Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

Kanosho lako lina utata, wakubaliana halafu kujipinga tena. Kwamba Arnold Kilewo alikuwa Kiongozi TBL umesahihisha cheo tu .
Hujakanusha kuwa eneo hilo lilitolewa na Kilewo kwa KKKT Mbezi.
Hujakanusha kuwa eneo nusu alijimilikisha Lowasa na ndugu na marafiki wa karibu.

Kijujumla hujakanusha kitu, ukweli uko pale pale.
Mchagga anaachia Ardhi?!

Nimecheka sana
 
Kanosho lako lina utata, wakubaliana halafu kujipinga tena. Kwamba Arnold Kilewo alikuwa Kiongozi TBL umesahihisha cheo tu .
Hujakanusha kuwa eneo hilo lilitolewa na Kilewo kwa KKKT Mbezi.
Hujakanusha kuwa eneo nusu alijimilikisha Lowasa na ndugu na marafiki wa karibu.

Kijujumla hujakanusha kitu, ukweli uko pale pale.
Wewe ni MWONGO na umeshawishi watu wajadili UWONGO wako. Kama umewahi kumiliki ardhi hakuna namna YEYOTE Arnold Kileo angeweza kutoa kile kiwanja kwa KKKT.

Aliyefanya maamuzi ya kurudisha hati za TBL ni Executive Managing Director Daniel Niamandt kwa kuwa ndiye aliyekuwa na maamuzi.

Aliyegawa kiiwanja kwa wamiliki mbalimbali including KKKT ni Waziri mwenye dhamana ya ardhi wakati huo Edward Lowassa.

KKKT ndiyo inapaswa kumshukuru Lowassa kwa kupatiwa kile kiwanja.

Acha kueneza UWONGO ili kujipatia umaarufu
 
Kwa maelezo yako haya, inaonekana ulikuwa unamfahamu vyema, na pengine kuwa naye karibu lowasa.

Alichoeleza kikubwa Jidu La Mabambsi, ni lowasa kupora ardhi ya kanisa iliyotolewa na mzee Kileo.

Kwenye maelezo yako marefu kumhusu lowasa, hujasema lolote kuhusiana na uporaji huo kama kweli alipora au majungu tu.

Habar za uzushi, Kama lowasa alipora mwambie alete hard evidence. Maneno kama hayo hata. Mimi naweza kutunga

Ni maneno ya uzushi kama hakuna factual information where everyone can check and verify

Sio story story za half lela ulela
 
Unazungumzia makanisa haya ya kileo au Yale ya mitume kina paulo!!?

Haya ya Sasa yamepoteza credibility ni mashamba ya masoko na biashara!

Makanisa yamepoteza Ile kweli na kuingia mtego was utafutaji mapesa!!!
Nenda kwenye kanisa la roma alafu ujisaidie hapo kwenye altare nakuhakikishia utakuwa chizi
Watatoa tangazo uwende ukatubu na ukifanya hivyo hawana shida na wewe lakini
Hawa jamaa wana elimu nafikiri ni theolojia au falsafa inaitwa elimu ya mambo yote
Naweza kusema wana uwezo hata wa kuloga
siyo kupaa na ungo wana uwezo wa kukusomea vitabu vikakupa matokeo wanayotaka
Umeshawahi kukutana na padri au sister aliyekiuka viapo vyao na kuacha upadri au usister na kuamua kuoa au kuolewa?
Huwa wanakuwa machizi fresh kuna nati zikakuwa kama hazipo sawa
 
Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki.

Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema, maisha ni kitabu, tuishi vyema ili watakao kisoma kitabu chako cha maisha, wafurahie hadithi ya maisha yako.

Hisia zangu ni ile miaka ya 94-2000 ambapo Lowassa alikuwa waziri wa Ardhi.
Alitenda kosa ambalo kimsingi nikajiambia, huyu mzee kajichotea laana isiyosameheka.
Lowassa kama watu wengi wa kaskazini wanapenda sana ardhi, iwe ya kudhulumu au haki.
Katika hili nasikitika kusema alidhulumu ardhi ya KKKT Mbezi Beach, pale Tangi Bovu.

