Masikini sio mtu wa kumuonea huruma leo ndio nimejifunza zaidi

Kuna mdau humu aliwahi kuliongelea hili na leo ndio nimepata funzo zaidi.

Masikini ukiishi kwa unyenyekevu bila kumuonesha dharau ya aina yoyote kwa akili zake atamuhisi umemuogopa, masikini wengi wenye umasikini uliopitiliza (absolutely poverty) pia huwa na sifa ya kuwa wapumbavu, na ndio hawa wengi wao ni mtaji wa CCM.

Masikini hatakiwi kuonewa huruma, masikini hatakiwi kuthaminiwa kabisa na ukimthamini sana ujue unajitengea janga hapo baadae lakini pia niongezee kidogo kutoa ushauri kwa vijana hasa ambao mmemaliza elimu za vyuo na mmebahatika kupata ajira aidha kwenye sekta binafsi au za umma

Unapopata mshahara wako wa kwanza tafuta nyumba nzuri yenye hadhi, usitafute nyumba za hovyohovyo eti unabana mshahara ili ufanye maendeleo hapo baadae yatakukuta makubwa kabla hata hujafanya hayo maendeleo.

Umeajiriwa na level yako stashahada au shahada na mshahara wako labda ni kuanzia laki tano na kuendelea uwezo wa kula maini au nyama ya kuku unao lakini mazingira unayoishi wenyeji wako ni dagaa na mchicha kila siku aisee mkuu yatakukuta tafuta makazi yenye watu wa hadhi yako vinginevyo yatakukuta.......
Andiko la maskini,matako yanakoma 😆😆
 
Una uhakika na unachokiongea mkuu? Mimi sio tajiri na wala sio masikini na siishi kwa kutegemea msaada wa mtu, ni kweli kuna nyakati naweza kupitia kipindi kigumu mpaka kufikia kuhitaji msaada, lakini hayo sio maisha yangu, mimi ni miongoni mwa watu wenye roho ngumu mpaka kufikia kuomba msaada basi ujue nipo taabani yaani tia maji tia maji😊
Wewe ni mimi kabisa mkuu🙏
 
Kuna mdau humu aliwahi kuliongelea hili na leo ndio nimepata funzo zaidi.

Masikini ukiishi kwa unyenyekevu bila kumuonesha dharau ya aina yoyote kwa akili zake atamuhisi umemuogopa, masikini wengi wenye umasikini uliopitiliza (absolutely poverty) pia huwa na sifa ya kuwa wapumbavu, na ndio hawa wengi wao ni mtaji wa CCM.

Masikini hatakiwi kuonewa huruma, masikini hatakiwi kuthaminiwa kabisa na ukimthamini sana ujue unajitengea janga hapo baadae lakini pia niongezee kidogo kutoa ushauri kwa vijana hasa ambao mmemaliza elimu za vyuo na mmebahatika kupata ajira aidha kwenye sekta binafsi au za umma

Unapopata mshahara wako wa kwanza tafuta nyumba nzuri yenye hadhi, usitafute nyumba za hovyohovyo eti unabana mshahara ili ufanye maendeleo hapo baadae yatakukuta makubwa kabla hata hujafanya hayo maendeleo.

Umeajiriwa na level yako stashahada au shahada na mshahara wako labda ni kuanzia laki tano na kuendelea uwezo wa kula maini au nyama ya kuku unao lakini mazingira unayoishi wenyeji wako ni dagaa na mchicha kila siku aisee mkuu yatakukuta tafuta makazi yenye watu wa hadhi yako vinginevyo yatakukuta.......
Is holidaaay, usicomplicate.
 
Elimu uliyoipata haitalisadia Taifa.
Na ndo maana mnakuwa wasomi WA hovyo hovyo msiojielewa.
Maskini ni mtu wa namna gani.
Msomi bwege dizain yako hamfai.
Nchi yako yenyewe ni maskini,unakuja hapa kuwatambia maskini wenzako kisa unawazidi mlo🤣🤣🤣🤣.
Uzuri humu hatujuani,lakini wewe jogoo WA X-mas punguza dharau.
Huna maisha ya kuweza kuanza kubagua watu kiasi hicho.
 
asante kwa mchango wako, wewe nguruwe ws x-mas
 
Umasikini ni mbaya sana.

