Mashushushu wa Fidel Castro walikuwa na hisia ya sita(Sixth Sense)

kuna story nilipokuwa mdogo nimekuwa nikiisikia kwamba Cuba na Islael ndo nchi zenye na zinaotoa mafunzo bora na ya hali ya juu kabisa kwa makomand,je mkuu ukweli upoje katika hilo?
 
Makala mazuri sana!Taaluma iliyoenda shule na historia nzuri
 
Umeshamtambua yeye ni Nani!!![emoji2] hongera maana hicho kinaitwa kipaji cha utambuzi!!!!
 
Wengine wanadai J F Kennedy aliuwawa na maafisa wa CIA wenyewe baada ya kutaka kuudhibiti CIA kwamba imekuwa ni serikali ndani ya serikali ya Marekani so wakamuwahi kabla hajatekeleza mpango wake kwa mujibu wa hapahapa JF so which is which wakuu??
 
Huyu ndio mwanaume co kukaa tu kuvuta bang na kujisifia eti una dushele kubwa.
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umenichekesha sana eti kujisifu kuwa na dushelele kubwa hata hivyo dushelele nalo lina umuhimu wake mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…