Masikhara ya JK nyuma ya uwepo wa Makamba nionyeshe rafiki nikwambia wewe mtu wa aina gani

Mkuu umejitahidi sana! Najiuliza aliyebuni kipimo cha akili cha IQ wewe ungeangukia scale ipi?
 
Huyo mzee mpumbavu tu kama wewe mwenyewe,mbona kina mzee Malechela, Warioba wapo na watulivu?
Hawa wazee wapumbavu endeleeni kuwatetea nchi inaangamia kwa kujifanya wanahati miliki ya chama na nchi,kiama chao chaja

..Magufuli aliwahi kuuliza ktk mkutano wa hadhara, " wanawake mnataka KUPANULIWA wapi.."
 
Hapa nchini kingekuwa na tume huru kama Kenya ccm ingeonddoka asubuhi na mapema
 
Ile kauli ya asali watu waliipuuza tu ilikuwa na maana kubwa mno na muendelezo ndio huu wa kufurahi watu wafe ili yeye na familia yake ifaidi
 
Makamba mbona kasema vizuri tu, Magu was evil na ni kweli MTU MWOVU HAISHI na hakuna sababu aishi

Imagine angekuwa hai leo tungeshakufa wangapi? Maelfu kwa Maelfu
Ushahidi wa mauaji aliyofanya ukiombwa uutoe mahakamani upo tayari kufanya hivyo? Yale yale ya maiti kuokotwa ndani ya viroba yalisemwa sana lakini cha ajabu ni kwamba mpaka leo bado miili inaokotwa ndani ya viroba. Na hawa nao mhusika mkuu ni JPM?.

Uovu wa kubuni tu akilini bila ya ushahidi wowote ni dhambi ya huyo anayetuhumu.
 
Ungekuwa ni mtu wa CCM ningeweza kukuelewa lakini CHADEMA hata siku moja huwezi kuongea maongezi chanya lazima ukosoe tu.
 
Jpm live: Mkiwa kwenye vita, ukisaliti huwezi kusurvive! Wk moja Lisu anapigwa risasi!
 

Mtetee Magufuli ila he was evil. Damu ya mtu ni nzito, ndio maana anasimangwa kwenye mikutano kwa aibu.
 
kuna Viongozi wengi tu wamefariki wakiwa madarakani ukianzia kwa Rais Karume Mkubwa, Sheikh Anri Abeid, Sokoine, Horace Kolimba, Salome Mbatia, n.k

kwanini tumekimbilia kuhisi kuwa kasemwa mtu fulani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…