Masihara dhidi ya COVID-19 yamtokea puani, adakwa na Polisi

Masihara dhidi ya COVID-19 yamtokea puani, adakwa na Polisi

Vyuo vimefungwa vijana wapo nyumbani hawana kazi za kufanya.

Baada ya kutumia vizuri muda huu yuko nyumbani,kwa kufanya vitu vya maana yeye yuko busy kufanya ujinga.

Akitoka huko akili itamkaa sawa,atakuwa anaandika vitu vya maana Baada ya hapo.

Eti ujipake upupu? Halafu huyo mwanafunzi wa chuo,akimaliza hapo anataka ajira,akili kama hizo nani akupe kazi?
Kama kazi ya kufanya huna kaa kimya au lala tu,sio kuongea ujinga ambao utakugharimu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom