Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Mkuu umejitahidi sana! Najiuliza aliyebuni kipimo cha akili cha IQ wewe ungeangukia scale ipi?Hao wazee unaoita watulivu, si ndio hao wakionya kuhusu mwenendo mbovu wa CCM mnaishia kuwaambia wakae kimya?
Ngoja hao waropokaji waongee, na hamna chochote cha kuwafanya maana hata nyie sukuma gang hamna ushawishi kwa umma zaidi ya ulevi wa muda mfupi madarakani.