Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Habari zenu Wanaukumbi.
Wadau wa sanaa, kwa siku mbili hizi nilizokuwa na shughuli kadha wa kadha mitaa ya Mikocheni (Shoppers Plaza) nimepata pishana kama kusalimiana na Msanii huyu nguli wa Hip Hop.
Chid Benz anahitaji msaada wa Haraka sana, kama ni hivi vilevi vyao (Sembe) hatua aliyofikia sio nzuri. Anatia huruma, mwili umekosa afya kabisa siyo yule anayeng'aa kwenye Luninga.
Najua humu wadau wake mpo wengi ... Tafadhali sana tafuteni jinsi ya kumrudisha kwenye Mstari wa Maisha huyu kijana.
Kuna mengi sana nimeyaona kwa huyu kijana, na yanaumiza kweli.