Mashoga Wanadai Haki, Lakini Je, Tunaelewa Tunachoshinikizwa Kukubali?

Status
Not open for further replies.
Tunatetea haki za mashoga hapa..... Kugusia sphincter imekuwaje "attacking the arguer"?
Are you disgusted with the lifestyle?
Kama nimekosea basi nisamehe, turudi kwenye hoja: Ulawiti vs Ushoga

Tangu mwanzao nilivyoelewa hoja yako ni kwamba inaweza kufupishwa kwa njia ya maswali ya kitafiti yafuatayo:
  1. "Je, kama ambavyo utombanaji ni haki ya baadhi ya binadamu, pia ulawiti unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu?"
  2. "Kama jawabu kwa swali hili ni ndio ni kwa nini, na kama jawabu ni hapana ni kwa nini?",
  3. "Kama jawabu kwa swali hili ni ndio, binadamu gani wanapaswa kuwa na haki ya kufanya ulawiti?"
  4. "Je, inawezekana kumtenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti?" na
  5. "Je, inawezekana kuitenganisha jamii ya mashoga na tabia ya ulawiti?"
Kwa vile wewe ndiye umeanzisha mjadala kazi yako ilipaswa kuwa ni kuwafanyia engagement washiriki kiasi kwamba unapata majawabu ya maswali haya bila kuwashambulia wao.

Maswali yako yanaweza kujibiwa na yeyote, shoga na asiye shoga, msagaji na asiye msagaji.

Graham Oppy ni atheist, lakini amenadika vitabu vingu kuhusu Mungu na vinatumika hadi seminari kuu.

Ni mfano tu wa kukusaidia kuona ulipoteleza.

Kwa hiyo sasa, okoa ajenda yako, kwa kupigania haya tangu sasa:
  • Focus vs meandering,
  • Precision vs verbosity,
  • Conceptual clarity vs vaguneness,
  • Terminological consistency vs equivocations.
Haya ndio makosa makuu ambayo hunigombanisha na wanafunzi wangu ninapowasimamia dissertation/thesis zao.
 
Ok..... Naweza kupata mawazao Yako kwenye hili
Eneo hili:
"Je, kama ambavyo utombanaji ni haki ya baadhi ya binadamu, pia ulawiti unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu?"
"Kama jawabu kwa swali hili ni ndio ni kwa nini, na kama jawabu ni hapana ni kwa nini?",
"Kama jawabu kwa swali hili ni ndio, binadamu gani wanapaswa kuwa na haki ya kufanya ulawiti?"
"Je, inawezekana kumtenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti?" na
"Je, inawezekana kuitenganisha jamii ya mashoga na tabia ya ulawiti?"
 
Gaidi ni nani?

Dini imekupumbaza kijana nitajie nchi Moja ya kikobaz ilowahi kuivamia nchi nyingne yeyote Ile kijeshi zaidi ya nchi za kikafir kuzivamia nchi za kikobaz, halaf wakijitetea mnawaita magaidi😄😄😄😄

Wakimalizana na kobaz watawarudia nyinyi ngozi ya nyani msiojitambua mtalimishwa tena mashamba na kuuzwa kama zamani, ukiona mwenzio ananyolewa................?

Makafiri makristo ndo yanachuki na kobaz hilo lipo wazi kama uchi wa kuku lkn kutokana na unafiki wa kiwango Cha hypersonic mnajifanya nyinyi ndo wahanga
WEwe ni mjinga hili swala siyo la kidini lakini unakuja na Upumbavu wa kuchukiwa wakristo kuita makristo. Jinsi unavyotamka tu kila mtu anajua umejaa chuki.
Utachekwa kwa utumbo unaouandika humu.
 
tatizo wengi hawajikubali na hawajiamini.
Matatizo ya akili katika jumuiya hii ni also part and parcel ya tatizo hili, hata mtu ajikubali vipi mwisho wa siku anaishia kuishi maisha yaliyojaa vanity
Kuna mambo yameandikwa kwenye Biblia Yana msingi kutoka kwenye jamii yenyewe; tunajua Biblia inakataza lakini wengi hatujui why na hatujiulizi
 
Hiyo nasaba ilipaswa kushughulikiwa Kwa siri Tena kimya kimya!

Kama was Argentina walivyo shughulika na nasaba ya watu weusi isienee kwao!! Hivyo tu!!
 
Ok..... Naweza kupata mawazao Yako kwenye hili
Eneo hili:
"Je, kama ambavyo utombanaji ni haki ya baadhi ya binadamu, pia ulawiti unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu?"
"Kama jawabu kwa swali hili ni ndio ni kwa nini, na kama jawabu ni hapana ni kwa nini?",
"Kama jawabu kwa swali hili ni ndio, binadamu gani wanapaswa kuwa na haki ya kufanya ulawiti?"
"Je, inawezekana kumtenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti?" na
"Je, inawezekana kuitenganisha jamii ya mashoga na tabia ya ulawiti?"

MAJIBU YA MASWALI SITA KUHUSU TUNU NA HAKI ZA KIJINSIA​

1750588619263.png

Majibu yangu yataongozwa na nadharia ya maadilia asilia yenye kujishughulisha na maadili ya tabia za watu bila kuhusisha kanuni za maadili ya kiufunuo, zenye sura ya amri za kimungu.

Katika muktadha huu, kama tukisema kwamba msingi wa maadili ni "uasilia" wa tabia za watu, maneno “tabia asilia” yanaweza kumaanisha dhana tofauti. Ama:

(a) tabia asilia ni tabia ya wastani kitakwimu, au (b) tabia asilia ni tabia ambayo watu wengi wanatarajia, au (c) tabia asilia ni tabia inayotokea kutokana na silika tu bila kufikiria, au (d) tabia asilia ni tabia isiyo bandia, kwa maana kwamna siyo tabia inayohusisha matumizi ya tekinolojia iliyobuniwa na binadamu, au (e) tabia asilia ni tabia inayosaidia kustawisha ubinadamu kwa kuhuisha tunu ya kiutu.

