umejuaje kama ni mzaha,mbona wenyewe wamesema ni upotoshaji.Sio busara kuleta maneno ya mzaha kati kati ya mapambano.
Kama viongozi tuliowachagua wanafanya MZAHA WEWE ni NAAAANI KUPINGA???Sio busara kuleta maneno ya mzaha kati kati ya mapambano.
Ni wachache sana watakuelewa mkuu!Kama viongozi tuliowachagua wanafanya MZAHA WEWE ni NAAAANI KUPINGA???
Waumwe COVID-19 halafu wanywe huo mchanganyiko waone kama hawajapona. Mbona tuliambiwa tujifukize lakini hatukubisha. Pia tuliambiwa hizo Barakoa zina Corona mbona hao Polisi bado wanazivaaPilipili na upupu ni miongoni mwa mimea ya asili. Ujumbe huo unamsha bongo za watu wawe makini na tiba mbadala kwani tunasikia mengi.Hakuna takwimu hapo ama taarifa maalumu.
View attachment 1433503
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni mjinga wanaharibu mitandao ya kijamii isiaminiwe tenaPilipili na upupu ni miongoni mwa mimea ya asili. Ujumbe huo unamsha bongo za watu wawe makini na tiba mbadala kwani tunasikia mengi.Hakuna takwimu hapo ama taarifa maalumu.
View attachment 1433503
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ujumbe ule ni kama comed ila unasomo zuri watu wawe na tahadhari si kila wanachokiona na kuambiwa ni dawa.Huyu ni mjinga wanaharibu mitandao ya kijamii isiaminiwe tena
Huwaoni wanaojifukiza mitandaoni? Wamethibitisha wapi kama kweli corona ni futa na ukijifukiza linayeyuka? Mbona wanajifukiza? Si kwasababu kuna mtu kawaambia ni dawa.amepotosha wapi? mbona andiko lake liko kwenye utani kwamba kuna mtu anaweza fanya hayo akijua ni dawa kweli
Zipo sawa za asili zinatengenezwa kwa kutumia upupu, mamlaka za sawa za asilimia wanasemaje?Aliharibu Hapo kwenye upupu,,,kwenye pilipili hayuko mbali na ukweli,,pilpili ni una vitamni C za kutosha kupandisha Kinga ya mwili