadhi ya nchi kama Japan, Korea Kusini, na hata Ujerumani tayari wanakabiliwa na demographic collapse — idadi ya wazee inazidi vijana, uchumi unashuka, na jamii inakufa polepole.

Kwa hiyo, mtu anaposema, “si lazima kuzaa au kuoa,” ana haki ya kusema hivyo binafsi. Lakini kama jamii, hatuwezi kuishi kwa msingi wa kauli hiyo. Lazima tutofautishe kati ya uhuru wa mtu binafsi na wajibu wa kijamii na kimaumbile.

This response is at least focused. Lakini bado kuna tatizo. Wasomaji wako tunapenda kuona thought process yako ikishuka toka major premise kwenda minor premise hadi hitimisho. Bado sioni mtiririko huu. Mfano mzuri ni jinsi unavyoongelea kazi ya homoni ya OXYTOCIN. Ina kazi kubwa kuliko ulichosema. Hata wagumba wanafaidika na homoni hii. Boresha modula oblangata yako.
 
Ulawiti wa aina hiyo, na ule uliofanyika Uganda wakati wa vita ya Idd Amin, hadi kuhamisha ukimwi na kuuleta mkoani Kagera, ni suala tofauti.

Hiyo ni mbinu ya kivita. Kikosi cha walawiti wanakuwa na mwanamke wa kuwapiga punyeto wanaume ili mboo isimame vizuri kisha ulawiti wa wanaume wenzao unafuata.

Ulawiti huu ni mbinu mojawapo ya INTERROGATIONAL TORTURE.

Suala ni kwa nini mbinu za kivita zitumike wakati hakuna vita.

Hii ni sababu mojawapo ya watu wenye akili zao kuhitimisha kwamba kwa sasa Tanzania hakuna mkuu wa nchi mwenye vigezo vya kuitwa STATESMAN. Nchi iko kwenye auto-pilot state.

Lakini Huo ni mjadala tofauti.
Ninaelewa kuhusu hayo ya mbinu mbunu,lkn sasa kwani huyu unayelawiti yeye siyo shoga?
Jina lao ni akina nani?
Vp kama uwepo wao ndio unaopelekea kushamili kwa vitendo vya ushoga na tabia hizo,mamlaka za serikali hazihusiki vipi kwenye kuufuga huu ushoga?

Je,kuna urahisi ktk kuyakomesha haya?
Vipi,wale waliowahi kutajwa kuwaita Walimu,DED naye akawaruhusu (sina hakika kwenye ruhusa lkn kuhudhuria semina maana yake waliruhusiwa) kuhudhuria semina ambayo mmoja wa wanasemina alitoa taarifa kuwa alikuja kujua baadae kuwa ni semina kuhusu kuwaingiza watoto kwenye mambo hayo,je hao wadhamini na waseminishaji walichukuliwa hatua gani,wako wapi?

Hili lilitokea SAME nadhani mwaka juzi.
 
This response is at least focused. Lakini bado kuna tatizo. Wasomaji wako tunapenda kuona thought process yako ikishuka toka major premise kwenda minor premise hadi hitimisho. Bado sioni mtiririko huu. Mfano mzuri ni jinsi unavyoongelea kazi ya homoni ya OXYTOCIN. Ina kazi kubwa kuliko ulichosema. Hata wagumba wanafaidika na homoni hii. Boresha modula oblangata yako.
I will 🙏
 
Sio kila shoga ni mlawiti
Sio kila mlawiti ni shoga
Ukawiti ni uamuzi kama ambavyo utombaji ni uamuzi
Ushoga ni maumbile kama ambavyo uanaume na uanauke ni maumbile
Yawezekana ushoga ikawa ni namna ambavyo huyo mtu kaumbwa lkn siyo mashoga wote wameumba vivyo,wengine wamefundishwa (kuzoeshwa) wakingali na umri mdogo.

Sasa huu ufundishaji au uzoeashaji kwa watoto ama binadamu ni mbaya na kwa vyovyote vile ina haribu jamii kwa kasi kubwa sana na sasa inaonekana kwamba hii tabia ya kuzoesha inashika kasi sana.

Tukatae tabia hizi kwa vitendo.
 