Lakini, kwa mifano minne ya kwanza iliyotajwa hapo juu ni rahisi kukumbana na mifano kinzani inayoleta pimgamizi dhidi ya mtazamo kwamba "uasilia" ni msingi pekee wa tabia halali.

Hata hivyo, mfano wa mwisho hauna mapingamizi. Hii ndiyo maana ya maneno "tabia asilia" tutakayotembea nayo kwenye uchambuzi huu.

Katika mtazamo huu, kwa mujibu wa kanuni za maadili asilia, zinazopendekezwa na wanafalsafa mamboleo waitwao New Natural Law Theorists, kanuni ya msingi ya kimaadili inasema kwamba:

Tendo la kibinadamu litakuwa ni halali kimaadili ikiwa tu linachangia katika ustawi wa binadamu kwa kuhuisha tunu ya msingi yoyote, na katika kufanyi hivyo, halihujumu kwa makusudi tunu za msingi baki.

Tunu za kiutu zinazoongelewa ni pamoja na uhai, afya, maarifa, utulivu wa nafsi, urafiki, ukweli, uhuru, ndoa, haki, amani, na orodha inaendelea.

Kwa kuzingatia nadharia hii ya maadili asilia, sasa napendeleza kujadili maswali husika kwa mtiririko ufuatao:
  1. Haki ya binadamu ni kitu gani na matendo gani yanahesabika kuwa haki za binadamu?
  2. Je, utombanaji unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu? Kama ndiyo ni kwa nini, na kama hapana ni kwa nini?
  3. Je, ulawiti unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu? Kama ndiyo ni kwa nini, na kama hapana ni kwa nini?
  4. Je, usagaji unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu? Kama ndiyo ni kwa nini, na kama hapana ni kwa nini?
  5. Je, inawezekana kutenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti/usagaji? na
  6. Je, inawezekana kuitenganisha jumuiya ya mashoga na tabia ya ulawiti/usagaji?
HAKI YA BINADAMU NI KITU GANI NA MATENDO GANI YANAHESABIKA KUWA HAKI ZA BINADAMU?

Haki nyingi za binadamu zinaweza kugawanyika kwenye makundi manne yafuatayo:
  1. Haki ya “madai chanya” (positive claim right),
  2. Haki ya “madai hasi” (negative claim right),
  3. Haki ya “uhuru chanya” (positive liberty right) na
  4. Haki ya “uhuru hasi” (negative liberty right).
Nafafanua haki moja baada ya nyingine kama ifuatavyo:
  1. Haki ya “madai chanya” (positive claim right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kumwezesha mtu wa kwanza kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X), kwa sababu ya uwepo wa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z).
  2. Haki ya “madai hasi” (negative claim right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kujizuia kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kumruhusu mtu wa kwanza awe huru kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X), kwa sababu ya uwepo wa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z).
  3. Haki ya “uhuru chanya” (positive liberty right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kuacha kuingilia hiari ya mtu wa kwanza kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kujiwezesha kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X) kwa njia hiyo, kwa sababu ya kutokuwepo kwa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z) inayomzuia kufanya kitendo hicho.
  4. Haki ya “uhuru hasi” (negative liberty right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kuacha kuingilia hiari ya mtu wa kwanza kuacha kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kujiwezesha kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X) kwa njia hiyo, kwa sababu ya kutokuwepo kwa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z) inayomlazimisha kufanya kitendo hicho.
Majumuisho ni kwamba, kila haki ya binadamu inaongelea mambo sita, yaani:
  1. Mleta madai (U),
  2. Mbeba wajibu (V),
  3. KItendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W),
  4. Tunu inayohuishwa na kitendo husika (X),
  5. Kanuni ya kimaadili inayohalalisha/kuzuia madai husika (Y), na
  6. Kanuni ya kisheria inayohalalisha/kuzuia madai husika (Z)
Hivyo, haki za binadamu zinahusisha:
  1. Ama matendo yote ya binadamu ambayo yanapaswa kutekelezwa kwa mujibu wa matakwa ya kanuni fulani ya kimaadili na/au kisheria; au
  2. Ama matendo yote ya binadamu ambayo yanaweza kutekelezwa kwa sababu hakuna kanuni yoyote ya kimaadili na/au kisheria inayoyakataza.
Katika mjadala wetu, matendo matatu makuu yanahusika, yaani utombanaji, ulawiti na usagaji.

JE, UTOMBANAJI UNAPASWA KUWA HAKI YA BAADHI YA BINADAMU? KAMA NDIYO NI KWA NINI, NA KAMA HAPANA NI KWA NINI?

Jawabu la sheria ya maadili asilia ni ndiyo, na sababu zake ni hizi:
  1. Mleta madai (U): Mwanamke mtu mzima anayetaka kutombwa kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kiume (androphilic sexual orientation)
  2. Mbeba wajibu (V): Mwanamume mtu mzima aliyeridhia kufanya kazi ya kutomba kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kike (gynophilic sexual orientation)
  3. Kitendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W): Kitendo cha utombaji, yaani kuingiza uume uliodisa katika uke na kufikicha hadi uume unapolegea baada ya mwanamume na/au mwanamke kupata mshindo.
  4. Tunu inayohuishwa na kitendo husika (X): Urafiki wa kijinsia (sexual friendship), Utulivu wa nafsi (self-integration), na uzazi (procreation) unaoweza kutokea.
  5. Kanuni ya maadili asilia inayohalalisha madai husika (Y): Kanuni ya maadili asilia inayotutaka kufukuzia tunu chanya na kuepuka tunu hasi.
  6. Kanuni ya kisheria inayozuia madai husika (Z): Hakuna sheria inazuia.
JE, ULAWITI UNAPASWA KUWA HAKI YA BAADHI YA BINADAMU? KAMA NDIYO NI KWA NINI, NA KAMA HAPANA NI KWA NINI?

