Masikini siwataki pm maana naona mnajaa kuomba hela

Masikini siwataki pm maana naona mnajaa kuomba hela

Jamaa kaeni chonjo soon kuna watu watalizwa hapa
 
Tatizo la afya ya akili ni kubwa nowdays
 
Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia shida zenu tafuteni hela muwe kama Mimi mtoto mdogo miaka 28 ila pesa nyingi huwa nashangaa jitu Zima ila pesa halina limejaza ndevu tu tafuta hela tutawalia wake zenu sana
Tajiri vipi wife alipona vidonda vya tumbo au bado anakula wali mkavu na ndizi?
 
Njaa mbaya jamani vijana tutafute kazi za maana za kufanya hii nayo eti ni nyezo ya mtu kuseti watu apate chochote kitu kwa njia ya utapeli
 
Back
Top Bottom