Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
- Thread starter
- #21
bora hata angekuwa popo bawa, kwa upumbavu ule sitaki kabisa mazoea....bora waendelee kuniona eti mimi najifanya wajuu au najiona.itakuwa kuna masikini amejifanya popo bawa akamfata jamaa akamananii so limemkwaza akaona aje aanzishe na uzi humu...😂