Masikini tulio wengi tunakula kimazoea, mshahara wako 400k ila una kitambi

Masikini tulio wengi tunakula kimazoea, mshahara wako 400k ila una kitambi

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
“Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguziwa gharama, wangapi mmekunywa chai , chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai.

Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula sana, mimi binafsi chochote nachokula wasaidizi wangu wanajua nakula saa 6, halafu usiku nakula saa2 usiku, kuna siku naanza kula saa8 mchana matunda halafu nakula saa12 mpaka kesho”, Prof. Mohamed Janabi, Mshauri wa Rais na mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Screenshot_20241212-110804_Lite.jpg
 
“Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguziwa gharama, wangapi mmekunywa chai , chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai.

Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula sana, mimi binafsi chochote nachokula wasaidizi wangu wanajua nakula saa 6, halafu usiku nakula saa2 usiku, kuna siku naanza kula saa8 mchana matunda halafu nakula saa12 mpaka kesho”, Prof.Mohamed Janabi, Mshauri wa Rais na mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili. #EastAfricaTVView attachment 3175059
Tangu nipate ushauri wa huyu dakitari nimefanikiwa kupunguza uzito nimekata 10kg ndani ya miezi sita, mambo ya kuenda gym ili upunguze uzito ni kupoteza mda bure, mchawi ni chakula punguza milo yako, na ule kuzingatia diet uzito utapungua na possibilities za kupata pressure kisukali zitapungua.
 
Niliposoma heading nikajua unanisema. Napokea mshahara mdogo lakini sio mlaji ila ndio naonekana na kitambi kuliko wote zaidi ya 30. Ulaji wangu ni asubuhi lazima na mchana lazima ila usiku silagi au nakunywa chai na maandazi mawili.
 
ushauri wake ni kwa watu wa Rika lote au anatoa ushauri kwa wazee 50+

maana kijana wangu wa 18 years unashauri asinywe chai,huyu Prof sijamuelewa kabisa?
Kwani kijana wako wa 18yrs anaupungufu gani wa afya unao mlazimisha mpaka anywe chai kila siku? Hapo unafikili hao wenye 50+ walianzia hapo hawajawihi kua 18yrs matatizo mengi ya afya huanzia udogoni mkuu.
 
Niliposoma heading nikajua unanisema. Napokea mshahara mdogo lakini sio mlaji ila ndio naonekana na kitambi kuliko wote zaidi ya 30. Ulaji wangu ni asubuhi lazima na mchana lazima ila usiku silagi au nakunywa chai na maandazi mawili.
Mkuu tofautisha kua mnene nakua na kitambi, hivyo ni vitu viwili tofauti, wewe unawexa akawa mnene sehemu zote za mwili, ila kuna wengine unene wao ni wa kitambi tu.
 
Niliposoma heading nikajua unanisema. Napokea mshahara mdogo lakini sio mlaji ila ndio naonekana na kitambi kuliko wote zaidi ya 30. Ulaji wangu ni asubuhi lazima na mchana lazima ila usiku silagi au nakunywa chai na maandazi mawili.
Shida ni Maandazi hayooo..na chai hyooo..usiku
Anza kula mboga mboga usiku utaona kitambi kitakavyoyeyuka...
 
“Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguziwa gharama, wangapi mmekunywa chai , chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai.

Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula sana, mimi binafsi chochote nachokula wasaidizi wangu wanajua nakula saa 6, halafu usiku nakula saa2 usiku, kuna siku naanza kula saa8 mchana matunda halafu nakula saa12 mpaka kesho”, Prof.Mohamed Janabi, Mshauri wa Rais na mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Kitambi ni ugonjwa lakini.. Ni dalili kwamba kuna lehemu ya kutosha tumboni na haitumiki ipasavyo
 
“Ushauri wangu hauna gharama lakini kuna kupunguziwa gharama, wangapi mmekunywa chai , chai sio lazima na msije mkasema Janabi amekataza kunywa chai.

Breakfast maana yake kukatiza mlo sio unakula sana, mimi binafsi chochote nachokula wasaidizi wangu wanajua nakula saa 6, halafu usiku nakula saa2 usiku, kuna siku naanza kula saa8 mchana matunda halafu nakula saa12 mpaka kesho”, Prof.Mohamed Janabi, Mshauri wa Rais na mkurugenzi Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Unakula saa mbili usiku?
Mhhh,then unakwenda kulala??
 
Tabia mbaya ya ulaji ni hatari sana, siku hizi Kuna hii tabia ya "visahani" unakuta watu watatu wanashughulika na sinia kubwa lenye kila chakula, vyakula vingi vya kwenye hivyo visinia ni Fat + wanga kwa wingi hapo afya ya moyo inakuwa matatani.

Ulaji huu ni msukumo wa ulafi na tamaa isiyo na kiasi.

Tusimbeze Dr. Janabi, ni mudau wa afya aliyeamua kuusema ukweli.

Katika hili msikilize pia jamaa mmoja mhindi anaitwa Sandhguru.
 
Back
Top Bottom