Mzee mmoja maarufu anaitwa Arnold Kileo, alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Breweries. Mzee Kileo alitoa ardhi yote karibia eka tatu au nne kwa kanisa, kama sadaka yake.
Naamini kabla ya kutoa ardhi hiyo ,mzee Kilewo aliomba kwa Mungu.

Maaombi yalipoenda wizarani kubadili jina, kiwanja kikakatwa nusu bin nusu.
Nusu moja akajimilikisha kwake Lowassa, ndugu zake na marafiki, kina Kimbisa, na nusu ndiyo akakibakishia kanisa.

Waumini wa hapo walishangaa kwani walijua Lowasa ni Mluteri, kwa nini afanye vile?
Wakamwomba Baba Askofu Sendoro akamwone waziri na kumsihi arudishe ile nusu ya eneo, Lowassa alikataa.

Alipokataa Baba Askofu alishukuru na kumtakia heri, Lawassa asijue kuwa hapo tayari ndipo laana ilipotoka.

Cha kushangaza, kila aliyeweka mradi katika kile kiwanja kilichoporwa, mradi ulikufa, TANESCO walikodi ofisi pale wakaishia kuhama. Ilikuwepo supermarket ya Imalaseko, Dry Cleaner na Gym , vyote vimekufa.
Hata jengo lililo na benki ya NMB pale nayo linakosa wapangaji.

Tukija kwa ndugu yetu Lowassa ,safari yake ya kisiasa ilienda kusuasua. Hata zlipochaguliwa waziri Mkuu, hakudumu.
Lowassa akakosana na rafikiye mkubwa, Jakaya Kikwete, na marafiki hao wakawa maadui.
Mwisho alihama CCM kabisa, na uamuzi bado haukuwa na tija, akarudi.
Lowassa akawa kama mwanasiasa anayetangatanga nyikani.

Pale kanisa la Mbezi KKKT, Lowassa hakuwahi kuslikwa shughuli yoyote ya harambee, ingawaje Sumaye alialikwa mara nyingi.

FUNZO, jamani tumwogope Mungu na tumtumikie hata tukiwa na vyeo vikubwa.
Kwa kufariki akiwa na miaka 70, Lowassa alikuwa bado mdogo mwenye miaka si chini ya 15-20 mbele. Lakini yote ni mapenzi ya Mungu RIP Edward Ngoyai Lowassa.
Ardhi ya KKKT mbezi beach mbona bado ni kubwa sana. Kuna kanisa kubwa kuna majengo ya madarasa sunday school na kuna jumba la ghorofa la kitega uchumu na bado uwanja baki mkubwa tu. Lowassa alikua mtu smart sana maswala ya mshiko. Alijua kileo angefanya mchezo kujinyakulia yeye au rafiki zake eneo la umma kwa kisingizio cha kutoa kwa kanisa kwa hiyo yeye akampiga panga juu kwa juu akajipa pande na kumuuzia kimbisa pande. Nayajua sana hayo maeneo😂🤣🏃🏃🏃🏃
 
Wewe ni MWONGO na umeshawishi watu wajadili UWONGO wako. Kama umewahi kumiliki ardhi hakuna namna YEYOTE Arnold Kileo angeweza kutoa kile kiwanja kwa KKKT.

Aliyefanya maamuzi ya kurudisha hati za TBL ni Executive Managing Director Daniel Niamandt kwa kuwa ndiye aliyekuwa na maamuzi.

Aliyegawa kiiwanja kwa wamiliki mbalimbali including KKKT ni Waziri mwenye dhamana ya ardhi wakati huo Edward Lowassa.

KKKT ndiyo inapaswa kumshukuru Lowassa kwa kupatiwa kile kiwanja.

Acha kueneza UWONGO ili kujipatia umaarufu
Hujakanusha niliyoweka mbele, naona una dily daly tu.
Kusema ni uwongo bila facts behind ni kujisumbua bure.
Nimekupa three simple facrs, hujazikanushw kw vile unajua ni kweli.
 
We jamaa nyambafu kabisaaa......kwamba hakustahili kufaaa kwamba alitakiwa haishi zaidi ya hapooo??? We ndugu zako waliotangulia mbele za haki walipata laana kwa makosa gani mpaka wakafa pasipo kufikisha miaka 100???
 
Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki.

Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema, maisha ni kitabu, tuishi vyema ili watakao kisoma kitabu chako cha maisha, wafurahie hadithi ya maisha yako.

Hisia zangu ni ile miaka ya 94-2000 ambapo Lowassa alikuwa waziri wa Ardhi.
Alitenda kosa ambalo kimsingi nikajiambia, huyu mzee kajichotea laana isiyosameheka.
Lowassa kama watu wengi wa kaskazini wanapenda sana ardhi, iwe ya kudhulumu au haki.
Katika hili nasikitika kusema alidhulumu ardhi ya KKKT Mbezi Beach, pale Tangi Bovu.

Mzee mmoja maarufu anaitwa Arnold Kileo, alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Breweries. Mzee Kileo alitoa ardhi yote karibia eka tatu au nne kwa kanisa, kama sadaka yake.
Naamini kabla ya kutoa ardhi hiyo ,mzee Kilewo aliomba kwa Mungu.

Maaombi yalipoenda wizarani kubadili jina, kiwanja kikakatwa nusu bin nusu.
Nusu moja akajimilikisha kwake Lowassa, ndugu zake na marafiki, kina Kimbisa, na nusu ndiyo akakibakishia kanisa.

Waumini wa hapo walishangaa kwani walijua Lowasa ni Mluteri, kwa nini afanye vile?
Wakamwomba Baba Askofu Sendoro akamwone waziri na kumsihi arudishe ile nusu ya eneo, Lowassa alikataa.

Alipokataa Baba Askofu alishukuru na kumtakia heri, Lawassa asijue kuwa hapo tayari ndipo laana ilipotoka.

Cha kushangaza, kila aliyeweka mradi katika kile kiwanja kilichoporwa, mradi ulikufa, TANESCO walikodi ofisi pale wakaishia kuhama. Ilikuwepo supermarket ya Imalaseko, Dry Cleaner na Gym , vyote vimekufa.
Hata jengo lililo na benki ya NMB pale nayo linakosa wapangaji.

Tukija kwa ndugu yetu Lowassa ,safari yake ya kisiasa ilienda kusuasua. Hata zlipochaguliwa waziri Mkuu, hakudumu.
Lowassa akakosana na rafikiye mkubwa, Jakaya Kikwete, na marafiki hao wakawa maadui.
Mwisho alihama CCM kabisa, na uamuzi bado haukuwa na tija, akarudi.
Lowassa akawa kama mwanasiasa anayetangatanga nyikani.

Pale kanisa la Mbezi KKKT, Lowassa hakuwahi kuslikwa shughuli yoyote ya harambee, ingawaje Sumaye alialikwa mara nyingi.

FUNZO, jamani tumwogope Mungu na tumtumikie hata tukiwa na vyeo vikubwa.
Kwa kufariki akiwa na miaka 70, Lowassa alikuwa bado mdogo mwenye miaka si chini ya 15-20 mbele. Lakini yote ni mapenzi ya Mungu RIP Edward Ngoyai Lowassa.
Uzandiki wa kiwango cha Dreamliner huu, kadanganye wanao na wajinga wenzao. Arnold Kileo alikuwa anapata wapi guts za kugawa kiwanja cha TBL wakati huo?

Ninachojua kwenye ubinafsishaji wawekezaji huwa hawana interests na majumba bali core business tu. Hata NBC walikuwa na estate za majumba huko Kijichi na ilipobinafsishwa, yakauzwa.

Kwa mujibu wa sheria za ardhi mwenye mamlaka ni Kamishna wa Hati, Waziri wa Ardhi na Rais katika suala zima la umiliki. USIPOTOSHE ukweli kumchafua Edward Ngoyai Lowassa (RIP).

KILEO hana mchnago wowote hapo, yeye alikuwa muajiriwa tu wa TBL
 
E. Lowassa anaidai CCM Arusha zaidi ya Bil. 5 alizowakopesha, kama kuna Mjumbe yeyote wa CCM hapa akanushe
Ccm Arusha walikopa fedha hiyo kwa dhamana gani! Nijuavyo wanaoweza kukopa pesa ndefu hivyo ni ccm makao makuu. Au ccm Arusha nao wana bodi ya wadhamini?!
 
