Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.

Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda kuchezwa mwisho wa reli, Mashujaa inaenda kukaza na itaifunga Yanga.

Sitaenda ndaani sana kuelezea sababu ya hili kutokea ila kama una nyumba ya urithi weeekaaa, kama unaweza kukopa kwenye kikoba au hata kausha damu weeekaaa mzigo wote, kama kuna mtu amekupa pesa yake umshikie weeekaaa, kama unaweza kuchukua pesa ya mwajiri wako weekaaa. Utakuja kunishukuru baadae.
Unajichanganya sana comrade.
 
Timu inadhaminiwa na Haier, G-Boost, SportPesa na GSM ndiyo iende kuifunga Utopolo kuvuruga harakati zake za ubingwa?
Kwenye maelezo yako ya mwanzo umesema Mashujaa watashinda! Sasa hivi unaleta porojo!
 
Mechi za Yanga zihamishiwe chaneli ya Sinema Zetu maana ni maigizo tu kwenda mbele.
 
Hii kitu umejua baada ya ushindi wa yanga au kabla? Kama ulijua tangu zamani basi Uzi wako ni wa kipumbavu

Kwenye maelezo yako ya mwanzo umesema Mashujaa watashinda! Sasa hivi unaleta porojo!
Mashujaa itashindaje wakati wanapata penati wananyimwa? Watashindaje wakati Hersi Saidi ambaye ni mdhamini wao mkuu anayelipa gharama zote za timu ikiwemo mishahara yao yupo jukwaani na anataka washindwe?

Hata ungekuwa wewe ni mchezaji wa Mashujaa ungekata mkono unaokulisha?
 
Kwa hiyo Yanga ikimfunga Mashujaa ni kwa sababu ya udhamini! Ila nyinyi mkiwafunga, ni ushindi halali kabisa!
 
Hivi unaweza kudauti ule ushindi wa Simba dhidi ya Mashujaa?

Leo Mashujaa kona za wazi wananyimwa, mipira ya wazi ya kurushwa wananyimwa, penati ya wazi wananyimwa, wanafungwa goli la wazi la offside, wanacheza bila motisha ya kutafuta goli, nk.

Hata mahakamani kuna kitu wanaita "probable cause" na hao wadhamini lukuki wa utopolo ni sababu tosha. Hata wachezaji usipowaambia walegeze, wenyewe wanajiongeza wakijua wanacheza na timu ya boss anayewalisha na kuwavisha na boss anataka ubingwa.
 
Timu inadhaminiwa na Haier, G-Boost, SportPesa na GSM ndiyo iende kuifunga Utopolo kuvuruga harakati zake za ubingwa?
Imebidi nirudi kuangalia tena kwani nani alianzisha huu uzi? Kweli umechanganyikiwa!!!
 
Mashujaa itashindaje wakati wanapata penati wananyimwa? Watashindaje wakati Hersi Saidi ambaye ni mdhamini wao mkuu anayelipa gharama zote za timu ikiwemo mishahara yao yupo jukwaani na anataka washindwe?

Hata ungekuwa wewe ni mchezaji wa Mashujaa ungekata mkono unaokulisha?
Mi sidhani kama umejibu swali langu. Tangu mwanzo hukujua kwamba hersi atataka mashujaa wafungwe? Kama ulikuwa unajua ulileta Uzi wa nini sasa kusema mashujaa watashinda ikiwa unajua mdhamini wao hataki washinde?
 
Kama unanifuatilia humu ndani utakuwa unajua msimamo wangu usio na shaka kuhusiana na udhamini wa GSM na jinsi unavyoharibu ushindani katika ligi.
 
Sasa kwanini ulisema mashujaa atashinda wakati unajua ni tawi tu na lazima watagawa ushindi kwa yanga?
 
Hata mimi naona kabisa hiyo mechi mashujaa anashinda tena kwa kishindo
 
Sasa kwanini ulisema mashujaa atashinda wakati unajua ni tawi tu na lazima watagawa ushindi kwa yanga?
Vipi uliweka mzigo wa maana nini ukaliwa, mbona kama umeumia sana?

Mimi mwenyewe nimepoteza buku 10 nilidhani leo kunaweza kutokea miujiza. Yanga haijawahi kutoka hata sare na tawi lolote la GSM, itakuwa ni jambo la kushangaza hilo litokee dakika hizi za lala salama katika mapambano ya ubingwa.

Pole sana kama mkeka wako umechanika.

Kwa ushauri tu, Yanga hii ikicheza na timu yoyote strong ambayo haina vinasaba nayo uwezekano wa kufungwa ni mkubwa. Kwa mfano, Yanga itapoteza dhidi ya Azam. Hizi timu zingine za GSM na familia, pesa ya bure na ya uhakika ni kumpa tu Yanga.
 
La
Vipi uliweka mzigo wa maana nini ukaliwa, mbona kama umeumia sana?

Mimi mwenyewe nimepoteza buku 10 nilidhani leo kunaweza kutokea miujiza. Yanga haijawahi kutoka hata sare na tawi lolote la GSM, itakuwa ni jambo la kushangaza hilo litokee dakika hizi za lala salama katika mapambano ya ubingwa.

Pole sana kama mkeka wako umechanika.
Lakini mlionywa kuwa hicho mnachokiwaza hakitotokea mkawa wabishi acha mliwe
 
Kama unanifuatilia humu ndani utakuwa unajua msimamo wangu usio na shaka kuhusiana na udhamini wa GSM na jinsi unavyoharibu ushindani katika ligi.
Screenshot_20250223-212815_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom