Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Huu uzi ulikuwa mtego.

Mechi ina makosa kibao ya wazi ya kiuamuzi achilia mbali Mashujaa wanacheza dakika 90 bila kuoonekana kucheza kama wanatafuta ushindi.

Timu inadhaminiwa na Haier, G-Boost, SportPesa na GSM ndiyo iende kuifunga Utopolo kuvuruga harakati zake za ubingwa?
 
Usiwe kama mwanamke wewe,,mwanamke ndio uwa anabadilika mdomoni sio mwanaume,,yanga angefungwa ungekuja na ubwekaji mwingine hapa
 
Kajinyonge mcha-MBUZI uchwara.
 
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
 
Salamaleko.
 
Wewe mpuuzi umeona
 
Timu inadhaminiwa na Haier, G-Boost, SportPesa na GSM ndiyo iende kuifunga Utopolo kuvuruga harakati zake za ubingwa?
Unataka timu zisipate udhamini ili ziwe na nguvu ya kipesa, muwe mnawahonga
We peleka udhamini wako uone kama wataukataa
 
Timu inadhaminiwa na Haier, G-Boost, SportPesa na GSM ndiyo iende kuifunga Utopolo kuvuruga harakati zake za ubingwa?
Hii kitu umejua baada ya ushindi wa yanga au kabla? Kama ulijua tangu zamani basi Uzi wako ni wa kipumbavu
 
Ushindi wenu ni wa utata...unataka uthibitisho? Basi ulizia timu zenye nembo ya gsm
Kwani kmc na yeye anadhaniniwa na gsm? Vipi Simba nae ana nembo ya gsm? Vipi fountain gate na yeye anayo nembo ya gsm? Timu zote hizo zimechezea vichapo sio chini ya goli 4 upo hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…