GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Kuna taarifa ya kuuzunisha nimeipata muda huu kutoka Morogoro, Kihonda kwamba memba mwenzetu kafumaniwa na mke wa mtu ndani ya nyumba ya jamaa.
Nimeambiwa kwamba kumbe mwenye mke alimtegea muda mrefu tu sana na leo kanasa mtegoni.
Nasikia memba mwenzetu kamiminiwa uji wa moto ndani ya viatu vyake na kakalishwa kwenye chungu cha moto.
Sina taarifa za kutosha kwani nipo mbali ya tukio mliopo Kihonda Bima hapo tupeni habari kamili maana nimeambiwa kimenuka kisawa sawa watu kibao.
Kazi kwenu wapenda wake za watu, mwenzenu ameshanasa huko bado wewe zamu yako na nina kuhakikishia utanasa tu usijione mjanja saaaaaaana.