  1. Mleta madai (U): Mwanamume mtu mzima anayetaka kulawitiwa kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kiume (androphilic sexual orientation)
  2. Mbeba wajibu (V): Mwanamume mtu mzima aliyeridhia kufanya kazi ya ulawiti kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kiume (androphilic sexual orientation)
  3. Kitendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W): Kitendo cha ulawiti, yaani kuingiza uume uliodisa katika pura na kufikicha hadi uume unapolegea baada ya mwanamume na/au mwanamke kupata mshindo.
  4. Tunu inayohuishwa na kitendo husika (X): Urafiki wa kijinsia (sexual friendship), Utulivu wa nafsi (self-integration)

  6. Kanuni ya kisheria inayozuia madai husika (Z): Baadhi ya nchi, kama Tanzania, zina sheria inazuia.

JE, USAGAJI UNAPASWA KUWA HAKI YA BAADHI YA BINADAMU? KAMA NDIYO NI KWA NINI, NA KAMA HAPANA NI KWA NINI?

  1. Mleta madai (U): Mwanamke mtu mzima aliyeridhia kusagwa kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kike(gynophilic sexual orientation)
  2. Mbeba wajibu (V): Mwanamke mtu mzima aliyeridhia kufanya kazi ya usagaji kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kike (gynophilic sexual orientation)
  3. Kitendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W): Kitendo cha usagaji, yaani kugusanisha uke na kusugua hadi mwanamke msgaji anapopata mshindo.

  5. Kanuni ya maadili asilia inayohalalisha (Y): Kanuni ya maadili asilia inayotutaka kufukuzia tunu chanya na kuepuka tunu hasi.

JE, INAWEZEKANA KUMTENGANISHA HALI YA USHOGA NA TABIA YA ULAWITI/USAGAJI?

Jawabu ni ndio. Kuna tofauti kati ya maelekeo ya nyege na maamuzi ya mhusika. Kama ambavyo inawezekana kutenganisha uanaume na utombaji, au kutenganisha uanauke na utombwaji, pia inawezekana kutenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti/usagaji.

JE, INAWEZEKANA KUITENGANISHA JUMUIYA YA MASHOGA NA TABIA YA ULAWITI?

Jawabu ni ndio. Lakini maneno “jumuiya ya mashoga” yana utata. Inategemea mashoga wameunda jumuiya kwa ajili ya malengo gani.

Yanaweza kuwa malengo ya kiuchumi, kielimu, kitabibu, kimichezo, na kadhalika. Lakini, kama ambavyo inawezekana kutenganisha uanaume na utombaji, au kutenganisha uanauke na utombwaji, pia inawezekana kutenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti/usagaji.

HITIMISHO

Katika dunia yote wanaume wenye maelekeo ya nyege zinazowaelekea kwa wanawake na wanawake wenye maelekeo ya nyege zinazowaelekea kwa wanaume ni 98%.

Mashoga wa kike na kiume, mahunta, maandrojini, mahanithi, na watu baki wanabeba 2% pekee.

Mbali na haki za kingono zinazobisganiwa, wanazo haki zote baki za kibinadamu. Wanayo haki ya kuishi, kusafiri, na kadhalika.

Kwa hiyo, mkakati wa kutengeneza unyanyapaa dhidi yao kama ambavyo nimeona mleta uzi anafanya haukubalika kwa watu makini.

Tunapaswa kujadili hoja zote vila kusigina heshima ya utu wa kibinadamu waliyo nayo watu ambao sio wanaume wala wanawake.

Wako wengi. Mfano, Rostam Aziz akivaa gauni, Tonny Blair akivaa gauni, na wengine wengi tutawasahau. They are androgenous. Lakini wapo na maisha yao yanaendelea kila mtu kivyake.
 
Kila siku huwa nashangaa, wanaoteseka juu ya ushoga/mashoga ni straight uchwara, na sio wao Wahusika.

Yes ni Straight uchwara, hasa bisexuals na ndio kundi kubwa lililopo hapa Duniani, yaan ni wana haha kuliko hata Gays wenyewee.

Mtu analeta hoja sijui matatizo ya akili, hawa raia waliojichokea na umaskini wa fikra had uchumi, nao ni mashoga? Mara umalaya huo umalaya mbona straight uchwara ndo sifa yao kuu na wanajivunia hilo wazi wazi?

Nyie km mnapinga ushoga, pingeni kwa hoja zilizo na mantiki, sio hizi futuhi zenu, zilizopitwa na wakati na za uongo. Mkikaa huko vijiweni mnadanganyanaa wee na kujipa ahueni ya ubabaifu,

Ila waja ushoga/mashoga wanawatesa sanaa eee? Mbona wao wako lelelelee tena winja winja na maisha yao, ila nyie sasa kutwaa makasiriko yasiyo na msingi? Vipi hamjambo lakinii? 😂😂😂😂

Mashogaa wako na wanatamba watakavyo,
Weraaaaaaa weraaaaaaa!!! 😂😂😂😂😂
Shoga akijitetea
 
Basi nilijua hata una uelewa mpana kuhusu Ushoga/mashoga, km ulivyo jipambanua ktk huu uzi wako, kumbe hollah.

Nakujibu simple, ktk jumuiya ya Ushoga na matawi yake, yes kuna majukumu km hayo.

