Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Mashujaa inaenda kumfunga Yanga

Kwani Muddy ndo kashika bahasha mkuu? Unadhani wamechekeshana nini?
Akili zenu sijui mmeshikiwa na nani? A4 envelop ni ya kuhifadhi document, hata waliomaliza vyuo wanapiga misele na bahasha zao za kaki kutafuta kazi.

Halafu mlivyokuwa kama misukule ya Zumaridi tangu lini rushwa ikatolewa hadharani?
 
Akili zenu sijui mmeshikiwa na nani? A4 envelop ni ya kuhifadhi document, hata waliomaliza vyuo wanapiga misele na bahasha zao za kaki kutafuta kazi.
Kweli mkuu, pia unaweza kuweka open cheque, fedha taslimu n.k
Halafu mlivyokuwa kama misukule ya Zumaridi tangu lini rushwa ikatolewa hadharani?
Suala la rushwa unalileta wewe. Kuna sehemu imetajwa rushwa kwenye hiyo habari?
 
Shida ya baadhi ya mashabiki wa simba ni kupenda kwenu kuwaaminisha watu kama mpira ni uadui! Huu ujinga sijui mtauacha lini.
Hahaha, Kuna uadui gani hapo mkuu na watu wanachekelea na bahasha mkononi?
 
Tunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.

Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda kuchezwa mwisho wa reli, Mashujaa inaenda kukaza na itaifunga Yanga.

Sitaenda ndaani sana kuelezea sababu ya hili kutokea ila kama una nyumba ya urithi weeekaaa, kama unaweza kukopa kwenye kikoba au hata kausha damu weeekaaa mzigo wote, kama kuna mtu amekupa pesa yake umshikie weeekaaa, kama unaweza kuchukua pesa ya mwajiri wako weekaaa. Utakuja kunishukuru baadae.
We jamaa, kuloga ujui
 
Vipi uliweka mzigo wa maana nini ukaliwa, mbona kama umeumia sana?

Mimi mwenyewe nimepoteza buku 10 nilidhani leo kunaweza kutokea miujiza. Yanga haijawahi kutoka hata sare na tawi lolote la GSM, itakuwa ni jambo la kushangaza hilo litokee dakika hizi za lala salama katika mapambano ya ubingwa.

Pole sana kama mkeka wako umechanika.

Kwa ushauri tu, Yanga hii ikicheza na timu yoyote strong ambayo haina vinasaba nayo uwezekano wa kufungwa ni mkubwa. Kwa mfano, Yanga itapoteza dhidi ya Azam. Hizi timu zingine za GSM na familia, pesa ya bure na ya uhakika ni kumpa tu Yanga.
Mkuu punguza maneno, hata Kolo atafungwa, ana uhusiano gani na GSM?
 
Jamaa shingo yako ina kazi sana kubeba hicho kichwa chenye mavi tupu..
Yani ulifungua thread kwamba Yanga lazima akae sasa umeona mumeo kapigwa kama mbwa koko umegeuka kama tumbo la kuhara unatoa tu ushuzi sasa..
 
Back
Top Bottom