Just tell us if you have ever been sexually attracted to your own kind and if not why others do?
Never been attracted to my own kind, Sina jibu la why others do ila nachojua it's detrimental in the grand scheme of things (an aberration)
 
“Mashoga Wanasema Wanataka Haki Zao, Lakini Kabla Hatujaanza Kujadili Hizo Haki, Tuwajadili Wao Kama Jumuiya”

Nianze kwa kusema jambo moja, kwa sauti ya juu na kwa tahadhari ya tahadhari: Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Waafrika, Watanzania, watu wa tabaka la wanaojiona bado tuna maadili, tumejilaza kivulini tukipunga upepo wa mila na desturi, tukisubiri tukio kubwa—bila kujua kuwa hilo tukio halisubiri, linakaribia, linavunja milango, na tayari lipo chumbani.

Nasema haya nikitazama mjadala unaotikisa nchi za Magharibi—mjini New York, Berlin, Amsterdam na kwingineko. Mijadala ya "haki" za mashoga. Mijadala ya "identity." Mijadala ya uhuru wa kuishi "kama ulivyojizoea kuamini unavyoishi."

Ni mijadala mikubwa. Ya kisomi. Ya kifalsafa. Ya kimataifa.
Lakini kama ilivyo kawaida ya kila kitu kutoka Ulaya: kinaanza kama mjadala, kinaishia kama amri. Kinaanza kama pendekezo, kinaishia kama sera ya kimataifa. Kinaanza kama "tuwaelewe," kinaishia kama "ukikosoa, ni uhalifu wa chuki."

Na kwa sababu sisi tumejiaminisha kuwa maendeleo ni kule kusema "ndiyo" kwa kila kitu kutoka nje, tunaishia kuwa waumini wa kila itikadi inayowakataa hata waliotunga.

Tanzania haijawahi kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu mashoga. Ukisema neno hilo tu, vichwa vigeuka. Biblia itafunguliwa. Imam atasimama. Watoto watazibwa masikio. Lakini sasa, polepole, mambo yanabadilika. Utandawazi—ambao hatujauelewa—umetufikia kwa kasi ya moto wa petroli kwenye dari ya nyasi.

Leo hii kijana wa Kitanzania anatumia Instagram, Twitter, Netflix. Anapokea memes, anashabikia maudhui, anapewa ushawishi wa kisiasa, wa kijinsia, wa kijamii—ambao msingi wake ni huu: kila identity ni sawa. Hakuna la kujadili. Ukijadili, unanyanyapaa.

Sasa nauliza: hivi kweli?
Tunataka kutunga sheria tukitazama machozi ya West Hollywood badala ya kuangalia afya ya kijamii ya Kigoma?
Tunataka kuhalalisha mfumo wa maisha ambao tafiti za kisayansi zimeshaonesha wazi kuwa umejaa matatizo ya kiakili—na kuyaita "uhuru"?
Je, tuko tayari kutumbukiza watoto wetu kwenye shimo la majaribio ya kimtazamo ambayo huko yalipotungwa yameshindikana, lakini sisi tunayaabudu kwa sababu yametoka kwa "waliotutangulia"?


Twende kwa hoja.
Utafiti wa hivi karibuni kutoka Magharibi umeonesha kuwa wanaume mashoga wana viwango vya juu vya matatizo ya akili kuliko makundi mengine yote ya kijamii. Orodha ni ndefu:
  • Wasiwasi
  • Unyogovu
  • Bipolar
  • PTSD
  • Schizophrenia
  • OCD
  • ADHD
  • Magonjwa ya kula
  • Personality disorders

Kila daktari wa akili anajua, kila mwanasaikolojia anathibitisha, lakini jamii imefungwa mdomo na neno moja lenye kutisha kuliko risasi: "unyanyapaa."

Wakisema, "tujadili haya matatizo kwanza," wanaitwa wabaguzi.
Wakisema, "pengine mfumo huu si imara," wanaitwa maadui wa haki.
Wakisema, "tuwaangalie watoto wetu kabla ya kuiga haya," wanaitwa watu wa kale.

Lakini mimi nasema:
Kabla hujaangalia kuwa mtu anahitaji haki, jiulize: mtu huyu anaishi vipi? Ana mizizi gani? Ana afya gani ya akili, ya kiroho, ya kihisia?

Hali ni mbaya zaidi kuliko tunavyoambiwa. Mashoga wengi kwenye nchi zilizoendelea, walio na uhuru wa kila aina, bado wanasema "tunateseka."
Wananyong'onyea. Wamelemewa.
Wapo kwenye kile walichokiita wenyewe “Depression Olympics.”

Je, kama huo ndio uhuru tunaoambiwa tukubali, unatumika vipi kama tiba ya maisha?

