Tangu nipate ushauri wa huyu dakitari nimefanikiwa kupunguza uzito nimekata 10kg ndani ya miezi sita, mambo ya kuenda gym ili upunguze uzito ni kupoteza mda bure, mchawi ni chakula punguza milo yako, na ule kuzingatia diet uzito utapungua na possibilities za kupata pressure kisukali zitapungua.“Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguziwa gharama, wangapi mmekunywa chai , chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai.
Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula sana, mimi binafsi chochote nachokula wasaidizi wangu wanajua nakula saa 6, halafu usiku nakula saa2 usiku, kuna siku naanza kula saa8 mchana matunda halafu nakula saa12 mpaka kesho”, Prof.Mohamed Janabi, Mshauri wa Rais na mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili. #EastAfricaTVView attachment 3175059
Kwani kijana wako wa 18yrs anaupungufu gani wa afya unao mlazimisha mpaka anywe chai kila siku? Hapo unafikili hao wenye 50+ walianzia hapo hawajawihi kua 18yrs matatizo mengi ya afya huanzia udogoni mkuu.ushauri wake ni kwa watu wa Rika lote au anatoa ushauri kwa wazee 50+
maana kijana wangu wa 18 years unashauri asinywe chai,huyu Prof sijamuelewa kabisa?
Mkuu tofautisha kua mnene nakua na kitambi, hivyo ni vitu viwili tofauti, wewe unawexa akawa mnene sehemu zote za mwili, ila kuna wengine unene wao ni wa kitambi tu.Niliposoma heading nikajua unanisema. Napokea mshahara mdogo lakini sio mlaji ila ndio naonekana na kitambi kuliko wote zaidi ya 30. Ulaji wangu ni asubuhi lazima na mchana lazima ila usiku silagi au nakunywa chai na maandazi mawili.
Shida ni Maandazi hayooo..na chai hyooo..usikuNiliposoma heading nikajua unanisema. Napokea mshahara mdogo lakini sio mlaji ila ndio naonekana na kitambi kuliko wote zaidi ya 30. Ulaji wangu ni asubuhi lazima na mchana lazima ila usiku silagi au nakunywa chai na maandazi mawili.
Masikini wengi tunapenda sanaa kula hata tukiwa hatuna jaa, mtu anaenda msibani kisa kula.Kama huna njaa kwa nini ule?
Kula pale unapokuwa na njaa maana Kula siyo pumzi.
Kitambi ni ugonjwa lakini.. Ni dalili kwamba kuna lehemu ya kutosha tumboni na haitumiki ipasavyo“Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguziwa gharama, wangapi mmekunywa chai , chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai.
Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula sana, mimi binafsi chochote nachokula wasaidizi wangu wanajua nakula saa 6, halafu usiku nakula saa2 usiku, kuna siku naanza kula saa8 mchana matunda halafu nakula saa12 mpaka kesho”, Prof.Mohamed Janabi, Mshauri wa Rais na mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Mkuu hiyo sehemu ya ndani unataka itumike je? kwa kujaza wanga na mafuta.Kitambi ni ugonjwa lakini.. Ni dalili kwamba kuna lehemu ya kutosha tumboni na haitumiki ipasavyo
Unakula saa mbili usiku?“Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguziwa gharama, wangapi mmekunywa chai , chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai.
Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula sana, mimi binafsi chochote nachokula wasaidizi wangu wanajua nakula saa 6, halafu usiku nakula saa2 usiku, kuna siku naanza kula saa8 mchana matunda halafu nakula saa12 mpaka kesho”, Prof.Mohamed Janabi, Mshauri wa Rais na mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Unajua mda anao lala huyu professor, ana research za kufanya usiku, huenda anallala kuanzia saa sita ucku.Unakula saa mbili usiku?
Mhhh,then unakwenda kulala??
Maharage ,mboga,,matunda,karanga,kitambi kitaisha tuuShida ni Maandazi hayooo..na chai hyooo..usiku
Anza kula mboga mboga usiku utaona kitambi kitakavyoyeyuka...
Mke wake ni upi mkuu?Kwa hiyo milo yake yule mke wake itakua kuna meamba anamsaidia kumridhisha