Guardiola
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 504
- 1,187
Mashoga mengi ni makafiri makristo yanafokoana Sana uko ulaya
"Vijana kama hawa, wanamchango mdogo sana katika Taifa"
Unaingiza Chuki dhidi ya imani ya watu wengine kwenye mijadala ya msingi.
Mashoga mengi ni makafiri makristo yanafokoana Sana uko ulaya
Acha miehemko pimbi, wanaosambaza ushoga ni waarabu kwanza wanajificha ficha ila niwatu wanaoliwa na kula, ndio maana kwa africa maeneo ya pwani kama Zenji, tanga, Mombasa walipokaa waislam ndio kulianzia ushoga, niulize mimi mdau sio unakurupuka sijui umeaanza lini kufirwa maana shahawa zimekupanda kichwaniMashoga mengi ni makafiri makristo yanafokoana Sana uko ulaya
Usituletee Umagharibi hapa; utafanya starehe tutakazokuruhusu ufanyeUsituchoshe na wewe na mgazeti wako, kwanza hujawahi kula tigo weyeee au unajitoa ufahamu tuu hapa, kila mtu na starehe yake
Hajanyooshwa mtu , mmekimbia mjadalaDoctor ahsante sana, umejua kutunyooshea mtu/watu,
Kwa niaba ya Lgbt+ wa Tanzania tunakushukuru na kukutakia happy pride month 🏳️🌈
Kuna maswali yangu kule juu hujajibuHajanyooshwa mtu , mmekimbia mjadala
Nilikumiss jamani,Hata wewe dokta asante sana kwa kutuwakilisha vyema.
Umewanyoosha sana hawa VIPWINTO WA JF.
Ndugu .......Anyway naomba nikujibu hivi kwanza kwa maandishi yako tayari unaonesha una chuki dhidi ya jamii ya Lgbt+ (homophobic) na nyie homophobics ndio mliosababisha mpaka hizo nchi zilizoendelea kuja na sera madhubuti ya kuwalinda jamii ya mashoga sababu dunia kabla haijastaarabika nazungumzia karne nyingi zilizopita jamii hii ya mashoga ilikuwepo ila waliishi kwa uoga na hofu na waliuliwa ama kudhalilishwa pindi walipojulikana,
Aaaah ndugu yangu..... Kwahiyo unataka sahizi kutenganisha jamii ya mashoga na Ulawiti? What are you trying to say? Kwamba wengi wenu hamtumii the sphincter for sexual gratification?Here....
View attachment 3378342
Unaongela "ushoga kama haki ya kibinadamu" while in fact unaongelea "ulawiti kama haki ya binadamu"
What is the problem?
Upgrade your medulla oblangata.
Dada cocastic ukiwa shoga na unaendelea na mishe zako za kishoga shoga it's fine.Kila siku huwa nashangaa, wanaoteseka juu ya ushoga/mashoga ni straight uchwara, na sio wao Wahusika.
Yes ni Straight uchwara, hasa bisexuals na ndio kundi kubwa lililopo hapa Duniani, yaan ni wana haha kuliko hata Gays wenyewee.
Mtu analeta hoja sijui matatizo ya akili, hawa raia waliojichokea na umaskini wa fikra had uchumi, nao ni mashoga? Mara umalaya huo umalaya mbona straight uchwara ndo sifa yao kuu na wanajivunia hilo wazi wazi?
Nyie km mnapinga ushoga, pingeni kwa hoja zilizo na mantiki, sio hizi futuhi zenu, zilizopitwa na wakati na za uongo. Mkikaa huko vijiweni mnadanganyanaa wee na kujipa ahueni ya ubabaifu,
Ila waja ushoga/mashoga wanawatesa sanaa eee? Mbona wao wako lelelelee tena winja winja na maisha yao, ila nyie sasa kutwaa makasiriko yasiyo na msingi? Vipi hamjambo lakinii? 😂😂😂😂
Mashogaa wako na wanatamba watakavyo,
Weraaaaaaa weraaaaaaa!!! 😂😂😂😂😂
Nakubaliana kwamba jamii ya mashoga imekuwepo tangu enzi za kale – hata katika simulizi za kidini kama Sodoma na Gomora. Lakini swali kuu ni hili: Kama kweli waliwakuta (Yesu na Muhammad) na “kuwaacha,” waliwaacha kwenye mazingira gani?Nakukumbusha tena, jamii ya mashoga ilikuwepo tangu karne nyingi zilizopita ref: sodoma na gomora kwa maana hiyo hata Yesu na Muhammad waliwakuta na wakawaacha pia
Ushoga si jambo jipya. Historia ya binadamu imekuwa na watu wa mwelekeo huu katika jamii mbalimbali. Lakini kuwepo kwake hakumaanishi kwamba kulikuwapo na kukubalika—hili ni jambo ambalo limebadilika au kusuasua kulingana na mila, dini, au siasa za wakati.
🤣Basi na sie wenye mboo kubwa na sie tufosi kutambulika katika jamii na tuwe na haki zetu.
Aaaah ndugu yangu..... Kwa hiyo unataka sahizi kutenganisha jamii ya mashoga na Ulawiti? What are you trying to say? Kwamba wengi wenu hamtumii the sphincter for sexual gratification?
nipo babe nimekumissNilikumiss jamani,
Upoo????
Happy pride month🏳️🌈
Kwanza Mimi sio kobaz pili makristo makafiri mnaongoza kufilana Dunia nzima nynyi ni Namba Moja.Acha miehemko pimbi, wanaosambaza ushoga ni waarabu kwanza wanajificha ficha ila niwatu wanaoliwa na kula, ndio maana kwa africa maeneo ya pwani kama Zenji, tanga, Mombasa walipokaa waislam ndio kulianzia ushoga, niulize mimi mdau sio unakurupuka sijui umeaanza lini kufirwa maana shahawa zimekupanda kichwani
Gaidi ni nani?Makristo mengi?. Muddy aliwaweza sana kuwaingizia chuki zidi ya wakristo. Ndiyo maana nyinyi ni rahisi sana kuwa magaigi. Sababu ya chuki ya kupandikizwa dhidi ya mwenye Imani zingine
Gaidi ni nani?Makristo mengi?. Muddy aliwaweza sana kuwaingizia chuki zidi ya wakristo. Ndiyo maana nyinyi ni rahisi sana kuwa magaigi. Sababu ya chuki ya kupandikizwa dhidi ya mwenye Imani zingine
Naendelea, nchi za magharibi haziwageuzi watu kua mashoga, wanachofanya ni kuilinda hiyo jamii ya mashoga ambayo ipo kwa kuwafanya waishi kwa amani kwenye ulimwengu kama watu wengine bila kuhisi hofu, ubaguzi wala udhalilishwaji, kama aliyewaumba kawapa pumzi na afya na utashi kwanini wewe ambaye huwezi kuunda hata jiwe uchukie uwepo wa mwingine kisa tu mitizamo yenu ya kingono haiendani? Sio kama wewe ndie unaonekana una tatizo la akili?
Tunatetea haki za mashoga hapa..... Kugusia sphincter imekuwaje "attacking the arguer"?"Wengi wenu"....
You have lost your argument by attacking the arguer instead of the argument.
Case closed.
Hasara kwa wazazi ndugu jamaa marafiki na taifa kiujumla