Kuna tatizo la msingi:
Watu wa kawaida, wanaume wa kawaida, wanalazimika kupitia mfumo wa maisha unaowalazimisha kukua:
  • Kupenda
  • Kuoa
  • Kulea
  • Kujenga familia
  • Kubeba majukumu

Ni mfumo mgumu, si wa kisasa, si wa kupendeza, lakini una mwelekeo. Mtu analelewa kwenye wajibu.

Kwa mashoga wengi, mfumo huu haupo.
Wanaishi kwenye "uhuru kamili."
Hakuna mtu anayewalazimisha kuwa wa familia, kuwa wa kujenga, kuwa wa kuwekeza katika uhusiano wa maana.
Matokeo yake:
  • "Hookup culture" (Umalaya for the sake of Umalaya na sio kwasababu ya shida ya pesa)
  • Mapenzi ya saa moja (kulala na watu hata majina hawajui maana kesho atakuwepo mwingine)
  • Mihadarati kama daraja la kujuana (Pombe, Bangi na madawa Makali kama cocaine)
  • Na hatimaye: Upweke wa kifalsafa—kuwepo bila maana.

Nimesoma ushuhuda wa mtu mmoja—shoga, msomi, mwenye akili. Akasema:



Hili si fundisho la dini. Ni fundisho la maisha:
Haki haiji bila wajibu. Na uhuru usio na mizizi ni kifo cha polepole.

Lakini hatari kubwa zaidi ni hii:

Tunavyoendelea kuondoa “unyanyapaa,” tunasahau kuwa tunafundisha kizazi kipya kuwa maisha haya, mfumo huu, hali hizi—ni sawa, ni sahihi, ni huru.
Na watoto wetu, wakiwa sekondari, wakiwa chuoni, watafundishwa kuwa "identity is everything."
Wataambiwa kuwa hakuna njia sahihi ya maisha.
Watadhani kuwa upweke wa ughaibuni ni utajiri wa kimtazamo.
Watakuwa katika dunia ambayo kila mtu ana bendera, lakini hakuna anayejua anaelekea wapi.




Hitimisho la Mwandishi:
Ninaposema haya, sitafuti kupendwa. Sitafuti "kukubalika."
Ninaandika kwa hofu ya kizazi kijacho.

Kwa sababu uhuru huu wa Kimagharibi ukimwagika huku kwetu, hautatua kama mvua ya neema—utatua kama mafuriko ya taharuki.
Na tusipokuwa waangalifu, tutafundisha watoto kuwa maisha ya huzuni, kujitenga, upweke, na ukosefu wa wajibu ni jambo la kawaida.
Tutawapa uhuru wa kuchagua mashimo ya kiakili, huku tukiwaita “free thinkers.”

Kwa hiyo kabla hatujaanza kusherehekea "ushoga ni haki," tuulize:
Je, tunazungumza juu ya haki au tunazungumza juu ya hali ya kuhurumiwa?
Je, tunataka kuwalinda mashoga au tunataka kuiga mfumo ambao unawatesa zaidi?
Je, tunapigania kukubalika kwa watu, au tunahalalisha maumivu yao kuwa dira ya watoto wetu?


Nimeandika. Tafakari.
Haram, Abdul get the ROCKS .
 
Never been attracted to my own kind, Sina jibu la why others do ila nachojua it's detrimental in the grand scheme of things (an aberration)

I totally agree. In the grand scheme of things, namely within the heteronormative scheme of things, it is an aberration indeed. JOSEPH RATZINGER called it a disorder. Now you are saying it is detrimental disorder. The reason it is a disorder is that it is premised on DISORDERS OF SEXUAL DEVELOPMENT. Kuna ulemavu wa kijenetiki hapa. THUS, your detrimentality thesis needs further defense within a robust theory of the place of people with sexual disabilities (PWSDs) in a predominantly heteronormative society
 
Sasa huu ufundishaji au uzoeashaji kwa watoto ama binadamu ni mbaya na kwa vyovyote vile ina haribu jamii kwa kasi kubwa sana na sasa inaonekana kwamba hii tabia ya kuzoesha inashika kasi sana
USA kuna kikundi kimezuka kinaitwa "Moms for Liberty", ni kina mama waliokuja pamoja baada ya kuanza kupata ukakasi wa mitaala wanayofundishwa watoto Wao mashuleni; Kuna Maktaba za shule za msingi walikutana na vitabu vya picha vikielezea jinsi ya kufanya mapenzi ya jinsia Moja
Madhara ya wazazi kuachia elimu ya mtoto mwalimu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom