Masikini Hamphery Polepole, uzalendo umemponza. Hakuna hata mtanzania anemuulizia shujaa huyu.

Masikini Hamphery Polepole, uzalendo umemponza. Hakuna hata mtanzania anemuulizia shujaa huyu.

Dakika Moja ya utilivu
Screenshot_20260716-215334~2.jpg
 
Ni takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa

Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana

Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole

R.I.P shujaaaaa
Yupo sema ana ngeu ngeu sana kichani za majeraha aliopata kipindi cha msukosuko a kumtoa kule chumbani kwake🤣
 
Yupo sema ana ngeu ngeu sana kichani za majeraha aliopata kipindi cha msukosuko a kumtoa kule chumbani kwake🤣
Kwamba unamaanisha bado yupo hai?na yupo sehemu gani ili sisi wazalendo tukinukishe tukamtoe hiyo sehemu ili tuendelee kudai uhuru kutoka kwa wahuni wa awamu ya 6
 
Back
Top Bottom