Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

Hilo ndio swala lilalolifanya issue nzima kuwa interesting.
Upande mmoja kuna mcha Mungu na upande wa pili kuna mpora ardhi bila aibu, hata sadaka ya ardhi kwa Mungu.
Jibu la Mungu tumeliona.
Hao akina Kileo huko Sanya Juu wanamgombania Ardhi ndio waje waiachie Mbezi beach?

Kicheko cha karne 😂😂😂😂
 
Hata asingepora angekufa tu. Walikufa Mitume itakuwa Lowassa.
 
Loooh...!!

Leo nimekushangaa sana ndugu Tlaatlaah maana umeandika kwa hekima na busara sana mpaka nimefurahi...

Hongera sana. Tuko pamoja
 
Loooh...!!

Leo nimekushangaa sana ndugu Tlaatlaah maana umeandika kwa hekima na busara sana mpaka nimefurahi...

Hongera sana. Tuko pamoja
kwahiyo ndugu yangu Uzima Tele leo nimeandika kwa hekima na busara sana, right?
na umenikalia kimya kumbe siku zingine hiyo kitu sinaga kabisa na imeonekana leo tu? na ukakaa kimya? dah nimeshangaa sana...

hata na hivyo tupo pamoja kiongozi kwenye maombolezo,
Mzee wetu ENL ametangulia mbele ya haki, tulobaki maisha lazima yaendeleee na ukweli usemwe....
 
Kama hujui, hujui tu.
Nimekueleza jinsi kiwanja hicho kilivyopatikana we unakuja na blah blah.
.
Nenda pale Tangi bovu ujionee jengo alilo jijengea baada ya kupora uwanja.
Vile vile kuna jengo la Kimbisa na nyumba ya dada yake Lowassa kule nyuma.
Mshabikieni Edo kama mmefaidika naye, lakini ukweli always catches up.
 
Kuyataja maovu yako ni kukuhukum? Endeleni na viwanda vya dhambi huko makanisani kwenu eti mkionywa mnahukumiwa.

Mnapoteza muda bora mkanywe pombe tu.
I see.....

Ina maana wewe Bush Dokta na mwenzako mleta mada Jidu La Mabambasi pamoja na wenzenu wenye mitazamo hii potofu kazi yenu ni kuwatafuta wenye dhambi na kuwaonya siyo?

Kwanini msitumie muda huu kujionya na kujiponya wenyewe kwa shida, makosa na dhambi zenu wenyewe kwanza kabla ya kuwaparamia wengine na kuwaita "wenye dhambi" huku zenu mkiwa mmezitia mfukoni?

Sikiliza bwana Bush Dokta.

Unaponyooshea wenzako kidole kimoja👉👉. Vile vinne vyote vinakuwa vinakunyookea wewe!!
 
Hao akina Kileo huko Sanya Juu wanamgombania Ardhi ndio waje waiachie Mbezi beach?

Kicheko cha karne 😂😂😂😂
Nawe kama walivyo Tomaso wengi, mtashangaa mkimwona Kilewo akipita tundu la sindani kwa imani huku wewe unamshangilia kama zuzu aliyeiba sadaka ya ardhi.
 
Hisia za kijinga tu, wapo wengi wamefanya mabaya zaidi na wamefanikiwa zaidi, nalaani kitendo alichofanya, ila hayo mengine ni imani yako tu
 
Absolutely, umeandika kwa hekima na akili sana..!

Likely, hata hizo "siku zingine" hii hekima na busara natambua na kujua kuwa huwa unayo..

Kwa sasa hebu tuomboleze msiba kwanza wa Mzee wetu Edward maana wewe huchelewagi kuanza kurusha mawe iwapo utaigusa CCM na Makonda wao🚶🚶🚶🚶😂😂😂
 
Usipojifunza kupitia makosa ya waliotangulia, utakuwa mpumbavu wa kiwango cha lami!
 
Havihusiani mbona
 
🤣🤣unanifanya nishindwe kujizuia kucheka msibani...

baadae kamanda,
Tumalize kwanza la huyu ndugu yetu ambae sote tumefanya nae kazi vizuri kwenye mirengo yetu kwa nyakati tofauti...
 
Usipojifunza kupitia makosa ya waliotangulia, utakuwa mpumbavu wa kiwango cha lami!
Makosa yapi ya Edward Lowassa ya kujifunza toka kwake?

Kuhama CCM kwenda CHADEMA?

Hilo ni kosa siyo?

Kama ni kosa, basi sasa nakubali kabisa kuwa wewe umebeba u - CCM na dhana zao za kijinga na potofu nyingi.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…