Masikini umashuhuri na Mama umepitwa hata na Miss Grand! Tamaa mbaya sana

Masikini umashuhuri na Mama umepitwa hata na Miss Grand! Tamaa mbaya sana

Naomba kuuliza, hivi ni nani mwingine amegundua kuwa hii mihaters ya Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, Inazidi kuchanganyikiwa siku baada ya siku?!!!

Mama Samia ni noma sana, kwa kifupi huyu ndo Kiboko ya minyumbu, jpm kumbe alikuwa trailer tu.
 
Mama kabaki na machawa tu. Hakuna wa kumuamini zaidi ya Wanzanzibari wenzake tu. Huku bara kabaki na machawa tu. Na asipokuwa makini watamaliza kama Magu hukohuko hospital na kusema alikuwa na strock au ugojwa wa moyo. Hawezi kuweka madaktari wote wa Zanzibar kila wakati. Umashuhuri mdogo wa Mama ni tatizo sasa kabaki na visasi tu Nchimbi anateswa bila sababu ni wivu tu wa umashuhuri
Nikusaidie tu kujua kwamba kwenye Uchaguzi Mkuu wa Urais, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) alipata zaidi ya asilimia 95% ya kura zote.

Hayo ya hakubariki ni maoni yako na yanaheshimiwa kama mimi ninavyotaka maoni yangu ya kutaka Mahakama Kuu imuhukumu Tundu Antipasi Mughway Lissu KUNYONGWA HADI KUFA yaheshimiwe hata kama wengine hawayapendi.
 
Tafuta hela..... kiongozi hatafuti umaarufu yupo kututumika ss watanzania wanaotafuta umaarufu ni hao akina Heche wanahangaika na kura hawaji kupata KAMWE matapeli wakubwa
 
Back
Top Bottom