Ukishakuwa masikini hata akili inadumaa. Kila tajiri unamuona mbaya wako.
 
Kuna mdau humu aliwahi kuliongelea hili na leo ndio nimepata funzo zaidi.

Masikini ukiishi kwa unyenyekevu bila kumuonesha dharau ya aina yoyote kwa akili zake atamuhisi umemuogopa, masikini wengi wenye umasikini uliopitiliza (absolutely poverty) pia huwa na sifa ya kuwa wapumbavu, na ndio hawa wengi wao ni mtaji wa CCM.

Masikini hatakiwi kuonewa huruma, masikini hatakiwi kuthaminiwa kabisa na ukimthamini sana ujue unajitengea janga hapo baadae lakini pia niongezee kidogo kutoa ushauri kwa vijana hasa ambao mmemaliza elimu za vyuo na mmebahatika kupata ajira aidha kwenye sekta binafsi au za umma

Unapopata mshahara wako wa kwanza tafuta nyumba nzuri yenye hadhi, usitafute nyumba za hovyohovyo eti unabana mshahara ili ufanye maendeleo hapo baadae yatakukuta makubwa kabla hata hujafanya hayo maendeleo.

Umeajiriwa na level yako stashahada au shahada na mshahara wako labda ni kuanzia laki tano na kuendelea uwezo wa kula maini au nyama ya kuku unao lakini mazingira unayoishi wenyeji wako ni dagaa na mchicha kila siku aisee mkuu yatakukuta tafuta makazi yenye watu wa hadhi yako vinginevyo yatakukuta.......
Maneno meengi mkuu, ila umesahau kutwambia yaliyokukuta ni yapi
 
Ishi nao kwa akili usikaribishe mazoea ya kujuana kiundani, zaidi salamu na mengine ya kijamii tu.
 
Huna nyumba, benki hauna hata M10, huna gari alafu unawatukana ndugu zako. Usijifiche kwenye unknown id Toka adharani kwenye account zako rasmi za kijamii useme huu ukoko ulio ongea hapa.
 
Kuna mdau humu aliwahi kuliongelea hili na leo ndio nimepata funzo zaidi.

Masikini ukiishi kwa unyenyekevu bila kumuonesha dharau ya aina yoyote kwa akili zake atamuhisi umemuogopa, masikini wengi wenye umasikini uliopitiliza (absolutely poverty) pia huwa na sifa ya kuwa wapumbavu, na ndio hawa wengi wao ni mtaji wa CCM.

Masikini hatakiwi kuonewa huruma, masikini hatakiwi kuthaminiwa kabisa na ukimthamini sana ujue unajitengea janga hapo baadae lakini pia niongezee kidogo kutoa ushauri kwa vijana hasa ambao mmemaliza elimu za vyuo na mmebahatika kupata ajira aidha kwenye sekta binafsi au za umma

Unapopata mshahara wako wa kwanza tafuta nyumba nzuri yenye hadhi, usitafute nyumba za hovyohovyo eti unabana mshahara ili ufanye maendeleo hapo baadae yatakukuta makubwa kabla hata hujafanya hayo maendeleo.

Umeajiriwa na level yako stashahada au shahada na mshahara wako labda ni kuanzia laki tano na kuendelea uwezo wa kula maini au nyama ya kuku unao lakini mazingira unayoishi wenyeji wako ni dagaa na mchicha kila siku aisee mkuu yatakukuta tafuta makazi yenye watu wa hadhi yako vinginevyo yatakukuta.......
Kweli kabisa juzi Xmass ametuvamia tukiwa mezani kama familia tukasema tumkaribishe tu ni sikukuu. Tukampa mapilao tele na vinywaji hadi akashiba tele. Ile anaondoka anatukana watu eti wajinga nyie! Nilielewa kwanini yule jamaa ni maskini!
 
itakuwa mlimchanganyia nguruwe kwenye pilau
 
Back
Top Bottom