Masikini sio mtu wa kumuonea huruma leo ndio nimejifunza zaidi

Nakazia unaambatana na umafaku
 
Nakazia unaambatana na umafaku
mimi kuna mmoja nilimuokota msikitini ni shehe ubwabwa na kanzu yake chakavu iliyofubaa, nikamuonea huruma nikampeleka kwangu, kula bure, kulala bure na mpaka na nguo nilikuwa nampa cha ajabu nikiondoka kwenda kwenye harakati zangu akawa ananisnich kwa mama mwenye nyumba yaani mpaka siku naamua kumtimua alikuwa ameniharibia pakubwa....
 
ombaombas...mtu ana mikono na miguu na macho mawili na afya njema, anavuta pumzi ya bure lakini bado hataki kujitutumua
Ni tabia mbaya sana ambayo inawafanya waifanye kazi ya kila siku
Yaani anaamka anakaa sokoni siku nzima kuomba
Hao wana hela sana na wameamua kuwa dhalili hivyo mpaka kiyama
Ombaomba ni laana
Na unakuta jitu Zima kutwa linakuuliza nitoe buku
Ukimpa kazi hataki anaona umemdharau
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa
Ishanikuta hiyo Kuna kamdada nakaaga nacho jirani nikitokaga visiwani namleteaga tusamaki Sasa siku nimerudi nimeziandaa nimeanika ...nimeenda dukani narudi nakuta mtu anakaanga dooh.... Halafu akagawa vipande pasu Kwa pasu..wakati mi nimepiga hesabu za kutafuna samaki wiki nzima ni yale masangara makubwa mabondoless....
 
huyo mlikuwa mnajuana....au ulikuwa unakula mzigo kiskuti.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…