N Nina Akili Ndogo Sana JF-Expert Member Joined Jun 2, 2026 Posts 865 Reaction score 1,125 Jul 18, 2026 #41 Mwaka wa Mbele said: Ukiachana na gharama za kuwatunza. Kuna gharama nyingne kubwa zaidi . Ambayo ni kufahamika waliko na kama wako Hai. Referring na Gharama anayolipa Mafwele muda huu Click to expand... Mafwele Faustine alinisaidia sana kwa kunipa connection last month. Ninaomba Mungu amlinde sana.
Mwaka wa Mbele said: Ukiachana na gharama za kuwatunza. Kuna gharama nyingne kubwa zaidi . Ambayo ni kufahamika waliko na kama wako Hai. Referring na Gharama anayolipa Mafwele muda huu Click to expand... Mafwele Faustine alinisaidia sana kwa kunipa connection last month. Ninaomba Mungu amlinde sana.
A aliekatakamba humutuu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2024 Posts 1,439 Reaction score 2,412 Jul 18, 2026 #42 usaliti ni mbaya sana sehemu yoyote ile.iwe ni haki au batili usilete usaliti utakufa vibaya sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jul 18, 2026 #43 Story huisha na kumbukumbu husahaulika, sisi wote ni wakupita... Cc: Mahondaw