Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
KabisaDakika Moja ya utilivu
View attachment 3630934
Kabisa au kutupwa Bugani huko kashateketeaHao vampire hawachekeshi , usikute kashaliwa na mchwa siku mingi
Huwa nawaza je CCM hawana black site wamewahifadhi huko Ben sanane, Polepole na wengine wengi?Hao vampire hawachekeshi , usikute kashaliwa na mchwa siku mingi
Serious?Huyu mwamba aliteteaga upotevu wa 1.5T
Ndiyo wale wale
Black site ni tumbo la fisi wa katavi labdaHuwa nawaza je CCM hawana black site wamewahifadhi huko Ben sanane, Polepole na wengine wengi?
🤣🤣 DahBlack site ni tumbo la fisi katavi labda
Tenda wema uende zako. Polepole kafanya vile.Ni takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa
Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana
Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole
R.I.P shujaaaaa
Yupo sema ana ngeu ngeu sana kichani za majeraha aliopata kipindi cha msukosuko a kumtoa kule chumbani kwake🤣Ni takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa
Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana
Kifupi amepotezwa na hakuna hata mtanzania leo huo anaepambana kumrudisha H.polepole
R.I.P shujaaaaa
Daraja la Mkapa ni refu sana. Kiza ni kinene pale.Polepole na Mdude Nyagali walishakufa siku nyingi.
Tufikirie in that way na tusonge mbele.
Kwamba unamaanisha bado yupo hai?na yupo sehemu gani ili sisi wazalendo tukinukishe tukamtoe hiyo sehemu ili tuendelee kudai uhuru kutoka kwa wahuni wa awamu ya 6Yupo sema ana ngeu ngeu sana kichani za majeraha aliopata kipindi cha msukosuko a kumtoa kule chumbani kwake🤣