Wapo mashoga, wameoa, wana familia, na wanaishi well life balanced na jamii.

Vipi una jingine?
Huna tofauti na mtu ambaye anaitwa masikini jeuri.
 
Moja ya vitu vilivyomrudisha Trump madarakani ni push back dhidi ya LGBTQ na ajenda zake; madhara yameanza kuonekana baada ya zaidi ya miaka 15 ya propaganda nzito
Uko sahihi, yani kiukweli niko huku kwa wenzetu naona vizuri tu SIYO AGENDA hiyo na wazazi wako makini sana na watoto wao! Wazazi wengine wanalazimika kuwasapoti watoto wao walioamua kuingia huko ila ukiwasikiliza unaona maumivu yao makubwa! Enewei
 
MJADALA KUHUSU TUNU NA HAKI ZA KIJINSIA: NATOA MAJIBU KWA MASWALI YAFUATAYO​

View attachment 3378739

Dhana ya “uasilia” wa tabia za watu inaweza kumaanisha mambo tofauti yafuatayo:

Ama (a) ni tabia ya wastani kitakwimu, au (b) ni tabia ambayo watu wengi wanatarajia, au (c) ni tabia inayotokea kutokana na silika tu bila kufikiria, au (d) ni tabia isiyo bandia, kwa maana kwamna siyo tabia inayohusisha matumizi ya tekinolojia iliyobuniwa na binadamu, au (e) ni tabia inayosaidia kustawisha ubinadamu kwa kuhuisha tunu ya kiutu.

Lakini, kwa kila mfano uliotajwa hapo juu ni rahisi kukumbana na mifano kinzanio inayoleta pimgamizi halali, isipokuwa kwa mfano wa mwisho.

Hivyo, kwa mujibu wa kanuni za maadili asilia, zinazopendekezwa na wanafalsafa mamboleo waitwao New Natural Law Theorists, kanuni ya msingi ya kimaadili inasema kwamba:

Tendo la kibinadamu litakuwa ni halali kimaadili ikiwa tu linachangia katika ustawi wa binadamu kwa kuhuisha tunu ya msingi yoyote, na katika kufanyi hivyo, halihujumu kwa makusudi tunu za msingi baki.

Tunu za kiutu zinazoongelewa ni pamoja na uhai, afya, maarifa, utulivu wa nafsi, urafiki, ukweli, uhuru, ndoa, haki, amani, na orodha inaendelea.

Kwa kuzingatia nadharia hii ya maadili asilia, sasa napendeleza kujadili maswali husika kwa mtiririko ufuatao:
  1. Haki ya binadamu ni kitu gani na matendo gani yanahesabika kuwa haki za binadamu?
  2. Je, utombanaji unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu? Kama ndiyo ni kwa nini, na kama hapana ni kwa nini?
  3. Je, ulawiti unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu? Kama ndiyo ni kwa nini, na kama hapana ni kwa nini?
  4. Je, usagaji unapaswa kuwa haki ya baadhi ya binadamu? Kama ndiyo ni kwa nini, na kama hapana ni kwa nini?
  5. Je, inawezekana kutenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti/usagaji? na
  6. Je, inawezekana kuitenganisha jumuiya ya mashoga na tabia ya ulawiti/usagaji?
HAKI YA BINADAMU NI KITU GANI NA MATENDO GANI YANAHESABIKA KUWA HAKI ZA BINADAMU?

Haki nyingi za binadamu zinaweza kugawanyika kwenye makundi manne yafuatayo:
  1. Haki ya “madai chanya” (positive claim right),
  2. Haki ya “madai hasi” (negative claim right),
  3. Haki ya “uhuru chanya” (positive liberty right) na
  4. Haki ya “uhuru hasi” (negative liberty right).
Nafafanua haki moja baada ya nyingine kama ifuatavyo:
  1. Haki ya “madai chanya” (positive claim right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kumwezesha mtu wa kwanza kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X), kwa sababu ya uwepo wa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z).
  2. Haki ya “madai hasi” (negative claim right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kujizuia kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kumruhusu mtu wa kwanza awe huru kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X), kwa sababu ya uwepo wa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z).
  3. Haki ya “uhuru chanya” (positive liberty right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kuacha kuingilia hiari ya mtu wa kwanza kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kujiwezesha kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X) kwa njia hiyo, kwa sababu ya kutokuwepo kwa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z) inayomzuia kufanya kitendo hicho.
  4. Haki ya “uhuru hasi” (negative liberty right) ni madai aliyo nayo mtu mmoja (U) dhidi ya mtu wa pili (V), ambapo mtu wa pili anakuwa na wajibu wa kuacha kuingilia hiari ya mtu wa kwanza kuacha kufanya kitendo fulani (W), kwa ajili ya kujiwezesha kunufaika na tunu fulani iliyo stahiki yake (X) kwa njia hiyo, kwa sababu ya kutokuwepo kwa kanuni ya kimaadili (Y) au kanuni ya kisheria (Z) inayomlazimisha kufanya kitendo hicho.
Majumuisho ni kwamba, kila haki ya binadamu inaongelea mambo sita, yaani:
  1. Mleta madai (U),
  2. Mbeba wajibu (V),
  3. KItendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W),
  4. Tunu inayohuishwa na kitendo husika (X),
  5. Kanuni ya kimaadili inayohalalisha/kuzuia madai husika (Y), na
  6. Kanuni ya kisheria inayohalalisha/kuzuia madai husika (Z)
Hivyo, haki za binadamu zinahusisha:
  1. Ama matendo yote ya binadamu ambayo yanapaswa kutekelezwa kwa mujibu wa matakwa ya kanuni fulani ya kimaadili na/au kisheria; au
  2. Ama matendo yote ya binadamu ambayo yanaweza kutekelezwa kwa sababu hakuna kanuni yoyote ya kimaadili na/au kisheria inayoyakataza.
Katika mjadala wetu, matendo matatu makuu yanahusika, yaani utombanaji, ulawiti na usagaji.