Hujakanusha niliyoweka mbele, naona una dily daly tu.
Kusema ni uwongo bila facts behind ni kujisumbua bure.
Nimekupa three simple facrs, hujazikanushw kw vile unajua ni kweli.
Kati ya mimi na wewe nani ana facts? Kwanza nimekuambia kuwa si kweli kuwa Arnold Kileo ndiye aliyewapa KKKT kiwanja kwa kuwa hakuwa na uwezo huo!!

Na hapo ndipo UWONGO wako ulipojikuta mizizi
 
Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki.

Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema, maisha ni kitabu, tuishi vyema ili watakao kisoma kitabu chako cha maisha, wafurahie hadithi ya maisha yako.

Hisia zangu ni ile miaka ya 94-2000 ambapo Lowassa alikuwa waziri wa Ardhi.
Alitenda kosa ambalo kimsingi nikajiambia, huyu mzee kajichotea laana isiyosameheka.
Lowassa kama watu wengi wa kaskazini wanapenda sana ardhi, iwe ya kudhulumu au haki.
Katika hili nasikitika kusema alidhulumu ardhi ya KKKT Mbezi Beach, pale Tangi Bovu.

Mzee mmoja maarufu anaitwa Arnold Kileo, alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Breweries. Mzee Kileo alitoa ardhi yote karibia eka tatu au nne kwa kanisa, kama sadaka yake.
Naamini kabla ya kutoa ardhi hiyo ,mzee Kilewo aliomba kwa Mungu.

Maaombi yalipoenda wizarani kubadili jina, kiwanja kikakatwa nusu bin nusu.
Nusu moja akajimilikisha kwake Lowassa, ndugu zake na marafiki, kina Kimbisa, na nusu ndiyo akakibakishia kanisa.

Waumini wa hapo walishangaa kwani walijua Lowasa ni Mluteri, kwa nini afanye vile?
Wakamwomba Baba Askofu Sendoro akamwone waziri na kumsihi arudishe ile nusu ya eneo, Lowassa alikataa.

Alipokataa Baba Askofu alishukuru na kumtakia heri, Lawassa asijue kuwa hapo tayari ndipo laana ilipotoka.

Cha kushangaza, kila aliyeweka mradi katika kile kiwanja kilichoporwa, mradi ulikufa, TANESCO walikodi ofisi pale wakaishia kuhama. Ilikuwepo supermarket ya Imalaseko, Dry Cleaner na Gym , vyote vimekufa.
Hata jengo lililo na benki ya NMB pale nayo linakosa wapangaji.

Tukija kwa ndugu yetu Lowassa ,safari yake ya kisiasa ilienda kusuasua. Hata zlipochaguliwa waziri Mkuu, hakudumu.
Lowassa akakosana na rafikiye mkubwa, Jakaya Kikwete, na marafiki hao wakawa maadui.
Mwisho alihama CCM kabisa, na uamuzi bado haukuwa na tija, akarudi.
Lowassa akawa kama mwanasiasa anayetangatanga nyikani.

Pale kanisa la Mbezi KKKT, Lowassa hakuwahi kuslikwa shughuli yoyote ya harambee, ingawaje Sumaye alialikwa mara nyingi.

FUNZO, jamani tumwogope Mungu na tumtumikie hata tukiwa na vyeo vikubwa.
Kwa kufariki akiwa na miaka 70, Lowassa alikuwa bado mdogo mwenye miaka si chini ya 15-20 mbele. Lakini yote ni mapenzi ya Mungu RIP Edward Ngoyai Low

Usilolijua kwako ni usiku wa giza nene. Pole.
Huyu Jidu sijui ana umri wa miaka mingapi. Huwa anaandika pumba Sana.
 
