Masikini chid benz afya yake inazidi kudhoofika

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,059
Reaction score
1,572
Habari zenu Wanaukumbi.

Wadau wa sanaa, kwa siku mbili hizi nilizokuwa na shughuli kadha wa kadha mitaa ya Mikocheni (Shoppers Plaza) nimepata pishana kama kusalimiana na Msanii huyu nguli wa Hip Hop.

Chid Benz anahitaji msaada wa Haraka sana, kama ni hivi vilevi vyao (Sembe) hatua aliyofikia sio nzuri. Anatia huruma, mwili umekosa afya kabisa siyo yule anayeng'aa kwenye Luninga.

Najua humu wadau wake mpo wengi ... Tafadhali sana tafuteni jinsi ya kumrudisha kwenye Mstari wa Maisha huyu kijana.

Kuna mengi sana nimeyaona kwa huyu kijana, na yanaumiza kweli.
 
umetumwa na ray c?

Umeandika nini ?

Nakusaidia, nimeuliza kwa vijana wanaoshinda mitaa hii ya Shoppers Plaza...pita kijinjia jirani na ofisi za XCAR, mbele kidogo kuna kuna kanisa ( hili kanisa lipo chini ya wakorea).
Ukiwa mitaa hiyo kuna sehemu vijana wanacheza Playstation games hapo waulize Kibanda cha chips.
Utamuona Chid Benz baada ya hapo njoo tena na Shudu za Ray -C. Si hampendi kuambiwa ukweli; Mwenzenu kaisha anakula vyakula vya Magengeni Msasani na kugongea Juu..
 
Dar es salaam stand up!

Mkuu Matola, Chid anahitaji msaada wa haraka sana. Tutampoteza kama Mangwea, mitaa anayoshinda ni hatari sana ....kwakuwa nipo kwa shughuli flani hii mitaa nitajitahidi kupata picha yake.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Matola, Chid anahitaji msaada wa haraka sana. Tutampoteza kama Mangwea, mitaa anayoshinda ni hatari sana ....kwakuwa nipo kwa shughuli flani hii mitaa nitajitahidi kupata picha yake.

poor him
 
Si ndio mitaa ya King'oko hiyo? kama ndio penyewe hapo Miraji Kikwete ni mdau hapo aongee tu mshuwa huyo dogo apelekwe rehab.

Tatizo kubwa mkuu wa Kaya anayo orodha ya madrug Lord sasa sijui anasubili hadi vijana wote wageuke mazezeta?
 
Last edited by a moderator:
kama kuna mtu anayekula unga na akachoka simuonei huruma ni huyu mama chidi benz....safi sana kama anazidi kuchoka kwaajili ya ngada!....
 
Mkuu Matola, Chid anahitaji msaada wa haraka sana. Tutampoteza kama Mangwea, mitaa anayoshinda ni hatari sana ....kwakuwa nipo kwa shughuli flani hii mitaa nitajitahidi kupata picha yake.
kwenye hiyo mitaa anashinda peke yake? Waliopo huko je
 
Last edited by a moderator:

Kwa nini hukumfotoa hata ka picha?
 
Wasanii wengi wakishapata umaarufu wanaanza kutumia madawa kuvuta mibangi sijui kwanini au kuwa maarufu ni mpaka ufanye ya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…