JE, UTOMBANAJI UNAPASWA KUWA HAKI YA BAADHI YA BINADAMU? KAMA NDIYO NI KWA NINI, NA KAMA HAPANA NI KWA NINI?

Jawabu la sheria ya maadili asilia ni ndiyo, na sababu zake ni hizi:
  1. Mleta madai (U): Mwanamke mtu mzima anayetaka kutombwa kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kiume (androphilic sexual orientation)
  2. Mbeba wajibu (V): Mwanamume mtu mzima aliyeridhia kufanya kazi ya kutomba kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kike (gynophilic sexual orientation)
  3. Kitendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W): Kitendo cha utombaji, yaani kuingiza uume uliodisa katika uke na kufikicha hadi uume unapolegea baada ya mwanamume na/au mwanamke kupata mshindo.
  4. Tunu inayohuishwa na kitendo husika (X): Urafiki wa kijinsia (sexual friendship), Utulivu wa nafsi (self-integration), na uzazi (procreation) unaoweza kutokea.
  5. Kanuni ya maadili asilia inayohalalisha madai husika (Y): Kanuni ya maadili asilia inayotutaka kufukuzia tunu chanya na kuepuka tunu hasi.
  6. Kanuni ya kisheria inayozuia madai husika (Z): Hakuna sheria inazuia.
JE, ULAWITI UNAPASWA KUWA HAKI YA BAADHI YA BINADAMU? KAMA NDIYO NI KWA NINI, NA KAMA HAPANA NI KWA NINI?

Jawabu la sheria ya maadili asilia ni ndiyo, na sababu zake ni hizi:
  1. Mleta madai (U): Mwanamume mtu mzima anayetaka kulawitiwa kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kiume (androphilic sexual orientation)
  2. Mbeba wajibu (V): Mwanamume mtu mzima aliyeridhia kufanya kazi ya ulawiti kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kiume (androphilic sexual orientation)
  3. Kitendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W): Kitendo cha ulawiti, yaani kuingiza uume uliodisa katika pura na kufikicha hadi uume unapolegea baada ya mwanamume na/au mwanamke kupata mshindo.
  4. Tunu inayohuishwa na kitendo husika (X): Urafiki wa kijinsia (sexual friendship), Utulivu wa nafsi (self-integration)
  5. Kanuni ya maadili asilia inayohalalisha madai husika (Y): Kanuni ya maadili asilia inayotutaka kufukuzia tunu chanya na kuepuka tunu hasi.
  6. Kanuni ya kisheria inayozuia madai husika (Z): Baadhi ya nchi, kama Tanzania, zina sheria inazuia.

JE, USAGAJI UNAPASWA KUWA HAKI YA BAADHI YA BINADAMU? KAMA NDIYO NI KWA NINI, NA KAMA HAPANA NI KWA NINI?

Jawabu la sheria ya maadili asilia ni ndiyo, na sababu zake ni hizi:
  1. Mleta madai (U): Mwanamke mtu mzima aliyeridhia kusagwa kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kike(gynophilic sexual orientation)
  2. Mbeba wajibu (V): Mwanamke mtu mzima aliyeridhia kufanya kazi ya usagaji kwa sababu ya maelekeo ya nyege yanayoilenga jinsia ya kike (gynophilic sexual orientation)
  3. Kitendo kinachopaswa kufanyika au kutofanyika (W): Kitendo cha usagaji, yaani kugusanisha uke na kusugua hadi mwanamke msgaji anapopata mshindo.
  4. Tunu inayohuishwa na kitendo husika (X): Urafiki wa kijinsia (sexual friendship), Utulivu wa nafsi (self-integration)
  5. Kanuni ya maadili asilia inayohalalisha (Y): Kanuni ya maadili asilia inayotutaka kufukuzia tunu chanya na kuepuka tunu hasi.
  6. Kanuni ya kisheria inayozuia madai husika (Z): Baadhi ya nchi, kama Tanzania, zina sheria inazuia.

JE, INAWEZEKANA KUMTENGANISHA HALI YA USHOGA NA TABIA YA ULAWITI/USAGAJI?

Jawabu ni ndio. Kuna tofauti kati ya maelekeo ya nyege na maamuzi ya mhusika. Kama ambavyo inawezekana kutenganisha uanaume na utombaji, au kutenganisha uanauke na utombwaji, pia inawezekana kutenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti/usagaji.

JE, INAWEZEKANA KUITENGANISHA JUMUIYA YA MASHOGA NA TABIA YA ULAWITI?

Jawabu ni ndio. Lakini maneno “jumuiya ya mashoga” yana utata. Inategemea mashoga wameunda jumuiya kwa ajili ya malengo gani.

Yanaweza kuwa malengo ya kiuchumi, kielimu, kitabibu, kimichezo, na kadhalika. Lakini, kama ambavyo inawezekana kutenganisha uanaume na utombaji, au kutenganisha uanauke na utombwaji, pia inawezekana kutenganisha hali ya ushoga na tabia ya ulawiti/usagaji.

HITIMISHO

Katika dunia yote wanaume wenye maelekeo ya nyege zinazowaelekea kwa wanawake na wanawake wenye maelekeo ya nyege zinazowaelekea kwa wanaume ni 98%.

Mashoga wa kike na kiume, mahunta, maandrojini, mahanithi, na watu baki wanabeba 2% pekee.

Mbali na haki za kingono zinazobisganiwa, wanazo haki zote baki za kibinadamu. Wanayo haki ya kuishi, kusafiri, na kadhalika.

