Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Bila shaka wewe ni yule mchekeshaji ndaro unaepromote ile kampuni mpya ya kubeti.
Nia yako imestukiwa, acha utapeli we koro.
Nia yako imestukiwa, acha utapeli we koro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Muddy ndo kashika bahasha mkuu? Unadhani wamechekeshana nini?Takataka za Muddy.
Akili zenu sijui mmeshikiwa na nani? A4 envelop ni ya kuhifadhi document, hata waliomaliza vyuo wanapiga misele na bahasha zao za kaki kutafuta kazi.Kwani Muddy ndo kashika bahasha mkuu? Unadhani wamechekeshana nini?
Kweli mkuu, pia unaweza kuweka open cheque, fedha taslimu n.kAkili zenu sijui mmeshikiwa na nani? A4 envelop ni ya kuhifadhi document, hata waliomaliza vyuo wanapiga misele na bahasha zao za kaki kutafuta kazi.
Suala la rushwa unalileta wewe. Kuna sehemu imetajwa rushwa kwenye hiyo habari?Halafu mlivyokuwa kama misukule ya Zumaridi tangu lini rushwa ikatolewa hadharani?
Punguzeni wivu kila mtu zamu yake atafikiwa, bado mechi mbili tu zamu ya dozi yenu ifike.Kweli mkuu, pia unaweza kuweka open cheque, fedha taslimu n.k
Suala la rushwa unalileta wewe. Kuna sehemu imetajwa rushwa kwenye hiyo habari?
Ok mkuuPunguzeni wivu kila mtu zamu yake atafikiwa, bado mechi mbili tu zamu ya dozi yenu ifike.
Shida ya baadhi ya mashabiki wa simba ni kupenda kwenu kuwaaminisha watu kama mpira ni uadui! Huu ujinga sijui mtauacha lini.
Hahaha, Kuna uadui gani hapo mkuu na watu wanachekelea na bahasha mkononi?Shida ya baadhi ya mashabiki wa simba ni kupenda kwenu kuwaaminisha watu kama mpira ni uadui! Huu ujinga sijui mtauacha lini.
Nakazia Mkuu.Punguzeni wivu kila mtu zamu yake atafikiwa, bado mechi mbili tu zamu ya dozi yenu ifike.
Sijui kwa nini Mkuu lakini nimejikuta tu naview your profile. LolHahaha, Kuna uadui gani hapo mkuu na watu wanachekelea na bahasha mkononi?
We jamaa, kuloga ujuiTunajua Mashujaa ni moja ya timu zenye udhamini wa GSM na tunajua yale yanayofanyika nyuma ya pazia kwa timu zote zinazodhaminiwa na GSM pale zinapocheza na Yanga. Hili halina ubishi maana tumepata ushahidi usio na shaka.
Hata hivyo, katika mechi hii inayokuja ya Mashujaa vs Yanga inayoenda kuchezwa mwisho wa reli, Mashujaa inaenda kukaza na itaifunga Yanga.
Sitaenda ndaani sana kuelezea sababu ya hili kutokea ila kama una nyumba ya urithi weeekaaa, kama unaweza kukopa kwenye kikoba au hata kausha damu weeekaaa mzigo wote, kama kuna mtu amekupa pesa yake umshikie weeekaaa, kama unaweza kuchukua pesa ya mwajiri wako weekaaa. Utakuja kunishukuru baadae.
Mkuu punguza maneno, hata Kolo atafungwa, ana uhusiano gani na GSM?Vipi uliweka mzigo wa maana nini ukaliwa, mbona kama umeumia sana?
Mimi mwenyewe nimepoteza buku 10 nilidhani leo kunaweza kutokea miujiza. Yanga haijawahi kutoka hata sare na tawi lolote la GSM, itakuwa ni jambo la kushangaza hilo litokee dakika hizi za lala salama katika mapambano ya ubingwa.
Pole sana kama mkeka wako umechanika.
Kwa ushauri tu, Yanga hii ikicheza na timu yoyote strong ambayo haina vinasaba nayo uwezekano wa kufungwa ni mkubwa. Kwa mfano, Yanga itapoteza dhidi ya Azam. Hizi timu zingine za GSM na familia, pesa ya bure na ya uhakika ni kumpa tu Yanga.
Huyo aitwe kolofinyofinyoHivi mtu ka wewe ndo tukuiteje sa? 🤣🤣
Hahaha, soka ni burudani mkuu.Sijui kwa nini Mkuu lakini nimejikuta tu naview your profile. Lol
Kabisa yaani. 🤣🤣Huyo aitwe kolofinyofinyo