Masikini Hamphery Polepole, uzalendo umemponza. Hakuna hata mtanzania anemuulizia shujaa huyu.

Masikini Hamphery Polepole, uzalendo umemponza. Hakuna hata mtanzania anemuulizia shujaa huyu.

Ni takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa

Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana

Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole

R.I.P shujaaaaa
Eti Pole pole alimnunua Mashinji, Nassari na Lijualikali
 
Ni takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa

Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana

Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole

R.I.P shujaaaaa
Acha ubwege we zombie, yule alikuwa fala, lofa, jinga lililokosa maarifa, msijifiche kwenye uzalendo! Mtu amepewa heshima ya kuwa katibu mwenezi CCM, MBUNGE, BALOZI anakuja kuacha mwenyewe bila kuwa na succession plan inayoeleweka eti kuja kumtukana na kumzushia Rais aliye madarakani! Wakati wa Magu alishiriki kunyanyasa, kupoteza na kuua watu. Hayo ndiyo malipo yake
 
Duuu inauna sana emagne polele ni ndugu yako haujui hata taarifa zake hapo hapo kuna watu wanasifu serikali kwa kazi nzuri inayoifanya
 
Ni takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa

Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana

Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole

R.I.P shujaaaaa
Polepole alishauliwa mkuu ndiyo basi tena kama alivyouliwa Ben saanane , Mdude , Soka na wengine wengi.
 
Hawajafa hata mmoja. Wapo black house za masaki, mikocheni na kigamboni zinazomilikiwa na makonda. Ni wazima wa afya.
Hiyo gharama ya kuwalisha na kuwatibu muda wote huo anatoa nani?
 
Hawajafa hata mmoja. Wapo black house za masaki, mikocheni na kigamboni zinazomilikiwa na makonda. Ni wazima wa afya.
Ukiachana na gharama za kuwatunza. Kuna gharama nyingne kubwa zaidi . Ambayo ni kufahamika waliko na kama wako Hai.

Referring na Gharama anayolipa Mafwele muda huu baada ya Sativa kumtambua na kusema yeye ndio Kiongozi wa haya magenge ya utekaji.

Bila Sativa. Meng tunayosikia ya Mafwele tusingekuwa na uhakika nayo.
 
Hawajafa hata mmoja. Wapo black house za masaki, mikocheni na kigamboni zinazomilikiwa na makonda. Ni wazima wa afya.
Kwa alivyowaanika Ccm wamwache hai? Bila shaka wewe utakua mgeni kwenye hii nchi na Ccm utakua unawasikia tu kwenye magazeti.
 
Back
Top Bottom