Masikini kuwaza kujenga nyumba ya kuishi ni umasikini pia

Mkuu umekula kweli mbona kama unapuyanga sana
 
Siku ukitafuniwa mkeo na baba mwenye nyumba wako ndy akili itakukaa sawa,,


Jiulize kwann hata ndege wanahangaika kujenga viota vyao?
Sembuse wewe mwanadamu uendelee kuishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio.
 
Katika maisha ya mwanada Nyumba ni hitaji la muhimu sana.
Waliosoma Manslow Theory of Human Needs wanafanamu vizuri.

Mtu unaenda kufanya kazi mbali na Nyumbani kwako. Manyanyaso ya nyumba za kupanga yanafahamika.

Ni bora ujenge hata chumba kimoja chako uanzie maisha, huku ukiendelea kujenga kidogo kidogo.

Tulioanzia nyumba za kupanga tunazifahamu kadhia zake.
 
Wanaoponda kujenga mbona hatuwaoni kuishi chini ya miti au mapangoni, tunaona wamepanga au wapo home na hizo nyumba nawao wasingeJenga Kama wao wanaosema kujenga ni uoga wa maisha wangekaa mapangoni labda.
 
Mi mwenyewe naweka theory
 
Tumeanza kudanganyana.
 
Unaandika huku umelala kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio kenge wewe
 
Sema hauna pesa,kujenga unadhani mchezo wa tatu mzuka[emoji16],
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…