Nina Akili Ndogo Sana
JF-Expert Member
- Jun 2, 2026
- 865
- 1,125
Mafwele Faustine alinisaidia sana kwa kunipa connection last month. Ninaomba Mungu amlinde sana.Ukiachana na gharama za kuwatunza. Kuna gharama nyingne kubwa zaidi . Ambayo ni kufahamika waliko na kama wako Hai.
Referring na Gharama anayolipa Mafwele muda huu