Kwa hiyo, mkakati wa kutengeneza unyanyapaa dhidi yao kama ambavyo nimeona mleta uzi anafanya haukubalika kwa watu makini.

Tunapaswa kujadili hoja zote vila kusigina heshima ya utu wa kibinadamu waliyo nayo watu ambao sio wanaume wala wanawake.

Wako wengi. Mfano, Rostam Aziz akivaa gauni, Tonny Blair akivaa gauni, na wengine wengi tutawasahau. They are androgenous. Lakini wapo na maisha yao yanaendelea kila mtu kivyake.
Bro, you've nailed the structure, and your analysis is brilliant—lakini let me come in with a different lens. Si kwa kupinga, bali kwa kupanua scope ya mjadala. Kwa sababu kama tunajadili haki za binadamu (human rights), hatuwezi kuzielewa fully bila kuangalia the social cost of individual conduct—especially when that conduct becomes public ideology or social policy.

Ni kweli kwamba mtu mzima anaweza kuchagua chochote anachotaka kufanya na mwili wake. Lakini swali kuu ni hili: Je, kila chaguo binafsi linapopewa uhalali wa kijamii (i.e. normalized), halina impact kwa jamii nzima?

Tuko katika dunia ambayo kila kitu kinawekwa chini ya mwavuli wa “right” – sexual rights, expression rights, identity rights. Lakini what we don’t ask enough is: rights to what end? Na zaidi ya hapo: when do rights start to dismantle the very society that protects them?

Haki bila maadili ni kama gari bila breki. You might go fast, but you’re heading straight into a wall.

Kama jamii, hatuwezi ku-delegate future yetu kwa “free expression” tu. Kwa sababu tunaposema “this is someone’s right,” especially in matters of sexuality and gender identity, tunaanza kujenga kizazi ambacho kinaambiwa kwamba everything is fluid, everything is valid, everything is okay—and that confusion is being institutionalized.

Let’s break it down kidogo. Imagine mtoto wa miaka 10 akiwa exposed kwa lugha kama: “unaweza ukawa chochote unachojisikia kuwa leo.” Si kosa la mtoto, ni kosa la mfumo unaochanganya developmental curiosity na permanent identity branding. Tunaandika future ya watu kwenye msingi wa “feelings.” Hilo ni tatizo.

Mimi siamini kwamba respecting human dignity lazima ieleweke kama kuruhusu kila tabia kufanywa haki. Unaweza uka-respect mtu na uka-critique conduct yake at the same time. That’s maturity. Kinyume chake ni emotional blackmail: ukisema hiki si sawa kijamii, unaitwa transphobic, homophobic, backwards, na kila jina linalomaliza hoja bila kujenga. But truth is, some ideas need pushback.

Let’s be honest: si kila kilicho private kinapaswa kuwa public. Na si kila kinachokubalika na watu wawili kwa hiari yao kinafaa kupewa societal legitimacy. Consent is necessary—but not always sufficient—for public endorsement.

We need a moral compass that goes beyond individual desire. A framework that asks: What are the ripple effects? What are we teaching children? What kind of society are we shaping?

Kwa hiyo, naamini haki ni msingi, lakini maadili ndio jengo. Haki bila maadili hutoa watu waliowekewa kinga ya kisheria kutenda maovu ya kijamii. Na kama hatutaweka ethical boundaries, tutafika mahali ambapo jamii haijui tena kusema “hapana.”

Mimi na-respect mashoga, wasagaji, trans, and anyone else who's different. Wana utu wao, and they deserve protection against violence, ridicule, or exclusion. Lakini hiyo respect haimaanishi tuwapatie cultural dominance ya kila aina ya expression yao bila kuhoji where it's taking us as a society.

Bottom line: Not every right is righteous. And not every choice, even if consensual, deserves cultural blessing.

So yes, tuendelee kuheshimu binadamu, lakini tusiache kuuliza: Are we building a generation or are we just celebrating fragmentation?
 
Kimsingi nimeelewa point yako. Prof John Finnis amesema vizuri fikra zako. Naweka hapa makala yake husika. Abstract yake iko hivi:

======ABSTRACT=====

During the past thirty years there has emerged in the world a standard form of legal regulation of sexual conduct.

The standard has two limbs.

On the one hand, the state is not authorized to, and does not, make it a punishable offence for adult consenting persons to engage, in private, in immoral sexual acts (for example, homosexual acts).

On the other hand, states do have the authority to discourage, say, homosexual conduct and "orientation" (i.e. overtly manifested active willingness to engage in homosexual conduct).

And typically, though not universally, they do so.

That is to say, they maintain various criminal and administrative laws and policies which have as part of their purpose the discouraging of such conduct.

Many of these laws, regulations, and policies discriminate (i.e. distinguish) between heterosexual and homosexual conduct adversely to the latter.

=================
 
Attachments

Ndugu

Umeniita homophobic—lakini kwa mtu atakayesoma between the lines, ataona wazi kuwa hoja yangu inatokana na nia njema, si chuki. Nia ya kuona kama kweli kundi hili linawezaje kujijenga na kuingizwa kwenye jamii kwa namna yenye kujenga, si kubomoa.

Kama mnavyolalamika leo kuwa "society is rejecting us", subirini pale hali itakapokuwa mbaya—hamtarejea tu kwenye closet, mtarejeshwa kwenye magereza na makaburi.

