Masihara dhidi ya COVID-19 yamtokea puani, adakwa na Polisi

Masihara dhidi ya COVID-19 yamtokea puani, adakwa na Polisi

Pilipili na upupu ni miongoni mwa mimea ya asili. Ujumbe huo unamsha bongo za watu wawe makini na tiba mbadala kwani tunasikia mengi.Hakuna takwimu hapo ama taarifa maalumu.
IMG-20200428-WA0024.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio busara kuleta maneno ya mzaha kati kati ya mapambano.
 
Pilipili na upupu ni miongoni mwa mimea ya asili. Ujumbe huo unamsha bongo za watu wawe makini na tiba mbadala kwani tunasikia mengi.Hakuna takwimu hapo ama taarifa maalumu.
View attachment 1433503

Sent using Jamii Forums mobile app
Waumwe COVID-19 halafu wanywe huo mchanganyiko waone kama hawajapona. Mbona tuliambiwa tujifukize lakini hatukubisha. Pia tuliambiwa hizo Barakoa zina Corona mbona hao Polisi bado wanazivaa
 
Saivi ni kufa au kupona, watu wanatamani hata huo upupu uwe dawa
 
Hata ingetokea mtu angesema kujifukiza ni dawa kabla ya mshua kusema nadhani angekamatwa.

Wao askari wameijaribu hiyo dawa wakathibitisha sio?

Hata sie wengine ukitwambia kujifukiza ni dawa tunaona unapotosha tu, kwa hiyo askari kuna mwingine kamkamateni kijijini kwao amepotosha umma tena kwa idadi kubwa kuliko huyu wa pilipili na upupu
 
amepotosha wapi? mbona andiko lake liko kwenye utani kwamba kuna mtu anaweza fanya hayo akijua ni dawa kweli
Huwaoni wanaojifukiza mitandaoni? Wamethibitisha wapi kama kweli corona ni futa na ukijifukiza linayeyuka? Mbona wanajifukiza? Si kwasababu kuna mtu kawaambia ni dawa.

Kuna watu wanayweshwa sabuni za kuondolea madoa na wanakubali wakiambiwa ni tiba. Ashughulikiwe.
 
aisee...kwa hiyo hairuhusiwi watu kutaniana via whatsapp groups,,,,
 
It's very clear that sasa hivi Polisi hawan kazi za kufanya.
Ila kwa mauza uza haya wawe makini sana na Corona

Papaa Mobimba,
 
Papaa Mobimba,
Kumbe ni makosa kufanya utani kama ilivyo asili yetu. Kuna siku huu utani wetu wa makabila misibani utakuja kumpandisha mtu kizimbani.
 
Aliharibu Hapo kwenye upupu,,,kwenye pilipili hayuko mbali na ukweli,,pilpili ni una vitamni C za kutosha kupandisha Kinga ya mwili
Zipo sawa za asili zinatengenezwa kwa kutumia upupu, mamlaka za sawa za asilimia wanasemaje?
 
Back
Top Bottom