Masikini alivyokuwa anampamba Samia, leo kamtoa kweli? Ummy Afya at least alimudu by over 90% Kizuri hakikosi kasoro

Kwa Ummy naona mama kakosea mnoo, na kumpeleka Jenista Mhagama ndio kukosea mara dufu.

Kumbukumbu zinaonyesha hata Magufuli aliwahi kumuhamisha Ummy na kumweka Gwajma pale Afya, kilichotokea ni kuzaliwa migogoro na drama kutrend balaa.
 
si alisema haya ni Rais samia alifanya? leo imekuwa ni Ummy tena, mbona munatuchanganya
 
Kama Rais ndiyo mtendaji kwenye wizara kazi ya Katibu Mkuu wa wizara ni nini?
Tuna mfumo wa Executive ambao unatambua Rais kuwa Mtendaji Mkuu,hao wengine ni Watumishi wa Umma ambao wanamsaidia Rais.

Simple tuu kwani wewe Ukiwa CEO huna Watumishi chini Yako? Wewe kazi Yako ni kutoa Maelekezo,Maagizo wenyewe wataumiza kichwa wafanywe uje kusifiwa simpo tuu hivyo.

Waziri Huwa ni msemaji wa Wizara kisera na mshauri wa Rais tuu.
 
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hii mifumo. Rais anahisikaje kwenye wizara moja wka moja? Waziri jukumu lake kubwa ni lipi kwenye wizara? Bajeti na mipango ya wizara inapangwa na nani? miradi hiyo inaibuliwa na nani na kusimamiwa na nan? Je Rais huwa anapeleka hela kwenye hizo wizara au fedha zinatolewa na kuidhinishwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…