Naona umekataa kuitww Homophobic and yet hiyo aya ya mwisho umejidhihirisha kabisa wewe ni Homophobic,

Labda nikuulize, hao Mashoga wakiwekwa gerezani na makaburini wewe shida zako za maisha zitakua zimeisha? Kwanini unawachukia watu ambao hawana mpango na wewe? Maana kwa kushusha makala hii pekee ni wazi unawafikiria sana hadi kutumia zaidi ya lisaa kuwaandika tu
 
Kwa sasa, nauliza kwa dhati:
Mashoga wakipewa haki leo, wana nini cha ku-offer kwenye jamii yetu zaidi ya opulence (mafanikio yasiyo na dhamira) na hedonism (maisha ya kutafuta raha za mwilini)?

Ukiangalia mlolongo wa michango hapa jamvini, jamii mnayoitaka iwape heshima haioni mchango wenu zaidi ya mwelekeo wa kingono.
Kiufupi: you are defined by your sexuality and nothing else.

Hii statement inaonesha wazi jinsi ulivyo mweupe pee kichwani, unasemaje Mashoga hawana kitu cha kuoffer kwenye jamii wakati tuna mashoga wasomi wenye taaluma mbalimbali, mimi binafsi ni therapist unataka kusema sina kitu cha kuoffer kwenye jamii yangu? unataka kusema sexuality yangu ndio inaendesha maisha yangu? Je hakuna mashoga Madaktari na Manesi, Wanasheria, Wanasiasa, Waandisi, Waigizaji, Waandishi wa Habari, Wanamuziki, Wanamitindo, Wanajeshi, Waalimu na taaluma mbalimbali?

Au wewe ukisikia ushoga picha inayokuja ni ya James delicious
 
Daaaah noma sanaaaa kuna watu wapo nondoooo SHOGA ANA TETEWA KINOMAAA watu wamejipanga aseeee Ila kuna vitu flan nime vielewa
 
Sasa ndo umejileta kumbe ww n kiazi kiasi hiki?

Makristo makafiri vitu wanavoongoza Dunia
1. Ushoga
2. Genocide
3. Waanzilishi wakubwa WA vita zote popote pale Duniani
4. Unafiki
5. Ushirikina na uchawi
6. Makatili
7. Roho mbaya na chuki
Sasa nilikuingiza kwenye 18 makusudi kupima uwezo wako wa kiakili
Manaswali na majini na kuwa nao msikitini nyinyi na rafiki wazuri sana na shetani. Unafiki ni asili yenu. Tulia mkuu usiingie uko na yule kahaba muddy. Utachekwa tulia .
 
Kimsingi nimeelewa point yako. Prof John Finnis amesema vizuri fikra zako. Naweka hapa makala yake husika. Abstract yake iko hivi:

======ABSTRACT=====

During the past thirty years there has emerged in the world a standard form of legal regulation of sexual conduct.

The standard has two limbs.

On the one hand, the state is not authorized to, and does not, make it a punishable offence for adult consenting persons to engage, in private, in immoral sexual acts (for example, homosexual acts).

On the other hand, states do have the authority to discourage, say, homosexual conduct and "orientation" (i.e. overtly manifested active willingness to engage in homosexual conduct).

And typically, though not universally, they do so.

That is to say, they maintain various criminal and administrative laws and policies which have as part of their purpose the discouraging of such conduct.

Many of these laws, regulations, and policies discriminate (i.e. distinguish) between heterosexual and homosexual conduct adversely to the latter.

=================
Kwa faida ya hadhira pana na-summarize hiyo pdf as follows:

Muhtasari:

Insha ya John Finnis inachambua mahusiano kati ya sheria, maadili, na mwelekeo wa kingono, hasa kwa kuzingatia mwenendo wa kishoga. Anachunguza jinsi sheria za kisasa zinavyotofautisha kati ya matendo ya faragha ya watu wazima waliokubaliana na matendo ya kishoga yanayotangazwa au kuhamasishwa hadharani. Sheria nyingi za kisasa huruhusu la kwanza lakini huweka mipaka au kupinga la pili kwa misingi ya maadili na utulivu wa kijamii.

Finnis anakosoa ukungu wa kisemantiki uliomo kwenye dhana ya “mwelekeo wa kingono,” akitofautisha kati ya hali ya ndani ya mtu kuwa na mvuto wa jinsia moja na tabia ya kueneza au kutangaza mwenendo wa kishoga kama mtindo wa maisha. Kwa mtazamo wake, kubagua mtu kwa sababu tu ya mwelekeo wake wa ndani si haki; lakini serikali ina wajibu wa kupinga mienendo au kampeni zinazokuza tabia ya kishoga kwa kuwa zinapingana na mema ya kijamii yanayohusishwa na ndoa.

Msingi wa hoja ya Finnis ni falsafa ya maadili ya asili (natural law), iliyotokana na wanafalsafa wa Kigiriki kama Socrates, Plato, Aristotle, na baadaye akina Plutarch na Musonius Rufus. Kulingana nao, mwenendo wa kishoga ni usio wa kimaadili kwa kuwa haukidhi malengo ya ndoa ya kweli—ambayo ni kuunganisha, kuzaa, na kujitolea kwa upendo wa kweli kati ya mwanaume na mwanamke.

Finnis anasisitiza kuwa tendo la ndoa lina maana ya kipekee ndani ya ndoa ya maisha yote, kati ya jinsia tofauti. Matendo ya kimapenzi ya jinsia moja, kwa hiyo, hayawezi kutimiza ile hali ya “kuwa mwili mmoja” inayohusisha uzazi na urafiki wa kudumu. Anapinga wazo la kwamba mahusiano ya jinsia moja yanaweza kuwa “ndoa” au kutimiza madhumuni ya kijamii na kibaiolojia ya ndoa ya kawaida.

