Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!
Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!
kumbuka UKAWA inaundwa na vyama vya CUF, CHADEMA na NCCR Mageuzi. Sasa wewe usyeijua famila yako OLOUCH yupo chama gani kati ya hiyo?Niliwahi kusema nikiwa Kigoma kuwa UKAWA ni kaburi la vyama vya upinzani nchini! Sasa nimeangalia bunge asub hii na kuona hao waliokuwa wakiaminiwa kama ni UKAWA wamo bungeni. Huu ni msiba mkubwa kwa UKAWA. Sasa wamebaki Chadema,nccr na cuf tena SI WOTE!
Kimbieni msiba huu mkubwa. Cuf na nccr mnaingizwa mkenge na Chadema ambayo inaishi kwa matumaini kwasasa! Fumbueni macho!
Hongera Olouch!
Thread za Nape Nnauye ni mistari mitatu au minne hembu badilika mkuu kuwa intellectual kwa ku create constructive idea
Huyu Ndiye msemaji wa CCM na propaganda na kipumbavu kama chama chake
Hapana mkuu. Siamini kuwa uzi huu umeanzishwa na Nape - nadhani kuna mtu kaiba ID yake!!!
Nape anaweza kuwa poyoyo kiasi hiki kweli???!!!
Hawa ukawa tushawajua sana hawana jipya tena la kutueleza wakalale nyumbani kwao huku mitaani hata wasitie mguu kabisa.
u- - umoja wa- juzi nilikutana na mbunge mmoja wa chadema kwenye viwanja nikamtajia ukawa akaniomba sana na kunishi nisiseme kwa watu wasisikie maana ukawa sasa ni tatizo sana kwa wananchi, sikuamini alichokuwa anakisema kumbe na wao wameshaelewa kuwa wanayoyafanya sasa hata wananchi hawafurahii!!
Le mutuz system
Chama cha CUF ndiyo KING PIN
wa hii katiba mpya, no wonder Sitta amekwenda ZNZ kuwaangukia CUF. UKAWA
wanawahitaji CUF ili kukwamisha katiba mpya ya ki-CCM. On the other
hand CCM wanawahitaji CUF ili kupitisha katiba mpya ya ki-CCM. Hivyo
basi CUF wameshika MPINI wakati UKAWA na CCM wameshika MAKALI. Wote
(UKAWA NA CCM) wanasubiri huruma ya CUF. Kwa wale mliowahi kucheza
karata, CUF wamelamba DUME, UKAWA na CCM wamelamba MAJIKE, wanasubiri
mmoja wao aolewe na CUF.
u- - umoja wa
ka- - katiba ya
wa -- wachache
hii ndiyo siri iliyojificha kwenye neno ukawa.
Ongeza na Prof R. Assey na Dr Francis. Maprofesa wachumia tumboBila UKAWA hakuna katiba ya Wananchi. Hii ni katiba ya CCM ikishirikiana na CCM wenzao kutoka 201 kama Kingunge kutoka kundi la Waganga na Wachawi, Askofu Mtetemelwa, na Oluoch