Mashushushu wa Fidel Castro walikuwa na hisia ya sita(Sixth Sense)

Mashushushu wa Fidel Castro walikuwa na hisia ya sita(Sixth Sense)

Baadhi ya mambo kwenya makala haya yalirushwa na BBC, na ilibidi niingie chimbo kama google kuona. Kiukweli jamaa alikua na machale balaa.
Na kwa yaliyomkuta FC na yote kuyakwepa, nimeamini Marekani ukiingilia maslahi yao wana ujanja mwingi mno kukuondoa. Wanao maajent hatari ambao wengi ni Silent Killers. Ni hatari, cheza na wengine kwenye maslahi, ukicheza na Maslahi ya US,jamaa ni balaa. Wana mbinu nyingi hatarishi.
 
Mkuu nashukuru kwa habari njema.huyo lee oswald ni raia wa nchi gani? maana naskia J F Kennedy alikua anataka kuondoa mifumo ya kibenki marekani inayomilikiwa na wayahudu kwa hiyo kwa namna yoyote hawa wayahudi wasingeweza kukubali hata sasa hawatakubali maana wamekwepo mwrekani karne kadhaa. Kwa hali hiyo wengi wanafahamu kennedy aliuawa na wayahudu.

Pili urafiki wa Castro na The late Pope John Paul na wasiwasi nao huenda kupitia ile agency yao ya jesuist ndio walitekeleza hayo mauaji. Picha zipo nyingi sana popoe john paul na castrol wakiwa pamoja waki shake hands.
 
Mwanangu wa kwanza nimempa jina fidel Castro.
Mwanangu wa pili nimempa jina Ghadafi.

Mwanangu wa tatu nimempa jina Thomas sankara.
Dah....ongeza mmoja bana.....mbona unajibanabana[emoji13] [emoji13]
 
Mkuu nashukuru kwa habari njema.huyo lee oswald ni raia wa nchi gani? maana naskia J F Kennedy alikua anataka kuondoa mifumo ya kibenki marekani inayomilikiwa na wayahudu kwa hiyo kwa namna yoyote hawa wayahudi wasingeweza kukubali hata sasa hawatakubali maana wamekwepo mwrekani karne kadhaa. Kwa hali hiyo wengi wanafahamu kennedy aliuawa na wayahudu.

Pili urafiki wa Castro na The late Pope John Paul na wasiwasi nao huenda kupitia ile agency yao ya jesuist ndio walitekeleza hayo mauaji. Picha zipo nyingi sana popoe john paul na castrol wakiwa pamoja waki shake hands.
Na ukumbuke kuwa Jesuit Fathers ni shirika la Kipapa la Wamisionari maalumu kwa ajili ya Ulinzi wa kanisa.Hawa ndio majasusi wa kanisa katoliki.Ni shirika ambalo huchukua watu/Mapadre wenye IQ kubwa sana,ktk shirika hili,zaidi ya masomo ya kawaida ya Falsafa na Theolojia ambayo mapadre wote husoma,hawa Jesuit Fathers husoma masomo ya zaida ya "elimu dunia".Na huchukua hata miaka 20 kwa mtu kupewa upadre.

Mwalimu wa kwanza aliyemlea Fidel Castro na kumkuza alikuwa ni Padre wa Jesuit.Castro alisoma shule za Jesuit toka akiwa mtoto mdogo,kifupi Fidel Castro ni kijana wa Jesuit Fathers.Amesoma elimu ya awali mpaka chuo Kikuu kwa Jesuits Fathers na baadae akajiunga na chama cha Siasa cha "Orthodox or Christian Democrats Party" kilichokuwa na "msaada" wa Jesuits Fathers.

There is a very BIG CONNECTION btn Jesuits Fathers na aina ya maisha yake ya kijasusi na kuwakwepa US.Licha ya kuwa "Atheist Communits Party" ya Cuba haimini uwepo wa Mungu,lkn % kubwa ya watu wa CUBA ni wakatoliki na Kanisa liliwaruhusu kujiunga na chama hicho kisichotambua uwepo wa Mungu.

Safari ya pili ya Papa kuingia Havana ilikuwa ni Papa aliyetokana na Jesuits Fathers,na ujio wa Papa huyu ulikuwa ni utangulizi wa ufunguzi wa Ubalozi wa US pale Havana,na safari hii ya Papa kule Havana ilimchukua mpaka Florida na Washington DC ambapo alihutubia Congress na walifuatana na Raul Castro toka Cuba mpaka US,ambapo kukawa na mkutano kati ya Papa(Ambaye ametoka Jesuits Fathers,Obama na Raul).

Fidel Castro aliwahi kusema "The US will come to talk to us,when they will have black president and the Catholic Church have Pope from Latin America".Hii imetokea,ni wakati wa Obama ndipo Ubalozi wa US umefunguliwa Havana na siku kadhaa kabla ya kufunguliwa Papa Francis ambaye ni mkulia wa Argentina alitembelea Havana.Haya yalikuwa ni maneno ya "unabii" a Fidel Castro na muda mchache baada ya unabii huo kutimia,Fidel kaenda kupumzika.

Ni sahihi tukitafakari nukta hizi:

1) Cuba is overwhelmingly Roman Catholic.

2) Roman Catholics are allowed to join the atheist Communist Party.

3) Fidel Castro himself is a graduate of several Jesuit institutions, and
is in good standing with the Pope.

4) He was a member of the Roman Catholic Christian Democrat party before
starting his Marxist/Leninist revolution.

Albert Rivera, the former Jesuit priest who became a Protestant preacher,
said that Castro is a fourth-degree, professed Jesuit. The circumstantial
evidence strongly corroborates that statement.
 
4ee51765f6d8968c9789742deb52676f.jpg
pale unapogundua wabaya wako wanataka kukuua.[emoji1619]
kisha wanashindwa.....
 
Back
Top Bottom