Upuuzi mtupu, eti laana ilipoanzia!!? Hivi unajua huyu binadamu anaukwasi kiasi gani? Unajua Mwalimu nyerere aliwahi kuwa na mashaka na ukwasi wake? Unajua amezishika pesa tangu utawala wa Mwalimu? Yani lowasa adhulumu eka 1½ ya kanisa? Umerogwa?
Kanisa lenyewe lipi hilo? Kanisa linalichaguliwa maaskofu na ssirikali? Hilo kanisa?
Kanisa ni moja tu Duniani, Roman Catholic basi, gusa huo moto unase.
Ona ng"ombe hii katoliki hili hili wanaloabudu sanamu na kuruhusu ushoga? Unajivunua kuwa muumini wa ushoga? Pumbavu kabisa

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kati ya mimi na wewe nani ana facts? Kwanza nimekuambia kuwa si kweli kuwa Arnold Kileo ndiye aliyewapa KKKT kiwanja kwa kuwa hakuwa na uwezo huo!!

Na hapo ndipo UWONGO wako ulipojikuta mizizi
Anayefahamika kwa uwezo na ushawishi ni Arnold Kilewo katika kulitoa hilo eneo. Wengine unaowafahamu wewe WALIAGIZWA kulitoa eneo hilo kwa hisani, na halikunuliwa.
 
Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki.

Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema, maisha ni kitabu, tuishi vyema ili watakao kisoma kitabu chako cha maisha, wafurahie hadithi ya maisha yako.

Hisia zangu ni ile miaka ya 94-2000 ambapo Lowassa alikuwa waziri wa Ardhi.
Alitenda kosa ambalo kimsingi nikajiambia, huyu mzee kajichotea laana isiyosameheka.
Lowassa kama watu wengi wa kaskazini wanapenda sana ardhi, iwe ya kudhulumu au haki.
Katika hili nasikitika kusema alidhulumu ardhi ya KKKT Mbezi Beach, pale Tangi Bovu.

Mzee mmoja maarufu anaitwa Arnold Kileo, alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Breweries. Mzee Kileo alitoa ardhi yote karibia eka tatu au nne kwa kanisa, kama sadaka yake.
Naamini kabla ya kutoa ardhi hiyo ,mzee Kilewo aliomba kwa Mungu.

Maaombi yalipoenda wizarani kubadili jina, kiwanja kikakatwa nusu bin nusu.
Nusu moja akajimilikisha kwake Lowassa, ndugu zake na marafiki, kina Kimbisa, na nusu ndiyo akakibakishia kanisa.

Waumini wa hapo walishangaa kwani walijua Lowasa ni Mluteri, kwa nini afanye vile?
Wakamwomba Baba Askofu Sendoro akamwone waziri na kumsihi arudishe ile nusu ya eneo, Lowassa alikataa.

Alipokataa Baba Askofu alishukuru na kumtakia heri, Lawassa asijue kuwa hapo tayari ndipo laana ilipotoka.

Cha kushangaza, kila aliyeweka mradi katika kile kiwanja kilichoporwa, mradi ulikufa, TANESCO walikodi ofisi pale wakaishia kuhama. Ilikuwepo supermarket ya Imalaseko, Dry Cleaner na Gym , vyote vimekufa.
Hata jengo lililo na benki ya NMB pale nayo linakosa wapangaji.

Tukija kwa ndugu yetu Lowassa ,safari yake ya kisiasa ilienda kusuasua. Hata zlipochaguliwa waziri Mkuu, hakudumu.
Lowassa akakosana na rafikiye mkubwa, Jakaya Kikwete, na marafiki hao wakawa maadui.
Mwisho alihama CCM kabisa, na uamuzi bado haukuwa na tija, akarudi.
Lowassa akawa kama mwanasiasa anayetangatanga nyikani.

Pale kanisa la Mbezi KKKT, Lowassa hakuwahi kuslikwa shughuli yoyote ya harambee, ingawaje Sumaye alialikwa mara nyingi.

FUNZO, jamani tumwogope Mungu na tumtumikie hata tukiwa na vyeo vikubwa.
Kwa kufariki akiwa na miaka 70, Lowassa alikuwa bado mdogo mwenye miaka si chini ya 15-20 mbele. Lakini yote ni mapenzi ya Mungu RIP Edward Ngoyai Lowassa.
94 lowasa alikuwa hajafikisha miaka 40 wewe ukaanza kumuita mzee, si bure uchawi ni jadi bwana jidula na uAlhaj wako ulidhumu ardhi wewe na jamaa yako mbuzi pale stendi shinyanga
 
Back
Top Bottom