Aidha, anatafsiri maoni ya Mt. Thomas Aquinas kuhusu maadili ya ngono, akieleza kuwa ngono nje ya ndoa si mbaya kwa sababu tu ya hali ya kibaolojia, bali kwa sababu ni kitendo kisichounganisha kimaadili, kinachovuruga utu wa mtu, na kinachodhoofisha msingi wa ndoa na familia. Anaonya dhidi ya hoja zinazotetea “uasilia” wa matendo ya kishoga bila kuzingatia muktadha wa busara na maadili sahihi.

Mwishoni, Finnis anakosoa misimamo ya kisheria na kiitikadi inayoelekea kulinganisha matendo ya kishoga na ndoa ya kawaida, akisisitiza kuwa taasisi ya ndoa ya asili inalindwa kwa sababu ya mchango wake katika malezi ya watoto, ustawi wa familia, na maendeleo ya kijamii.

Mambo Muhimu Aliyoangazia:

  • ⚖️ Sheria ya kisasa hutofautisha kati ya tendo la kishoga la faragha na uhamasishaji wa hadharani wa mwenendo wa kishoga—ya kwanza ikiruhusiwa, ya pili kudhibitiwa kwa maslahi ya maadili ya jamii.
  • 🏛️ Serikali ina jukumu la kijamii linalotegemea kanuni ya subsidiarity—yaani familia na taasisi binafsi zina wajibu wa msingi wa malezi ya kimaadili, si serikali pekee.
  • 🧠 Dhana ya “mwelekeo wa kingono” ni tata: inachanganya mvuto wa ndani (ambao haustahili kubaguliwa) na matendo ya hadharani yanayohamasishwa kama haki ya jamii nzima.
  • 📜 Falsafa ya kale ya Kigiriki inaonyesha kwa uthabiti kuwa tabia ya kishoga ilionekana kuwa ni kinyume cha maadili na haikukidhi mema ya binadamu.
  • 💍 Ndoa ni muunganiko wa kipekee wa kipekee kati ya mwanaume na mwanamke—wa maisha yote, wa kuzaa, na wa kujitolea. Ndoa ya jinsia moja haiwezi kutimiza haya.
  • 🔍 Maadili ya ngono ya Aquinas yanasisitiza kuwa tendo la ndoa linapaswa kuwa sehemu ya jumuiya ya ndoa inayolenga urafiki na uzazi.
  • 🚫 Ideolojia ya ndoa ya mashoga haijajengwa juu ya msingi wa kimaumbile wala wa kiakili; haikidhi maana halisi ya ndoa kama taasisi ya kijamii.

Tafakuri za Msingi:

  • ⚖️ Jukumu la Sheria Katika Maadili: Finnis anabainisha kuwa serikali si lazima ipinge kila tendo la faragha, lakini inapaswa kudhibiti mazingira ya hadharani ya maadili. Hili ni muhimu katika kuelewa mjadala wa sasa kuhusu tabia ya kijinsia.
  • 🧩 Ukungu wa Kisemantiki wa “Mwelekeo wa Kingono”: Anakosoa jinsi dhana hii inavyotumika kisiasa na kisheria—ikichanganya mvuto wa ndani na uhamasishaji wa tabia. Hili hupelekea sheria kuwalinda watu kwa misingi isiyo na uwiano wa kimaadili.
  • 📚 Misingi ya Kifalsafa ya Kale: Finnis anaweka hoja zake juu ya msingi wa wanafalsafa wa kale ambao walipinga tabia ya kishoga si kwa dini bali kwa mantiki ya sheria ya asili. Hii ni changamoto kwa hoja kuwa upinzani ni wa kidini tu.
  • 🤝 Ndoa Kama Jambo Tata La Kimaadili: Anasisitiza kuwa ndoa si suala la kuzaa tu, bali ni jumuiya ya maisha ya kiurafiki, ya kuaminiana, na ya kudumu. Tabia ya jinsia moja haiwezi kujumuika ndani ya jengo hili la kiutu.
  • 🔄 Ukosoaji wa Ideolojia ya Ndoa ya Mashoga: Finnis anahoji kuwa madai ya ndoa ya jinsia moja hayawezi kulinganishwa na ndoa za kawaida hata kama hazizai, kwa sababu hazina uwezo wa kimantiki na kijamii wa kutekeleza majukumu ya kifamilia.
  • 💡 Aquinas na Maadili ya Tendo la Ndoa: Hata ngono ndani ya ndoa inaweza kuwa kinyume cha maadili kama haijakamilishwa kwa nia na muktadha wa kiutu na wa ndoa ya kweli. Hii inazidisha kina cha hoja zaidi ya hoja ya “maumbile.”
  • 🌐 Madhara ya Kijamii na Kisheria: Kwa kusisitiza kuwa ndoa ni taasisi ya asili ya kijamii inayohusika na malezi ya watoto na ustawi wa jamii, Finnis anapendekeza kuwa serikali ina haki na wajibu wa kulinda taasisi ya ndoa dhidi ya mitazamo inayodhoofisha msingi wake.

Kwa muktadha huu, insha ya Finnis ni nyenzo muhimu katika kuelewa mizizi, maana, na athari za maamuzi ya kisheria na kijamii yanayohusiana na ushoga, ndoa, na maadili ya kijamii.
 
Naona umekataa kuitww Homophobic and yet hiyo aya ya mwisho umejidhihirisha kabisa wewe ni Homophobic,
Nimesema ukweli na sio kwa chuki, tatizo unaangalia the present mimi nakuelezea the possible future
 
Sasa nilikuingiza kwenye 18 makusudi kupima uwezo wako wa kiakili
Manaswali na majini na kuwa nao msikitini nyinyi na rafiki wazuri sana na shetani. Unafiki ni asili yenu. Tulia mkuu usiingie uko na yule kahaba muddy. Utachekwa tulia .
Toa butt plug inakufanya usifikiri vema
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom